CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Serikali ya CCM ndiyo imeshindwa.Si mshashindwa!!
Serikali ya CCM ndiyo imeshindwa.Si mshashindwa!!
Kwani sekta binafsi ni mpaka watoke nje?Private sector ikiendesha labda huduma itaboreka.
Kampuni yako mbona haikuomba tenda ilipotangazwa?Serikali ya CCM ndiyo imeshindwa.
Wanasubiri kampeni zikaribie ndio wafungue barabara ili kuwahadaa watu kwamba wanafanya kazi. Hata kero ya usafiri wa DART kimara kwenda posta na gerezani ni mpango wa makusudi ili baadae wajifanye wametatua kero kampeni zikikaribia.Barabarani ya mbagala inazidi kuchakaa.
Hii nchi sisiem sijui wameijambia mavi Gani asee!View attachment 3353542
Serikali ya CCM ndiyo imeshindwa kuendesha nchi hadi kuendesha mradi wa mabasi waje Waarabu.Kampuni yako mbona haikuomba tenda ilipotangazwa?
Walitangaza tenda,ungepeleka kampuni yako ya kizalendoSerikali ya CCM ndiyo imeshindwa kuendesha nchi hadi kuendesha mradi wa mabasi waje Waarabu.
Mpango wa makusudi wakati magari yanawaka moto barabarani!!?..nenda gerezani ukaone mabovu yalivyojaaWanasubiri kampeni zikaribie ndio wafungue barabara ili kuwahadaa watu kwamba wanafanya kazi. Hata kero ya usafiri wa DART kimara kwenda posta na gerezani ni mpango wa makusudi ili baadae wajifanye wametatua kero kampeni zikikaribia.
Jiulize kwanini wawekezaj wa ndani wameshindwa ama hawawez...lazima kutakua na sababu..lazima...tena sababu ya kisiasa na kifisadi..Ina maana hakuna kabisa mwekezaji wa ndani .... mbona wapo wengi sana humu hela ingebaki tanzania yote hiyo kina shabiby ....kina azam kina mo, basi hata wao viongozi wangepeeana tu .ilimradi hels ibaki ndani ....sasa hela inaenda nje
Ni kweli tumeshindwa, ukiona vituo na idadi ya magari hutaamini.Tumeshindwa kabisa Kabisa? Duh
Saa100 anauza Kila kitu.Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam.
Pia soma > Serikali imekuchukua mkopo NMB ili kumnunulia mabasi mwekezaji wa Mwendokasi. Mkopo utalipwa na Serikali kwa kodi za umma
Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria hatua muhimu katika jitihada za serikali kuboresha huduma za usafiri wa umma katika jiji la kibiashara.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART, Dk. Athumani Kihamia, ENG itachukua uendeshaji wa awamu ya kwanza ya mradi wa BRT na kuleta mabasi mapya 177 yatakayoongeza ufanisi na upatikanaji wa huduma jijini.
Mchakato huo ulianza mwaka 2017 kupitia mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), lakini ulipata changamoto za kimajadiliano kuhusu viwango vya nauli na mifumo ya usuluhishi. Mnamo 2020, serikali ilitangaza zabuni upya ambapo kampuni 40 ziliwasilisha maombi, na ENG ikaibuka mshindi.
Hatimaye, mchakato huo sasa umekamilika kwa kutiwa saini kwa mkataba rasmi wa utekelezaji.
ewaaaa hii itakua poa sana sanaHata hivyo inabidi ikulu ibinafsishwe pia, nayo ilishashindwa.
Kwanini wasipewe milele?Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam.
Pia soma > Serikali imekuchukua mkopo NMB ili kumnunulia mabasi mwekezaji wa Mwendokasi. Mkopo utalipwa na Serikali kwa kodi za umma
Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria hatua muhimu katika jitihada za serikali kuboresha huduma za usafiri wa umma katika jiji la kibiashara.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART, Dk. Athumani Kihamia, ENG itachukua uendeshaji wa awamu ya kwanza ya mradi wa BRT na kuleta mabasi mapya 177 yatakayoongeza ufanisi na upatikanaji wa huduma jijini.
Mchakato huo ulianza mwaka 2017 kupitia mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), lakini ulipata changamoto za kimajadiliano kuhusu viwango vya nauli na mifumo ya usuluhishi. Mnamo 2020, serikali ilitangaza zabuni upya ambapo kampuni 40 ziliwasilisha maombi, na ENG ikaibuka mshindi.
Hatimaye, mchakato huo sasa umekamilika kwa kutiwa saini kwa mkataba rasmi wa utekelezaji.
Waingie mkataba mwingine wa kuiendesha Ikulu