Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kuna kitoto cha sikauti cha miaka kama 15 hivi kiko upande wa ukaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina mimba?Kuna kitoto cha sikauti cha miaka kama 15 hivi kiko upande wa ukaguzi
Umevaa barakoa?Jamani uwanja wa Uhuru askari wamezidiwa hali ni mbaya sana. Naandika mpaka natetemeka mimi nipo nje watu ni wengi sana na wamezuliwa kuingia na wanatumia nguvu kutaka kuingia nasikia uko ndani watu wameanza kukanyagana.
Naomba Sirro ufanye maamuzi watu wapo emotional lolote baya linaweza tokea. Ongeza timu ya usalama na watumie busara kuwasaidia watu utaratibu maana ni kama wamepaniki idadi ya watu imekuwa kubwa na wanaendelea kumiminika.
Duh JPM watu walikupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ili iweje?Wewe barakoa umevaa?
Cha kiume bossKina mimba?
Ndio kimepewa jukumu la kudhibiti umati?Cha kiume boss
Wanafunzi wengi kuvaa kaputula za khaki kama sare ndo kunakufanya uamini khaki ndo kitambaa kinachopendwa sana?Jamani uwanja wa Uhuru askari wamezidiwa hali ni mbaya sana. Naandika mpaka natetemeka mimi nipo nje watu ni wengi sana na wamezuliwa kuingia na wanatumia nguvu kutaka kuingia nasikia uko ndani watu wameanza kukanyagana.
Naomba Sirro ufanye maamuzi watu wapo emotional lolote baya linaweza tokea. Ongeza timu ya usalama na watumie busara kuwasaidia watu utaratibu maana ni kama wamepaniki idadi ya watu imekuwa kubwa na wanaendelea kumiminika.
Duh JPM watu walikupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwamba hujui ili iweje? Ahya mama kuaga kwema.Ili iweje?
Kinakagua raia wanaoingiaNdio kimepewa jukumu la kudhibiti umati?
Safisha macho kwa picha tafadhaliJamani uwanja wa Uhuru askari wamezidiwa hali ni mbaya sana. Naandika mpaka natetemeka mimi nipo nje watu ni wengi sana na wamezuliwa kuingia na wanatumia nguvu kutaka kuingia nasikia uko ndani watu wameanza kukanyagana.
Naomba Sirro ufanye maamuzi watu wapo emotional lolote baya linaweza tokea. Ongeza timu ya usalama na watumie busara kuwasaidia watu utaratibu maana ni kama wamepaniki idadi ya watu imekuwa kubwa na wanaendelea kumiminika.
Duh JPM watu walikupenda 😭😭😭😭😭
Hapo ndo penye changamoto, halafu cha ajabu nimeona mwanamke aliyezimia kapakatwa na skauti mmoja tu tena mwanaume anapelekwa kwenye hema,Nilikuwepo,
Wanajeshi
Mapolisi
Skauti
Services Men
Migambo
Makampuni binafsi ya ulinzi
Wamejaza wana ulinzi wengi sana bila ya kuwa na Utaratibu mmoja
Shida Ni Hao Hao WenyeweSasa wanakanyagana ili iweje? Si waende kwa utaratibu? Wakati mwingine binadamu akili zao kama za nyumbu
TayariMarehemu mwenyewe alikua anafurahia anapofika sehem akakuta kundi kubwa la watu wanamsubiri, alitamani akifa akawe kiongozi wa malaika
Hujui kazi ya barakoaIli iweje?