Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Mimi wanao nikera Ni hawa wanaoanguka, kama walikua wanajua hawana pumzi kilichowapeleka Nini?
 
Sasa wanakanyagana ili iweje? Si waende kwa utaratibu? Wakati mwingine binadamu akili zao kama za nyumbu
Wasimamiaji hawaja weka utaratibu na hata kama wameweka hawaufatilii, Wanapiga story + hawako serious.

Alaf hao watu wa ulinzi wapo wengine wanafanya sifa ie wanajikuta Komandozz wanapelekesh watu hovyo hapo

Haya
Baada ya hizo Fujo ndio unakuta wanapanga utaratibu Sasa, Na ni saa nne hii
 
Wewe barakoa umevaa?
Msichokijua ile ngoma unapenya mpaka kwenye macho, unapovaa barakoa wewe hakukuondoi kwenye hatari ya kupata corona, badala yake kinakuzuia usisambaze kurusi. Kwa ule msongamano hata uende na barakoa ukijichanganya unaondoka nao.
 
Uwanja umejaa mno, naona wasipokuwa makini kutakuwa na maafa.
Mageti yamefingwa wa nje wasiingie ndani kwanza wamaliz kuaga walio ndani

Sasa hivi unatoa kabla kui ngiza wengine
 
Hivi na wewe ungekuwepo pale ungefanya hizo vurugu za kukanyagana? Yaani unaona kabisa pale watu wamesheheni na wewe unaenda kuongeza msongamano, kwanini usisubiri uende taratibu au uondoke kabisa kama imeshindikana?
Ndo hivyo akili za binadamu..


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mmejua sasa kwamba hamkuwa mnaibiwa kura[emoji28],au na huo umati wa lao na Jana umesombwa?
Sio wote wanaokwenda msibani wanampenda mwendazake wengine wanaenda kuakikisha kama kweli adui yao kaenda, na usione watu wanalia msibani ukafikiri wote wanauzuni wengine wanalia kwa furaha,

Nb: wabongo wengi hawana kazi za kufanya kwaiyo usishangae kuja uwanjani!!
 

Kapicha jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…