Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Watu wako wengi ndani mpaka wamezuia wanje wasiingie, naona swala LA barakoa Γ±i hiari yako
 
Umevaa barakoa?
 
Wanafunzi wengi kuvaa kaputula za khaki kama sare ndo kunakufanya uamini khaki ndo kitambaa kinachopendwa sana?
 
Marehemu mwenyewe alikua anafurahia anapofika sehem akakuta kundi kubwa la watu wanamsubiri, alitamani akifa akawe kiongozi wa malaika
 
Nilikuwepo,
Wanajeshi
Mapolisi
Skauti
Services Men
Migambo
Makampuni binafsi ya ulinzi

Wamejaza wana ulinzi wengi sana bila ya kuwa na Utaratibu mmoja
 
Safisha macho kwa picha tafadhali
 
Nilikuwepo,
Wanajeshi
Mapolisi
Skauti
Services Men
Migambo
Makampuni binafsi ya ulinzi

Wamejaza wana ulinzi wengi sana bila ya kuwa na Utaratibu mmoja
Hapo ndo penye changamoto, halafu cha ajabu nimeona mwanamke aliyezimia kapakatwa na skauti mmoja tu tena mwanaume anapelekwa kwenye hema,
 
Usilete Taharuki Hapa Tanzania
Usalama Unaanza Na Wewe Mwenyewe
Unaona Uwanja Umejaa Bado Unakwenda
Utaka IGP Afanye Nini, Umeshaambiwa
Uwiano Wa Wana Usalama Ni Idadi Ndogo
Kuliko Millions 60 Ya Watanzania
 
Marehemu mwenyewe alikua anafurahia anapofika sehem akakuta kundi kubwa la watu wanamsubiri, alitamani akifa akawe kiongozi wa malaika
Tayari
Ameanza Kuwaongoza Malaika Huko Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…