Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Sijui nchi inavyo work sawa ,ila najua Cyber security na Sheria zake,kwa kusoma darasani na kwa kusikia kama hivi,..unajua mwenye piratebay ujinga kidogo sana,zaidi ya kidogo umemkamatisha,now yupo segadance,jela miaka 15huko siyo uhalifu tu bob
Hiyo ni una censored internet
Wasiwasi wako tu wangekua wanashida wangeanza na hawa watz wanaomiliki blog za porn hapa hapa bongo!
we jamaa ni muoga na uko paranoid hujui hata nchi yako jinsi inavyo work
Ila unayoyajua kama dark web hutaki kunishirikisha. Sijui kwa nini bro hunitakii mema kiasi hiki 😁😅😅😅
Kaka mimi ni muumini wa falsafa hii,"everything is possible under the sun".
Yan naamin kabisa hata yale ambayo mimi sijawah hata kufikir kama yapo, tayar kuna watu wanayajua na kuyafanya since long time.
Nenda kajifunze na kujioneea kisha ukija hapa ubaki kuwasoma tu la ukiweza wachallengeAsee kama ni hivi bro bora niendelee kuwa ignorant
Hujaelewa,porn sio illegal,..ila Ina content gani ndio illegal,huwezi kutafutwa na askari wa Tanzania,utafatiliwa na FBI,kama umeangalia Movie inaitwa Snowden au umesoma habari zake,FBI na CIA wanauwezo wa kusoma hata hii post,tena watu hawazidi watano,wanasoma emails na message za watu Dunia nzima,Kuna Maneno Wana ya filter so zile potential threat ndio zinachujwa,..so mtandaoni usikae kwa kujiamini sana,huko siyo uhalifu tu bob
Hiyo ni una censored internet
Wasiwasi wako tu wangekua wanashida wangeanza na hawa watz wanaomiliki blog za porn hapa hapa bongo!
we jamaa ni muoga na uko paranoid hujui hata nchi yako jinsi inavyo work
we jamaa una IQ gani? mbona uko shallow sana kwenye kuchakata taarifa unazopewa?mboo zilizotumika tena mkuu sijaelewa
Yeah mkuu maana naona wadau wa dark web wanamwaga data tu. Ila pia wamenijibu swali nililokuwa najiuliza sana kuwa, kwa nini human trafficking ni biashara kubwa sana lakini impact yake ni utaiona kwenye simulizi za documentaries bila kuwa na specific data. Sasa ndio nimeelewaNenda kajifunze na kujioneea kisha ukija hapa ubaki kuwasoma tu la ukiweza wachallenge
Kwamba ni zaidi ya mdudu wa uviko, asije akajichanganya?Unatafuta jela,..yaani ufanye biashara Darkweb Hela uweke kwenye account yako??mkuu, jifunze zaidi kuhusu darkweb,utapewa kesi mbaya ,mauaji,madawa, human trafficking,unaweza kudhani utani,ila jichanganye..
Nahhhh kama ana shida nazo anawezq kuwa contact watu kwa inbox, si wote ambao hawana knowledge ya darkwebKauliza tangu mwanzo sites lakini wote mnarukaruka tu
Wewe hapo unaongea kwa experience au unaongea kwa sababu na wewe ulisimuliwa mkuuKuna sites huingii kizembe mpaka upate link Kwa insider na ufanye subscription , mfano WA sites wanazouza porns za watoto wanaofirwa na kuchinjwa live , unafikiri hizi porn hazipo ? .
Mfano Marekani , Canada na Europe Malaki ya watoto wadogo wanapoteza kila mwaka na haijulikani wameenda wapi
Feds WA FBI , Interpol nk wapo wamezagaa humo kila mahala kusniff criminals , unafikiri hao criminals watajiexpose kizembe ,tena Kwa crime nzito kama hizo ?
Ni mpaka ufanye subscription na ni pesa kubwa tu
Kuna zingine kama hidden wiki unaingia direct Tu bila subscrption
Darkweb ni kama bahari , na sites mi nyingi mno ,
Inategemea na wewe inatafuta nini .
Nataka wa kumnyonya damu mkuu ndio maana nawachokoza hao.Kiungo punda jini makata wewe ni mshari shari tu mara zate ,kwema lakini?
Acha uongo we bwana mdogo wa Nkasi Rukwa.😀😃😄😁Kuna sites huingii kizembe mpaka upate link Kwa insider na ufanye subscription , mfano WA sites wanazouza porns za watoto wanaofirwa na kuchinjwa live , unafikiri hizi porn hazipo ? .
Mfano Marekani , Canada na Europe Malaki ya watoto wadogo wanapoteza kila mwaka na haijulikani wameenda wapi
Feds WA FBI , Interpol nk wapo wamezagaa humo kila mahala kusniff criminals , unafikiri hao criminals watajiexpose kizembe ,tena Kwa crime nzito kama hizo ?
Ni mpaka ufanye subscription na ni pesa kubwa tu
Kuna zingine kama hidden wiki unaingia direct Tu bila subscrption
Darkweb ni kama bahari , na sites mi nyingi mno ,
Inategemea na wewe inatafuta nini .
Pepo shindwa😁Nataka wa kumnyonya damu mkuu ndio maana nawachokoza hao.
Mkuu,nataka nikaangalie porn bila kuvunja sheria...ni porn gani naweza ona bila kuvunja sheria?Kama hujui inatumiwa vipi utadhani ni browser za kawaida .. Ila kama unajua wala haiwezi kukusumbua.
Mfano hii tovuti hapa http://nick6gsepvtmkcpibpid6dqtqrox...fer-large-files-from-one-computer-to-another/
Ukiifungua kwa browser za kawida haifunguki . Ila kwa kutumia Tor browser inafunguka.
Ni ya amba ruti peke yake😂😂😂Mkuu,nataka nikaangalie porn bila kuvunja sheria...ni porn gani naweza ona bila kuvunja sheria?
Kwa kweli sijui maana sijawahi fungua hizo link .. Na pia hata kama ningejua nisingeweka hapa maana nitakubwa na balaa la kusambaza maudhui ya ngono mitandaoni.Mkuu,nataka nikaangalie porn bila kuvunja sheria...ni porn gani naweza ona bila kuvunja sheria?
Ungekuja taratibu kuuliza ungeelekezwa.Wakuu ukisikiliza stori za dark web mtandano na mitaani unaweza pagawa.
Lakin huko dark web hamna lolote
Tuleten odds tule mikeka tuwe matajrUnaweza nunua hata sumu kali za kuua maelfu ya watu kwa wakati mmoja , vitu kama polonium , cyanide , vinapatikana kule .....
Hadi viungo vya mwili vinapatikana , porn za kila aina , makahaba wa jinsia zote ,madawa ya kulevya , kukodi wauaji , silaha , vitambulisho vya kila aina , wadukuzi wa kukodi nk
Kila uchafu unaoujua
likuwa money manager wa APOLLOUmenikumbusha mwamba wa kuitwa Jeffrey Edward Epstein,alikua na kisiwa kinaitwa The Virgin island,humo underage warembo matajiri wa Dunia wanaenda kula Bata,,aliposhikwa scandal ikawa kubwa sana maana marafiki zake aliokua anakula nao Raha , Donald trump, Mfalme wa Saudi Arabia,Bill Clinton, Prince Andrew,P DIDDY list ndefu,,
Alikubali kuwataja washirika wake kwenye plea deal, Bahati mbaya akafa gerezani kwa Kujinyonga,,hah story zinasema hakujinyonga,wakubwa wamemziba mdomo ,kafa mwaka 2019 na utajiri wa mabilioni ,chanzo Cha mapato hakijulikani,rafiki wa watu maarufu DUNIANI...