Utakua umechanganya story, maana loveness mamuya na mange ni kitu kimoja. Ni marafiki wa karibu SanaNimeona sehemu mange kimamb anamshtumu mtu anaitwa loveness kuwa ni tiss ambaye aliwa kuomba Dola laki 300000 amshuhulikie mange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mwalimu hata ukiongezewa hiyo 20000 itasaidia nini?
Binafsi sioni Kama walimu ni watumishi wa umma, tuwatafutie jina lingine.
Je, kama atakayekuja hatokuwa mropokaji, hatokuwa mpayukaji, atakuwa muwazi na mkali kwa yeyote atakayefanya uzembe, atakayehimiza kuwahi kazini, atakayeajiri, atakayethibiti mafisadi kisawa sawa, atakayeleta nidhamu kazini na maendeleo kwa ujumla, atakayetawala kwa haki n.ktukale wapi polisi au...km huwezi kupiga kaa/tulia ivoivo! ule za uso!! ..... na bado!! akija mwingine kaa jiwe safari ijayo tunapiga nyundo ya kichwa ana kaa chini japo ni vigumu kumpata tena Lugumya! mlipukaji km jiwe!
Kwa sifa hizo tu!! tutamshika shika!! mahali fulani!! na sisi pia kimya!! kimya!!...ukizingatia dawa ya moto ni moto!!........Hakuna mweusi fisadi wewe!! ,,,hao ni waganga njaa!! rudi shule ndo uje hapa! ...Je, kama atakayekuja hatokuwa mropokaji, hatokuwa mpayukaji, atakuwa muwazi na mkali kwa yeyote atakayefanya uzembe, atakayehimiza kuwahi kazini, atakayeajiri, atakayethibiti mafisadi kisawa sawa, atakayeleta nidhamu kazini na maendeleo kwa ujumla, atakayetawala kwa haki n.k
Je, huyo mtampiga nyundo pia?
sawa lkn tukirusha nje ina maana!!! je wao wa nje watakula nini?? lazima wale vyakutupiwa!........lkn kwa nini muwaonee dagaa wkt papa na nyangumi mnawaogopa??? Makanikia yaliishia wapi??? hao ndo wanakula na kusaza!Pigeni kwa adabu sio kama makinda ya ndege,mpaka mnarusha nje chakula.
kwani mtoto si ntu?? acha dharau za kimakonde wewe!Una akili ya kitoto sana.
Inawezekana Kuna ukweli hapa maana ngoja tuone Mei mosiGudu pipo how are you! Mko kimya vip na nyie mpo mnazurula ati natangaza wanyama na vinyago na milima na mabonde?
Nyie nilikuwa busy nasoma riwaya nimegundua
sijawahi kuona CEO anaeswampa kiasi hiki, ofisin hakukaliki ni full kuswampa kampuni zote duniani.
Wateja wa kampuni hii ambavyo hawatambui mambo basi wanachekelea na kusifia.
Nawaambia hivi, ukiona manyoa..........
wenye kampuni yao sasa wako jikoni wanapika na kupakua.
kumbe kabla ya kampeni yule banana alikuwa yuko vizuri kabisa halafu kipi kilisababisha mpaka atamani kukikalia hicho kiti milele daima wakati watangulizi wake hawakuthubutu hata kuongeza sekunde 1 ya muda wao
Nimeanza kuelewa kwanini Tumia akili alileta uzi wa FDR franklin delano roosevelt na miaka yake 12 ndani ya Tanzania!!kumbe lady gaga ameanza kutengeneza himaya yake bila kufuata maelekezo ya TABASAMU DAIMA!!!!??
Mkuu hujui kuwa jamaa mpaka alihamishia shirika la ndege chini ya ofisi yake ili tu lisikaguliwe kama aliyofanya kwenye kivuko kibovu. Au na hili ni uongo pia?Hivi kweli kabisa umekaa unamuamini Zitto?
Akileta habari za kijiwejiwe ni nyundo tuJe, kama atakayekuja hatokuwa mropokaji, hatokuwa mpayukaji, atakuwa muwazi na mkali kwa yeyote atakayefanya uzembe, atakayehimiza kuwahi kazini, atakayeajiri, atakayethibiti mafisadi kisawa sawa, atakayeleta nidhamu kazini na maendeleo kwa ujumla, atakayetawala kwa haki n.k
Je, huyo mtampiga nyundo pia?
Kuna yule CEO alikuwa anaua wafanyakazi wake. Ndiyo maana wafanyakazi wanaona bora huyu kwani hali zao zimeimarika na wana amaniGudu pipo how are you! Mko kimya vip na nyie mpo mnazurula ati natangaza wanyama na vinyago na milima na mabonde?
Nyie nilikuwa busy nasoma riwaya nimegundua
sijawahi kuona CEO anaeswampa kiasi hiki, ofisin hakukaliki ni full kuswampa kampuni zote duniani.
Wateja wa kampuni hii ambavyo hawatambui mambo basi wanachekelea na kusifia.
Nawaambia hivi, ukiona manyoa..........
wenye kampuni yao sasa wako jikoni wanapika na kupakua.
Itoe mimba hiyo itakusumbuaKuna yule CEO alikuwa anaua wafanyakazi wake. Ndiyo maana wafanyakazi wanaona bora huyu kwani hali zao zimeimarika na wana amani