Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu.
Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna uhakika na usalama wa madarasa mengine.
Tumejaribu kumtafuta Mbunge wetu na Diwani wote hawapokei simu na hatujui nini kinaendelea, darasa liliporomoka wiki moja iliyopita lakini hadi sasa hakuna kilichofanyika.
Wanafunzi wanaendelea kusoma katika madarasa mengine, hivi kweli ingekuwa ni Watoto wao hao Wanasiasa wangeendelea kuwa kimya kama hivi?
Shule hii yenye Wanafunzi zaidi ya 250 nimeona pia kuna madarasa yamefungwa hayatumiki kutokana na uchakavu.
Wizara ya Elimu mkoa wapi au mnasubiri msikie Walimu na Wanafunzi wamekufa ndio mtakuja na kamera nyingiii, inatia hasira sana.
Baadhi ya madarasa ya Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro yameporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule huku wanafunzi wakiwa Shuleni na kuhatarisha Usalama wa wanafunzi Shuleni hapo. View attachment 3053278 View attachment 3053277
Viongozi wa shule mara nyingi sana huwa siyo wataalamu kwenye masuala ya Building Survey Engineering.
Serikali inapaswa iwe na Mipango ya kufanya Building Survey Inspections za mara kwa mara kwenye Majengo yake, ili Kama itabainika kuwa Jengo fulani lina uchakavu basi lifanyiwe Matengenezo au ukarabati Mapema kabla halijafikia hatua mbaya kama hii ya kubomoka au kuporomoka. Routine Maintenance or Preventive maintenance is required for all governments' schools infrastructures.
Usikute waliona,,Shida ni kuwa kwenye hizi shule kubomoa jengo chakavu tu mpaka mkapate ruhusa sijui kwa afisa elimu sijui nani mara mpige picha mlolongo mreefu kuchoshana tu
Baadhi ya madarasa ya Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro yameporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule huku wanafunzi wakiwa Shuleni na kuhatarisha Usalama wa wanafunzi Shuleni hapo. View attachment 3053278 View attachment 3053277
Cc: CCM na mlaaniwe na Samia wenu milele..Watoto wana nusurika kufa Rais ananunua gari la KUNYEA kweli??Kwa CCM mavi ya Raisi ni bora kuliko uhai wa binadamu...?..:eti kuliko kujinyea yeye kwenye chupi?
Baadhi ya madarasa ya Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai mkoani kilimanjaro yameporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule huku wanafunzi wakiwa Shuleni na kuhatarisha Usalama wa wanafunzi Shuleni hapo. View attachment 3053278 View attachment 3053277
Inasikitisha sana. Cha kushukuru ni watoto hawakudhurika. Ina maana Mbowe kipindi chote Cha Ubunge wake hakufanya lolote! Anyway DC, DAS na DED wanawajibika kwa hili.