Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

watanzania Hatuna tamaduni hizo cjui nyie mmetoa Wapi hizo Roho Hakuna kiongoz duniani toka kuumbwa kwa ulimwengu amewah kuw mkamilifu Kwenye uongoz wake lazma awe na dosari lkn pamoja na yote amefany meng Sana watu wa Hali ya Chini na Wapend haki ndo wanaelewa Jinsi gn inauma kumpoteza Huyu mwamba Jana nimeangalia kwny kituo flan Iv walikuw wanaonyesha viongozi mbalmbal waki sain daftari La maombolezo nilimuona baloz wa Zambia nchini mzee flan Iv sijamkarir jina Alilia kwa uchungu akimlilia magufuli Ndyo aliyoifanya Tanzania ifike hapa ilipo na ni mzambia sasa nashangaa mtanzania mwenzang unaropoka ovyo tuu hivi unadhan huyo Lissu ndo mkamilifu mtu acyejua maana ya uzalendo anafny kitu kwa masifa ili kufurahsha mabeberu all in all magufuli tutamkumbuka narudia tutamkumbuka iandike hii tarehe ya Leo mahali
Rudi shule kwanza ujifunze kuandika.

Sasa wanamlilia nini aakati6 ameenda kuwaona kina Azory Gwanda, Kanguye, Akwilini Akwilini huko alikowatanguliza.

Huyo mtetezi tangu aanze kukutetea umepata nini ??
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Acha zako basi! Hao mapadre ndio hata wakiongoza wanaongoza kwa moyo na toba ya kweli! Kinachoongoza hapo ni roho mtakatifu! Hata hivyo nenda uwanjwa wa uhuru utayarudisha maneno yako! Huko utakuta papa wa tz ndie ataongoza ili uwe na amani! Tuendelee kumuombea jemedari wetu, na shujaa wetu na nchi yetu!
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Huyu Magufuli mnayemchukia, mtamkuta kiti cha mbele mbinguni na cheo kapewa bali wengine msipojirekebusha hata mlango wa mbinguni mtaishia kuutazama kwa mbali tu mkienda motoni!
RIEP Magufuli!
Jiwe aikuwa mbishi sana huenda alikuwa ameandaa mpango wa kumpoteza maaskofu kabla ya kifo kuingilia kati
Magufuli alikuwa mchaMungu sana kuliko malimbukeni wengi wa mtandaoni! Alikuwa ni mtu wa imani kuuna kwa imani hiyo amehesabiwa haki! Magufuli ndie alipigania maisha ya askofu mkuu Luwaichi, hawezi tena akawa yy wa kutaka kuwaondoa ww pimbi!
 
Alimtuma musiba kuwananga maaskofu.
Viongozi wa dini ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu duniani Mungu anapowatumia kuonya wasikilize.
Viongozi wa dini wameonya Sana Sana Sana Mungu kampa mda ajirekebishe atubu lkn sikio la kufa maaskofu wakabakia kusubiria tu maamuzi ya Mungu.Askofu Shoo,Niwemugizi,Bagonza,nk wameonya Sana lkn sikio la kufa musiba anatumwa kuwatukana,anatuma watu wahoji uraia wao mara kodi nk.
Mwisho wa kiburi ni kaburi.
Hakuna aliyewahi mkufuru Mungu akabaki salama.
Makufuru
1.Kupiga push up Kumdhihaki Lowasa
2.Kuitwa Yesu
3.Kuwatukana viongozi wa dini,
4.Kuumiza watu kuwabambika kesi,kuwafilisi,kuwakomoa,nk.
5.Kujifananisha na Malaika
6.
7.
 
Gwajiboi mzee wa kufufua wafu vipi yupo hapo maeneo ya kuaga mwili wa mpendwa wetu?kama yupo hawezi kufanya maombi akaturudishia furaha yetu au hana uwezo wa kufufua ni mwongo kwa kondoo wake.
 
Acha zako basi! Hao mapadre ndio hata wakiongoza wanaongoza kwa moyo na toba ya kweli! Kinachoongoza hapo ni roho mtakatifu! Hata hivyo nenda uwanjwa wa uhuru utayarudisha maneno yako! Huko utakuta papa wa tz ndie ataongoza ili uwe na amani! Tuendelee kumuombea jemedari wetu, na shujaa wetu na nchi yetu!

Huyu Magufuli mnayemchukia, mtamkuta kiti cha mbele mbinguni na cheo kapewa bali wengine msipojirekebusha hata mlango wa mbinguni mtaishia kuutazama kwa mbali tu mkienda motoni!
RIEP Magufuli!

Mimi hata nisipoenda huko mbinguni kama kuko sina tatizo maana sijifanyi mcha Mungu.
 
Wapambe wakiona huu uzi watawalazimisha Maaskofu wahudhurie huko kwenye mazishi. Yaani itakuwa mambo ya kunenepeshea ng'ombe mnadani.
Wamesahau kwamba ng'ombe hanenepi siku ya mnada
 
Rudi shule kwanza ujifunze kuandika.

Sasa wanamlilia nini aakati6 ameenda kuwaona kina Azory Gwanda, Kanguye, Akwilini Akwilini huko alikowatanguliza.

Huyo mtetezi tangu aanze kukutetea umepata nini ??
we uliyosoma Vipi tena mbn Hujui kuandika hebu Pitia hayo majina Uliyo yaandika Kama ni sahh
Hauko makin bro unawenge na chuki zakipumbavu pevuka kuwa mtu Mzima utajua maana ya maisha ya dunia hii Uki nijibu ni we pimbi usipo nijibu umeniogopa
Haka kamchezo hakahtaj hasira calm down
 
Najua wanalipa kama kisasi cha kudhalilishwa ile siku ila inaonesha jinsi gani pia wenyewe wanavyokuwa na vinyongo mioyoni afu kanisani wakituhimiza sisi tuache vinyongo😬😬.Anyway twendelee na ibada🚶🚶
Tuwape mda wataenda Chato labda
 
Back
Top Bottom