Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kijana foleni inasababishwa na uwepo wa Junction nyingi na siyo lanes za barabara mnaweza na kuwa na two lane two ways na foleni isionekane lakini kama mnajunction nyingi foleni haiepukiki sawa kijana... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
Baharini kuna majinilocation ya kupiga picha mkija Dar.
Anapokea vitasa hukoI wish if he could be there
Litaitwa tanzanite bridge
Kwani Tsh 10,000/ ni shida yaani mlo mmoja wa mchana tu!Gharama ya kulipia kukatiza hapo sijui itakuwa bei gani???[emoji848]
Ila ningependekeza waweke kuvuka hapo iwe 10000/ ili wale watata aka wazushi wakina Extrovert wasikatize hapo [emoji23][emoji23]
ova
Tungekuwepo wakina sisi lisingeishaaHili nilikuwa sina wasiwasi nilijua litaisha on time na kwa kiwango cha juu maana kulikuwa hakuna pua ya mswahili iliyogusa au kuona pesa za hiyo project, pesa ilitolewa na Mkorea na akalipwa contractor moja kwa moja na kazi ikasimamiwa na mkorea 100%, model iliyotumika ni sumu kwa mafisadi, Congratulations to the late President JPM
Wanasema tumekopa wala hakubana yeye pesa zetuuuuAll Credit to the Late JOHN POMBE MAGUFULI, jamaa alibana pesa ila tulijionea kwa macho pesa zikitengeneza na kuboresha miundombinu…
Aendelee kupumzika kwa Amani na kwa heshima yake ningependekeza liitwe Magufuli Bridge…