DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

DART nyie ni kansa na nimaandui wa maendeleo, hamuwezi kuwaweka watu lisaa na nusu kituoni wanasubiri mwendoka, yaani hata ukisema upande ukageuke nalo, napo workdone equals to zero.
 
Mabasi sio ya mwendo kasi tena hayo. Hayo muyaite magari yanayopita kwenye njia maalum
 
NJIA ya Mbagala itaanza kutumika oni kwa mabasi ya mwendo Kasi kwani imekuwa ni matamko tu ya wanasiasa ya CHAMA tawala pasipo utekelezaji
 
View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.

Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku

Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania

Barua pepe: [email protected].

#usafiri wa umma nadhifu

#mwendokasi app
Punguzeni bei ya card
 
Acheni kutukalisha vituoni kama midoli yenu yani saiv vituo vimegeuka vijiwe vya simba na yanga asee so sad magari hamna watu wanpiga story lisaa lizima bado tu kuuzwe kahawa kabisa
 
Nyie jamaa naona ruti ya Mbezi_Posta inawalipa zaidi kiasi cha kutuletea dharau watu wa Kimara. Haiingii akilini watu wa Kimara tumeganda vituoni masaa mawili, basi zimepita mbili huku zaidi ya basi tano za Mbezi na nne za Morocco zikipita kupakiza abiria.

Hii ni dharau mnatuletea watu wa Kimara huku mkijisahaulisha mfumo rasmi wa njia za huo usafiri wenu unaishia Kimara na hiyo ruti ya Mbezi ni nyongeza tu. Na bado watu wa Mbezi wanayo option ya kupata magari ya kuunganisha kwenda Mbezi ikiwa wameshukia Kimara. Yaani abiria anapanda Basi ya Mbezi Posta ya Zamani mpaka anafika Mbezi, abiria wa Kimara bado ameganda Kituoni. Huu ni ufala mnatuletea huku mkiendelea kupima ustahimilivu wetu. Acheni ungese nyie mbwa.
 
Taarifa kwa Umma.
 
Attachments

  • F9BD7EAE-5733-4FC2-A535-6140E77BB26E.png
    F9BD7EAE-5733-4FC2-A535-6140E77BB26E.png
    1.1 MB · Views: 36
Hebu tupeni taarifa kamili na yauhakika! Ruti ya mbagala kwa mabasi ya mwendokasi itaanza lini?! Maana tangu jpm yuko hai alisema atazindua 2021 lakini tangu samia ameingia mpaka leo 2025 mabasi ya mwendokasi mbagala imekuwa ni mfupa mgumu uliomshinda fisi...?!

Imefikia wakati mpaka miundombinu yake imeanza kuharibika kabla hata ya kuanza kutumika! So sad indeed...!!

Au ndio mnataka kuja kuzindua mwaka wa uchaguzi mkuu kwaajili ya kampeni za uraisi...?!
 
Huduma za usafiri zimekuwa mbaya, Abiria ndio tunaopata changamoto, imefikia hatua tunakaa kituoni zaidi ya saa 1 nyakati za asubuhi na jioni, ktk afya na uzalishaji haijakaa sawa, mnapaswa kulitafakari hili na kulifanyia kazi, haina picha nzuri Kwa utendaji wa taasisi ya usafiri.
 
Dart hivi mnaona kadhia wanayopata wateja wenu,mmeshindwa kuwadhibiti au kuwafukuza madereva wazembe na wajinga kama hawa,au kwa sababu hamtaki ushindani,imagine dereva ndio anaamua apakie abiria wapi na ashushe wapi,nchi za wenzetu dereva akishaingia tu kwenye duty anakua ana muda wa kupumzika mpaka.amalize duty yake kama ni masaa 4 au 6,fair anayopewa na kampuni ni atakapofika mwisho wa safari ana kama dk 5 au 10 za kufanya mambo yake,kama ni mvutaji sigara au atataka kwenda maliwato,jipangeni aisee mnatesa raia
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1742984551301.mp4
    12.5 MB
Dart hivi mnaona kadhia wanayopata wateja wenu,mmeshindwa kuwadhibiti au kuwafukuza madereva wazembe na wajinga kama hawa,au kwa sababu hamtaki ushindani,imagine dereva ndio anaamua apakie abiria wapi na ashushe wapi,nchi za wenzetu dereva akishaingia tu kwenye duty anakua ana muda wa kupumzika mpaka.amalize duty yake kama ni masaa 4 au 6,fair anayopewa na kampuni ni atakapofika mwisho wa safari ana kama dk 5 au 10 za kufanya mambo yake,kama ni mvutaji sigara au atataka kwenda maliwato,jipangeni aisee mnatesa raia
Mlishaambiwa mradi umekufa mnaendelea kuhangaika ili iweje tafuteni mbinu mbadala ya usafiri. mitanzania bana mnalaamikaaaaaaaaaa baadaye siui nani anaupiga mwingi, mara mitano tena , kwakwel utaahira wenu ndio umewafikisha hapo mlipo, hii ni matokeo ya kuvuna mlichopanda, haki haibembelezwi inadaiwa tena kwa nguvu, yaani nchi hiyo kwa kuwaona woote manyani walinunua mabasi zaidi ya 50 kwa ajili ya kikao cha fisiemu kule dodoma huku nyie umbwa kachoka mnalalama, mtalalamika mpaka mfe hakuna mwenye uchungu na nyie pambaneni.
 
Meneja kama kazi ya kuendesha UDART imekushinda achia ngazi. Hili ni shirika la umma na linaendeahwa kwa kodi zetu. Haiwezekani abiria ake kituoni hapo kituo cha bandarini hotel rotana for 40 mimutes, hakuna gari inapita, zinazopita wanasema mbovu. Ndugu meneja kama huna creativity in your brain including your staff basi achieni ngazi iingie damu changa. Vijana wapo kibao waliosomea hizi mambo za logistics na corporate management. Hovyo kabisa.
 
kwani mlitumwa? tafuteni alternative mlichagua wenyewe serikali za kisanii za wapigaji
 
Hawa wajomba kumbe wana id yao humu.
Dart kuna uzi nyuzi za malalamiko kibao mbona huwa hamjibu tuhuma zenu..
 
Magari yenu machafu hayana air condition yanajaza na osha wanawakagua wanapita tuu. Halafu barabara mnazojenga kwanini hamtengenezi njia mbadala safi ili foleni isiwe kokwazo kama huku tegeta
 
View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.

Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku

Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, (X)TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania

Barua pepe: [email protected].

#usafiri wa umma nadhifu

#mwendokasi app
Kwa sasa ni mabasi mangapi yanafanya kazi full time.... Kati ya mangapi yanayohitajika ili muwe 100% productive?
 
Back
Top Bottom