Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Sasa nyote mkiugua kwa mpigo na mkatumia nyungu si mtamaliza misitu
 
Jeshi liongeze askari wengine eneo la kuagia waliopo wachache kazi ni kubwa hasa ya kuokota wanaozimia
 
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Hivi misiba kumbe ina invitation card/words!?
 
Mapadre na masista wengi wamekufa kwa Corona sababu kutwa wako Vatican Italia kwenye corona ndio maana maaskofu na mapadre wanavaa barakoa kwenye misa wakati wanakwaya na waumini hawavai barakoa Kanisani kwenye Misa
Ukiwa mnafiki na mjijga kiasi hiki, hata ile neema ya kuumbwa binadamu inakuwa haina maana.
 
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.

Uliona wapi watu wakaalikwa kwenye msiba? Edit hiyo thread yako hapo ulipoandika "niwaalike".
 
Kuaga dunia nzima inaona kuwa propaganda za Lisu na Chadema uongo na utapeli.Lisu alitoka ubelgiji akiwa kavaa barakoa na kutangaza kuwa Corona ipo Tanzania alipofika Airport barakoa akaitupa chooni miezi yote mitatu ya kampeni hakuvaa

Usidhani wazungu wajinga ukiwatapeli mara moja hawarudii kosa

Ndio maana Lisu alikosa pesa za wafadhili za kulipia mabango ya kampeni au vipeperushi wazungu wakamjua Kuwa Lisu tapeli na mwizi na Amsterdam wake wakagoma kutoa pesa hata za matangazo ya photocopy ya kampeni ya kubandika kwenye miti!!! Kuwa anasema ohhh kuna Corona anafika airport anatupa barakoa haivai hadi siku ya kurudi tena Ubelgiji Wazungu sio wajinga huwezi waibia kiboya hivyo
Sina shaka, kwenye jukwaa hili watu mnaoongoza kwa ujinga na unafiki wa nafsi, ni wewe na Etwege. Ni vigumu sana kuamini kwamba mna akili hata ile ya kiwango cha chini kabisa ya akili ya kawaida.

Kwa ujinga wa kiwango hiki, hakuna shaka, huna faida katika mazingira ya aina yoyote.
 
Jamani uwanja wa Uhuru askari wamezidiwa hali ni mbaya sana. Naandika mpaka natetemeka mimi nipo nje watu ni wengi sana na wamezuliwa kuingia na wanatumia nguvu kutaka kuingia nasikia uko ndani watu wameanza kukanyagana.

Naomba Sirro ufanye maamuzi watu wapo emotional lolote baya linaweza tokea. Ongeza timu ya usalama na watumie busara kuwasaidia watu utaratibu maana ni kama wamepaniki idadi ya watu imekuwa kubwa na wanaendelea kumiminika.

Duh JPM watu walikupenda 😭😭😭😭😭
 
Uwanja umejaa mno, naona wasipokuwa makini kutakuwa na maafa.
 
Back
Top Bottom