Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwa hiyo???Kiukweli Magomeni washikwa na simanzi kuu kumpoteza kipenzi chao aliyekuwa Rais wa JMT Dr Magufuli.
Wananchi wametandaza nguo zai barabarani wakimlilia Magufuli.
RIP Magufuli
Maendeleo hayana vyama!
Rais hakua kiongozi wa kidini.Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Umeona wanachofanya wananchi barabarani?Idadi ya watu wanaokuja kukuzika, ni ishara tosha ya namna ulivyoishi na watu
Magufuli alipendwa na bado anapendwa.Vijana wanavua t-shirt wanatandika zikanyagwe
Lakini kwa mujibu wa maandiko kama atakuwa alitubu kabla ya mauti atasamehewa. Sasa hatujui kama alilifanya hilo lakini Mungu anajua.Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Na wameanza kufikaUtawaona uwanjani
Imekuchoma!Kwa hiyo???
... message nzito sana katuma Baba Askofu kuliko yangetamkwa maneno elfu!Barakoa zimekamata sawasawa
Hii picha (akiwa amevaa barakoa) inatuma ujumbe mzito wa watawala.Ameshawasili eneo la tukio. Tutegemee Injili na Neno la Mungu safi lisilogoshiwa.
NB: Nondo zote zipo kwenye hiyo BRIFKESIView attachment 1729878
Hapo kwa prof. Asad tuko sawa sawia, natamani mno iwe hivyo.kwakweli,me namuomba madam president abadilishe DPP pia, uyu aliepo ni chanzo cha mlundikano wa cases nying mahakaman ,,, na pia akipenda amteue Pro Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President
... marehemu alikuwa mkatoliki.Angeongoza askofu Bagonza
Quinine hajui atendalo!Yoyote anayendeleza chuki dhidi ya Marehemu huwa ameshachukuliwa na roho ya Ibilisi, maana anapofariki Mwanadamu historia yake enzi ya uhai ni funzo kwa tuliobaki, Mwanadamu huzaliwa hajui kitu, hujifunza hapa duniani na mwisho anapopatwa mauti mwili hubaki haujui kitu chochote. Hivyo basi yatupasa tuliobaki kuwa na heshima ya Mazishi na kujifunza mema aliyoyafanya Marehemu yale mabaya alipokosea ni kama nasi tunavyokosea kila siku katika harakati za kazi za kibinadamu..Njia ni ileile huwezi jua pengine kesho ndio zamu yako..
Mungu awape wepesi walioguswa na Msiba huu.
R.I.P (H.E) Dr.JP MAGUFULI we believe GLORY of our Father in Heaven will stay with your SOUL forever..Amen