Dark days 17/03/20...

Please Madam NEW CEO,

Tafadhali nakusihi Kwa Jina la Mungu,

Itisha na litangazie Taifa juu ya maombi ya TOBA na REHEMA Kwa Taifa Zima Kwa japo siku 3.

Nimeona umeenda CHATO kuzuru tena kaburi la Old CEO,

Tafadhali sana, Kaburini hakuna solution, walioko gizani hawamsifu Mungu, wamefungwa ktk vifungo kusubiri HUKUMU,

Umepewa mamlaka juu ya watu, Mungu ametoa ujumbe Kwa Taifa Ili watu wote waingie ktk maombi bila kujali dini zao, kabila Wala RANGI.

Tangaza walau siku 3 za maombi ya kitaifa, tumebakiwa miezi 10 bt zisipoonekana jitihada, ADHABU juu ya Taifa, viongozi na KANISA vinaweza kuwa even before muda huo.

Ee Mungu, mbariki Madam NEW CEO, tunamuombea HEKIMA yako Mungu ktk kuwaongoza watu wa Mungu ktk Taifa.

Sikia kuomba kwetu.

Amen.
 
Amen
 
Ujumbe huu ilitoka tangu Sept mwaka Jana.

Mataifa kama Saudi Arabia, Syria, Lebanon, Turkey yasingepata madhara makubwa ya Matetemeko, Mafuriko, njaa kiasi kile kama yangeungana kulia na kuomba TOBA mbele za Mungu.

Tupatapo ujumbe wa Mungu, tusisubiri yatokee, tuchukue hatua kuyazuia yasitokee.

Mungu hajawahi kufanya au kuruhusu Janga au ADHABU itokee bila kuwaarifu Manabii wake.

Amen
 
Tafuta uzi mmoja wa Mshana anazungumzia kuhusu mbengu inayotungwa kipindi mama anapata ujauzito, ameelezea jinsi shetani anavyoiwahi na kupandikiza roho yake na mtoto akizaliwa anakuwa na tabia za ajabu ajabu.

Ni vizuri wana ndoa kabla ya kupata mtoto wawe makini katika kuomba na kutakasika ili shetani asipate nafasi ya kuvuruga kizazi.

Chunguza familia nyingi kuna baadhi ya mtoto/watoto wanatofautiana sana tabia na matendo mpaka wanafikia kujiuliza hivi huyu ni ndugu yetu/zetu kweli?

Yaani kama ni mwizi, ni mwizi kweli kweli, mgomvi, roho mbaya, tabia chafu, jambazi sugu, mwingine ana nguvu za ajabu akianza kupigana kuanzia asubuhi hadi jioni..n.k

Kwahiyo kuna uhusiano na alichokisema mdau japo kuna ambao ni malaika wanashuka kweli katika umbo la kibinadamu na wengine wanazaliwa kawaida, wanaweza kuwa hawajui wanapokuwa wadogo lakini wakishafikia umri/muda wa kuanza kazi ndipo ujulishwa mission yao na wao ni akina nani.

Mambo ni mengi.
 
Mungu aliposema usizini alimaanisha.

Ni Kweli Kila mtoto azaliwapo anakuwa na Ile inaitwa WILL, kujua mema na mabaya. Mtoto anatakiwa achague ndani yake atapojitambua.

Bt chanzo kikuu Cha mtu kupata mtoto mwenye TABIA tofauti na wazazi ni ZINAA.

Ukilala na mwanamke hata bila kuzaa naye unaungana naye kimwili na kiroho pia.

Kama mwanamke ana mizimu yakwao, mapepo, au magonjwa ya ukoo ya kurithi kama KIFAFA, UKOMA NK, unaungana nayo kupitia kufanya tendo la NDOA.

Hivyo ktk kizazi tegemea watoto wasioeleweka kama uliwahi fanya hivyo.

Sasa tangu ujana, hesabu wanawake uliowahi zini nao na tabiri future ya kizazi chako kijacho na aina ya watoto na wajukuu utakaokuwa nao.

ZINAA ni mbaya sana. DHAMBI zote zingine mtu hufanya nje ya MWILI wake, bt UZINZI mtu hufanya na mwili wake.

Mungu tuhurumie, tunatubu, utusamehe pia.

Amen
 
Inatisha sana .Mungu atusaidie ndio maana maombi ya toba na rehema kwa ajili ya uzinzi huchukua muda mrefu sana kuisha. Wanaoelewa wanayaelewa haya.
 
.
 
Narudia tena nchi haina dini, na kuthibitisha hilo huo ushauri wako wa kijinga hakuna atakayeufuata, sio leo wala kesho. Endelea kuishi kwenye ulimwengu wa kufikirika.
Wakati Magufuli anaitisha maombi ya corona ulikua haujapata smartphone? Au kipindi hicho nchi ilikua na dini?

Kenya hapo juzi walifanya maombi kitaifa kuombea mvua zinyeshe. Na wao nchi yao ina dini?
 
Mkuu samahani kwa maswali yangu ila kuna jambo najifunza....
Ina maana huyo namba 1 atakayekalia Kiti atakuwa binadamu Wa aina hii?
 
Ukifuatilia Bungeni wana utaratibu wa kuanza session na ratiba ya bunge kwa dua na sala kila siku.

Pia tuna katiba inatambua na kuruhusu uhuru wa kuabudu kwa watu wote kila mmoja kwa imani yake.

Sasa kama huko bungeni wanaanza siku kwa kumuomba Mungu kwa dua na sala kwanini iwe ni tatizo mkuu wa nchi kutangaza maombi kwa taifa?

Bungeni wanaomba Mungu kwanini mkuu wa nchi kutangaza maombi iwe tatizo?
 
Mkuu unaposema anaweza kuji attach anyware unamaana gani? Naomba kueleweshwa hapa mkuu....[emoji122]
 
Mkuu unaposema anaweza kuji attach anyware unamaana gani? Naomba kueleweshwa hapa mkuu....[emoji122]
Anaweza ishi family maskini kabisa, au akaishi mahali akawa na mwonekano kama wa mwendawazimu,

Anaweza kuja kama abiria na akapanda bus, treni au meli asitambulike, Nia ni Kuokoa au kuangamiza, inategemea ameagizwa Kutoka JUU au CHINI.

Mungu alipotaka kuichoma Sodoma na gomora aliwatuma Malaika waliovaa miili ya WANADAMU kabisa,

Yohana Mbatizaji alikuja akawa akiishi porini akila asali na nzige,

Wapo wengine walielekezwa kuoa na kuzaa na makahaba kabisa nk nk.

Unaweza pokea mtu mwenye shida na kumkaribisha nyumbani ukamsaidia chakula na malazi usijue ni Malaika katumwa kwako ku unlock jambo lilofungwa kwako.

In most cases hawaji ktk ufahari na utajiri. Bt nguvu zao hazielezeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…