Maana humu kuna mdau kashaingia amekuja hapa kasema huko hamna ishu..
Inawezekana acess ya kupata hayo yote ni too difficult ni wachache sana wame penetrate huko.
Ila kwa story za hapa jf unakuta jamaa mshipa wa shingo unamtoka kuelezea utafkili anajua vile...
Kumbe kaenda google
Naona Wengi wame ngangania wapewe link 😅😅.
Iko hivi, site za dark web link zake zimekaa kitata sana, ni mchanganyiko wa Numbers, letters na ndefu ndefu, nani ana muda wa kukalili?? Mfano let's say
Link imekaa hivi, xyewal4hdjwkakxmamwked.Orion
Unaweza tenga muda wako kukariri? Wkt ukiend The Hidden Wiki unakuta links kibao? Au Unaweza nenda Daniels ukasearch vitu ukapata.
Yale yanayosemwa kuhusu DarkWeb hata sio uongo, Ile ni internet ambapo hakuna kiranja wa kukuchujia vitu, hakuna ulegevu wa mtu kukujua kirahisi ( Hapo lazima awe mtaalamu na kwa msaada wako au Ujinga wako ndio anaweza kukujua). So hayo mengine, ni lazima ww ujue kuyatafuta.
Kwani hii internet ya kawaida ,ukiingia tu utakuta video za mziki? Au Ukienda tu utakutana na Porn? Lazima utafute, sema wengine hawajui Keywords za kutafutia , wanahisi wakiingia Duckgo tu unakuta watu wanachinjana😅😅.
Huko Hadi CIA, US NAVY wana Sites zao wanazotumia kuwasiliana, Kuna Journalist Wana sites zao ww kuweka Report. Uhuru tu sema ww unautumiaj? Kukimbilia kuangalia live accident au uende kwa Wauza madawa etc.
Kwa wafanya research, humo patamu unawez pata Papers zinazo uzwa for free, wazee wa vitabu sehem yenu hiyo.... DARK WEB UNYAMA.