DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

Kuna Mdada Dereva wa Mwendokasi wa Gerezani - Muhimbili hebu muangalieni kwa jicho la tatu na kama mumempa dakika chache kufika aendako basi muongezeeni.

Mana Sijui anawahigi wapi wakati route yenyewe ni fupi tu.
 
Hakuna hoja hata moja iliyoqahi kujibiwa humu na hawa nyumbu DART! Ushuzi kabisa huu!
 
Huduma zetu zinaendelea vyema tafadhali endelea kutufuatilia , yajayo yanafurahisha.
 

Attachments

  • Januarry 4 photo.jpg
    215.4 KB · Views: 19
Huduma zetu zinaendelea vyema tafadhali endelea kutufuatilia , yajayo yanafurahisha.
Jamani e u wakatazeni wanawake wanaoingia kwenye hizi bus huku wamevaa vicodom na matiti nje nje. Sio maadil ya kitanzania. Kutiana dhambi tuu
 
Hivi hii huwa ni special thread ya DART au UDART ? Anyway ! Wafanyakazi wa mabasi wana jeuri, kiburi, dharau, kejeli na katiri kwa abiria wa mabasi ya MWENDOKASI. Inatia moyo kuona leo bosi wa DART ametenguliwa. Tusubiri.
 
Kweli kabisa ilitakiwa huduma ya daladala angalau kati ya Mbezi na Kariakoo ili uwepo ushindani
 
Mnazingua Hakuna Chenchi Vituoni Kama Kazi Imewashinda Semeni Mtuachie Hzo Barabara Zenu Watembea Kwa Miguu
 
Habari wadau
Mimi leo naomba tujiulize kwa pamoja hivi raia wanateseka kwa usafiri monopoly wa mwendo kasi ni kwa faida ya nani ,magari yaliyopo yanamudu kuchukua abiria wachache kwenye vituo vikubwa kama vile mbezi mwisho na kimara mwisho ,kwingineko mtu unakaa kituoni masaa matatu ,unachoona ni mashindano ya Express kivukoni na Express gerezani yanapita kama yameibiwa ,mimi najiuliza hali hii itadumu hadi lini ?
Kama watumishi wa mwendokasi hawalioni je na serikali haioni au ndio tumekuwa yatima kila kitu kwetu ni anasa?
 
Huu usafiri siku nikija kuutumia tena naomba mnikate kichwa, tangu mwaka juzi niliacha kupanda mabasi yao.
 
Kwa hali ilivyozidi kuwa mbaya, monopoly ya UDaRT ni hasara na mateso zaidi Kwa abiria Kwa faida yao wenyewe. Sio win win situation.

Kutokana na upungufu mkubwa wa mabasi , UDaRT wanatakiwa kufuta ruti zote za ziada (zile ambazo zinaenda nje ya mfumo rasmi wa Barabara na vituo) namaanisha zile za Mbezi, Mloganzila na Kibaha.

Kwa kifupi abiria wa Mbezi anayo option ya kupanda Daladala pale Kimara Mwisho, hivyo kufuta ruti za ziada kutaongeza mabasi ambayo Sasa yatakuwa hayaendi Mbezi na kuokoa muda wa kwenda Mbezi kutoka Kimara na kurudi.

Chaguo la pili ni Kwa LATRA kuruhusu Daladala za kuanzia Mbezi au Kimara kwenda mjini (Posta/Kariakoo) na kurudi hata kama itakuwa ni Kwa asubuhi na jioni TU kipindi ambacho kunakuwa na abiria wengi na mfumo kuzidiwa.
 
umeongea kitu cha muhimu sana magari ya mbezi ,kibaha yatolewe yaje yasaidie yanayopita mfumo wa BRT maana kuongeza magari imekua anasa
kumtoa udart sababu hakidhi vigezo imekua mtihani.

Bila DART kuongeza mbia mwingne wakurugenzi watendaji watabadilishwa sana maana UDART( kampuni ya msajili wa hazina) amekua boss hawezekani kutoka wanachokifanya DART ni kazi bure

hata ya mbagala akija kupatikana mtoa huduma ndani ya mwaka 2024-2025 naondoka jamiiforum nawambia mods wafute acc yangu
 
Naunga mkono.
 
Jamani e u wakatazeni wanawake wanaoingia kwenye hizi bus huku wamevaa vicodom na matiti nje nje. Sio maadil ya kitanzania. Kutiana dhambi tuu
Hebu Jikaze we Mzab mbona safari nyenyewe haiwagi hata ndefu. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…