Mkopo huoAll Credit to the Late JOHN POMBE MAGUFULI, jamaa alibana pesa ila tulijionea kwa macho pesa zikitengeneza na kuboresha miundombinu…
Aendelee kupumzika kwa Amani na kwa heshima yake ningependekeza liitwe Magufuli Bridge…
N moja ya hatua ya kupunguza folen katikati ya jiji
Nyie Vwawa kaeni kwa kutulia..Tulishawatemgenezea Mpemba ..Ipinda...Isoko...Itumba Mpaka Ileje...Tulieni.Wa Mbozi huku linatusaidia nini?
Kama hujui feasibility study ya huo mradi ilianza 2014. Na 2015 mwishoni kuingia 2016 ndo Wakorea walitoa hela za ujenzi wa hilo darajaAcheni chuki za kishamba idea ndio msingi wa mradi! Usimamizi ndio unafata
Umeanza kusuasua Leo? Tafuta clip za mwaka jana Mkuu wa Wilaya alienda kugombana na washenzi wa iyo barabaraMbagala ujenzi mnasuasua sahv
Ova
SelanderDARAJA LA
SURRENDER
SELANDER
SALENDAR
Watu wa masaki na obay sahv wanaweza kutoka ferry mpaka slipway kwa kupitia baharini tuuN moja ya hatua ya kupunguza folen katikati ya jiji
njooni Dar asubuhi na mapema kila siku mnapopata nafasi, mnalitumia weeee, nenda rudi nenda rudi mpaka jua likikaribia kuzama haooo mwarudi zenu mikoani...🐭😂Sie wa mikoani tunalitumiaje
Kupigia picha, muwe mnakuja kutalii wandugu...Wa Mbozi huku linatusaidia nini?
Hilo kwako ni dogo?? Hii nchi ni kubwa huwezi kuhudumia wote kwa wakati mmoja, na ndio maana Mwanza ni JIJI na SHINYANGA NI MANISPAA. maendeleo ni hatua, tujipongeze na tuache lawama ambazo hata serikali ingeamua watafune hizo pesa kupitia warsha usingeziona.... Mkuu, hoja yangu ni kwamba tungeweza kufanya makubwa na yenye impact zaidi kwa wananchi masikini kwa kutumia the same resources.
Dah wabongo...
Sawa sawaHuu mchongo wa wakorea ulisimamiwa na JK, Magufuli aliukuuta na Samia ameukuta.
Mtahangaika sana kudiscredit kila alichofanya ila hamtaweza. Miaka mingine mitano mtaendelea kufungua miradi yake...oops miradi ya JakayaKazi ya Jakaya....mipango yote,michoro,usanifu,pesa n.k alishamaliza JK. Angalia hii post ya mwezi March- 2015 JPM akiwa Waziri wa Ujenzi na Miundombinu
Mpango wa Ujenzi wa Daraja jipya la kisasa la Salender wakamilika
Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Ocea...www.mtaakwamtaa.co.tz
Mradi huu ulikuwa sehemu ya mradi wa Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Korea Kusini, ambao ulitoa dola milioni 107 kwa ujenzi huo.[emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji15]kumbe hazikuwa fedha zetu za ndaniKampuni ya kikorea GS E& C wamemaliza ujenzi wa Daraja jipya la Selander ..mradi huu mkubwa utafunguliwa tarehe 27 Dec 2021.
Hii ni hatua njema ya ukamilishaji wa miradi yetu kama ilivyo kwenye Ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025.
Daraja hili lina urefu wa mita 670 Ni aina mpya ya daraja ambayo imechanganya sifa za daraja la mhimili na daraja lililokaa kwa kebo ili kuifanya iwe nyepesi. Mbinu hiyo huongeza uwezekano wa ujenzi na kiuchumi, kulingana na mjenzi.
Mradi huu ulikuwa sehemu ya mradi wa Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Korea Kusini, ambao ulitoa dola milioni 107 kwa ujenzi huo.
View attachment 2053095
Ucheke na wewe.Pesa atoe mkorea, kujenga ajenge mkorea alafu hongera unatoa kwa magufuli
Soma link mkuu. Historia ni ngumu kufutika hasa ya mitandaoni.Mtahangaika sana kudiscredit kila alichofanya ila hamtaweza. Miaka mingine mitano mtaendelea kufungua miradi yake...oops miradi ya Jakaya