Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

ukinunua vitu online hukamatwi?
Vitu vitakufikiaje kama hujazi detail zako za delivery?
Najifunza
Unaweza kununua software, kulipiza course za online kama Udacity, tutorialspoint, udemy, n.k.
Unajua wezi wa card za bank kwa grabber wanatumiaje hizo card?
Wanaenda kununulia vitu kama mlimani city mall kwa hiyo card kisha Wana discard haraka hawarudii kuutumia.
Ukinunua TV, saa au simu ya 2M unaenda kuiuza kwa 1.5M au 1M huko mtaani.
 
ukinunua vitu online hukamatwi?
Vitu vitakufikiaje kama hujazi detail zako za delivery?
Najifunza
Wenye card wengi hawajui haraka Kama detail zao zimeibiwa.
Unaingia dukani una swap unapewa vitu unatambaa hurudii tena kuitumia inaweza kuwa ipo flagged as a stolen card.
Bidhaa uliyonunua unaweza kuiuza tena kama kwenye second hand goods. Hiyo ni money laundering flani.
 
kupitia hii thread nimeafanikiwa kuingia dark web kwa mara ya kwanza lakini bado sieelewi elewi natumia Nord VPN kwa wataalam hiyo VPN inafaa ? ninataka nieend deep zaid
 
Wenye card wengi hawajui haraka Kama detail zao zimeibiwa.
Unaingia dukani una swap unapewa vitu unatambaa hurudii tena kuitumia inaweza kuwa ipo flagged as a stolen card.
Bidhaa uliyonunua unaweza kuiuza tena kama kwenye second hand goods. Hiyo ni money laundering flani.
Card ya kuswap unatoa wapi ilihali wale jamaa kule dark web wanakuuzia number za account Kwa ajili yamalipo mtandaoni.?
 
Umeshawahi kusikia kompyuta inayokaa kwenye USB flash
Yaani hii ni kompyuta mpoteo, ukichomoa tu USB flash, na yenyewe inapotea kama moshi unavyoyoyoma....
Hizo ndio watu wanaingia nazo dark web, na ukichomoa tu USB haiachi nyayo zozote kwenye PC au Laptop yako kuonyesha uliingia dark web......
Endelea kujifunza kijana
This message will self destruct in 60 seconds
 
Maana humu kuna mdau kashaingia amekuja hapa kasema huko hamna ishu..

Inawezekana acess ya kupata hayo yote ni too difficult ni wachache sana wame penetrate huko.

Ila kwa story za hapa jf unakuta jamaa mshipa wa shingo unamtoka kuelezea utafkili anajua vile...
Kumbe kaenda google
Naona Wengi wame ngangania wapewe link 😅😅.

Iko hivi, site za dark web link zake zimekaa kitata sana, ni mchanganyiko wa Numbers, letters na ndefu ndefu, nani ana muda wa kukalili?? Mfano let's say
Link imekaa hivi, xyewal4hdjwkakxmamwked.Orion
Unaweza tenga muda wako kukariri? Wkt ukiend The Hidden Wiki unakuta links kibao? Au Unaweza nenda Daniels ukasearch vitu ukapata.

Yale yanayosemwa kuhusu DarkWeb hata sio uongo, Ile ni internet ambapo hakuna kiranja wa kukuchujia vitu, hakuna ulegevu wa mtu kukujua kirahisi ( Hapo lazima awe mtaalamu na kwa msaada wako au Ujinga wako ndio anaweza kukujua). So hayo mengine, ni lazima ww ujue kuyatafuta.

Kwani hii internet ya kawaida ,ukiingia tu utakuta video za mziki? Au Ukienda tu utakutana na Porn? Lazima utafute, sema wengine hawajui Keywords za kutafutia , wanahisi wakiingia Duckgo tu unakuta watu wanachinjana😅😅.

Huko Hadi CIA, US NAVY wana Sites zao wanazotumia kuwasiliana, Kuna Journalist Wana sites zao ww kuweka Report. Uhuru tu sema ww unautumiaj? Kukimbilia kuangalia live accident au uende kwa Wauza madawa etc.

Kwa wafanya research, humo patamu unawez pata Papers zinazo uzwa for free, wazee wa vitabu sehem yenu hiyo.... DARK WEB UNYAMA.
 
Mkuu embu ingia hapo kwenye Non commercial erotica

Card ya kuswap unatoa wapi ilihali wale jamaa kule dark web wanakuuzia number za account Kwa ajili yamalipo mtandaoni.?
Hiyo card inaweza kuchongwa na kuwa replica na unaletewa mpaka mlangoni kwako Kwa additional fee .
Hiyo card yako ya benki uliyonayo kwa taaalamu wa dark web ,wakizipata informations zilizopo hapo kwenye hiyo card ,wanaweza kuchonga card nyingine na wakaitumia kukomba kila senti iliyopo kwenye account yako .
 
Card ya kuswap unatoa wapi ilihali wale jamaa kule dark web wanakuuzia number za account Kwa ajili yamalipo mtandaoni.?
Kwenye Darkweb Unaweza nunua us credit card ya wizi toka Marekani yenye dollar hata 20000 kwa USD 500 ,na wakakuchongea replica yake ambayo unaweza tumia kwenye atms au swapping machines Kwa risk zako mwenyewe , hiyo card wabayokuchongea inakuwa na uwezo ule ule kama alivyo nayo huyo aliyeibiwa hizo taarifa zilizotumika kuchonga hiyo card nyingine .
Kiufupi siku hizi wahuni hawana muda wa kukuibia card yako ,wao information tu chache za kwenye card uliyonayo zinatosha , we baki na plastic lako ,kazi watamaliza wenyewe .

Ndio maana kuna mdau hapo kasema , kama ukiamua kutumia credit card au debit card ya wizi ,ni vizuri kuitumia maramoja na kuhakikisha unakomba kila kilichomo humo kwa mpigo na kudispose hiyo card mazima .
Maana mara nyingi muhusika anakuwa hajashtukia kama kuna wahuni wana replica ya card yake na wameshaanza kuwithdraw pesa either Kwa online payments , kuswap au kuwithdraw Kwa atm
 
Nimekupata sasa changamoto inabaki kuwa hapa tz ukinunua mfano kifaa cha $20000 ni lazima utapewa na maristi na pengine dukani panakuwa na camera vipi upelelezi ukiendelea huwezi kudakwa Kwa kuangaliwa Kwa kumbukumbu kutoka pale dukani?
 
Ndio risk zenyewe hizo , ndio maana kuna mtu anaweza jiuliza kwa nini hao wadukuzi wanaamua kuuza hizo card za wizi na kuchonga card za wizi kwa kuiba au kudukua information za watu ? .
Jibu ni kwamba wanatawanya risk .
Yeye muuzaji na mdukuzi anayetengeneza card na kuiba information za watu anaona ni less risky kuliko kuamua kuwithdraw pesa au kununua vitu kwa kutumia card hizo za wizi ,
So inatakiwa kila unachofanya utambue na risk zake pia
Hata wewe unayenunua unabeba risk kubwa tu ya kudakwa na vyombo vya kuzuia uhalifu kama ukishtukiwa
 
Card ya kuswap unatoa wapi ilihali wale jamaa kule dark web wanakuuzia number za account Kwa ajili yamalipo mtandaoni.?
Unajua mode operandi ya wizi wa kutumia grabber na kutengeneza kadi mpya yenye taarifa kama Ile original?
Kadi inaibiwa taarifa Zanzibar inaonekana imetumika UK au SA na mmiliki anayo original yake USA?
Muhimu ni zile taarifa za mwenye card na account yake.
 
Ndio risk zenyewe hizo , ndio maana kuna mtu anaweza jiuliza kwa nini hao wadukuzi wanaamua kuuza hizo card za wizi na kuchonga card za wizi kwa kuiba au kudukua information za watu ? .
Jibu ni kwamba wanatawanya risk .
Yeye muuzaji na mdukuzi anayetengeneza card na kuiba information za watu anaona ni less risky kuliko kuamua kuwithdraw pesa au kununua vitu kwa kutumia card hizo za wizi ,
So inatakiwa kila unachofanya utambue na risk zake pia
Hata wewe unayenunua unabeba risk kubwa tu ya kudakwa na vyombo vya kuzuia uhalifu kama ukishtukiwa
Mkuu uko deep Sana,Asante Kwa elimu.
 
Unajua mode operandi ya wizi wa kutumia grabber na kutengeneza kadi mpya yenye taarifa kama Ile original?
Kadi inaibiwa taarifa Zanzibar inaonekana imetumika UK au SA na mmiliki anayo original yake USA?
Imetumika physically siyo online.
Okay hapo sawa hawa jamaa ni noma Sana,sasa mfano aliyeibiwa taarifa za card yupo Iceland atamdakaje anaye withdraw Hela Kwa ATM akiwa na kadi ya mchongo akiwa kigoma na pengine anaingia ATM akiwa kaficha sura?
 
Unaweza nunua hata sumu kali za kuua maelfu ya watu kwa wakati mmoja , vitu kama polonium , cyanide , vinapatikana kule .....
Hadi viungo vya mwili vinapatikana , porn za kila aina , makahaba wa jinsia zote ,madawa ya kulevya , kukodi wauaji , silaha , vitambulisho vya kila aina , wadukuzi wa kukodi nk
Kila uchafu unaoujua
Na ukisha nunua hizo bidhaa utazitumia wapi ? Yaani hukohuko Dark Web au utakuja tumia huku duniani?

Msitufunge kamba bana? Ni porn gani ambayo iko Dark Web na haiko huko GOOGLE? Hayo madawa ya kulevya ukishanunua utafikishiwaje hapa Kimara unapoishi?

Eti silaha kununua Dark Web? Kwanini nisiende kununua Eastern Europe huko au DRC kwenye mapigano.

ACHENI UFALA na hiyo DARK WEB, Haina lolote
 
Ilikuwaje mkuu
Unajua dunia hii ina mambo ya ajabu sana! Yani ilikuwa ala ya music ambayo nilisikiliza kupitia laptop yangu. Hakuna maneno ni ala peke yake nilisikiliza muda usiozidi sekunde 3 hivi amini usiamini kuna vitu utaviona au kuvisikia utadhani ni vya kawaida kumbe vyaweza kuwa roho na kuleta madhara makubwa kwa mtu.

Yaani ule mziki ulikuwa mmbaya mnooo, sina maneno ya kusema miziki mibaya sote tunaijua kwa hali ya kawaida; ila bwana kuna miziki MIBAYA!!! Ulishawahi kusikia rangi au kuona harufu? Huo mziki niliuona na kunusa harufu yake! Oooohhh!!! Acha kabisa duniani kuna mambo ya ajabu.

Niliingiliwa na kitu nachoamini ni supernatural yaani pepo mmbaya sana na nilijikuta sina tena ile amani na ubinadamu nilioumbiwa na Mungu! Kumbe Mungu ametuumbia mambo mazuri hivyo na kwamba roho wa Mungu yupo kweli ndani yetu kama tunvyosikia watu wa Mungu wakisema?

Manake kwa muda mfupi tu less than two days nilizokuwa katika hali ile kila mtizamo wangu kuhusu maisha ulibadilika sikuweza kukaa au kulala na kupata usingizi. Hata nikitembea barabarani natamani kukimbia au kuruka.

Nashukuru Mungu bado roho ile Mungu hakuiruhusu initawale ufahamu wangu kwani bado nilikuwa najitambua na kujua nini cha kufanya. Na liporusha laptop yangu nikaingia kuomba Mungu msaada haraka na kukemea hali hiyo kwa Jina la Yesu.

Kesho yake baada ya toba kubwa niliingia Agano na Mungu kuwa nisiamke asubuhi inayofuata nilikuwa na hii hali. Na Yesu ni mwezaji na mwaminifu. Ilipofika saa 11 asubuhi ile nazinduka tu usingizini ghafla nilisikia sauti kubwa ikitoka kinywani huku kinywa changu kikifunguka bila mimi kupenda na sauti kubwa HIIIIIIIIIHHHH ilisikika! Haikuwa mwayo hata kidogo. Sikuamini huo ndio ulikuwa mwisho wa hali ile. Lakini kuteseka niliteseka hata kutamani kufa kabisa!

Vijana msithubutu kuangalia dark webs/sites ni sawa na kwenda kuzimu, ni malango ya kuzimu (portals) na yamewekwa mahsusi kuwaingizia watu mapepo!
 
Ubongo wa binadamu umeumbwa kuchunguza vitu ulimwenguni haijalishi ni vya namna gani!

Hizi dini zimeumbwa kupofusha watu na kuwafanya wasigundue jambo lolote nyuma ya pazia
 
Na ukisha nunua hizo bidhaa utazitumia wapi ? Yaani hukohuko Dark Web au utakuja tumia huku duniani?

Msitufunge kamba bana? Ni porn gani ambayo iko Dark Web na haiko huko GOOGLE? Hayo madawa ya kulevya ukishanunua utafikishiwaje hapa Kimara unapoishi?

Eti silaha kununua Dark Web? Kwanini nisiende kununua Eastern Europe huko au DRC kwenye mapigano.

ACHENI UFALA na hiyo DARK WEB, Haina lolote
Uwezo wako bado ni mdogo sana kuelewa kinachojadiliwa humu
Ndio maana niliwahi kukuuliza unajua kweli Stuxnet nini au unajiita tu baada kusoma upupu ulioletwa humu JF
 
Back
Top Bottom