DART yaingia mkataba wa miaka 12 na Emirates National Group kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam

Huyu mama Kila Mali ya mtanganyika anauziwa mwarabu.Au Kwa kuwa uarabuni Kuna wajomba wake?
 
Barabarani ya mbagala inazidi kuchakaa.

Hii nchi sisiem sijui wameijambia mavi Gani asee!View attachment 3353542
Wanasubiri kampeni zikaribie ndio wafungue barabara ili kuwahadaa watu kwamba wanafanya kazi. Hata kero ya usafiri wa DART kimara kwenda posta na gerezani ni mpango wa makusudi ili baadae wajifanye wametatua kero kampeni zikikaribia.
 
Wanasubiri kampeni zikaribie ndio wafungue barabara ili kuwahadaa watu kwamba wanafanya kazi. Hata kero ya usafiri wa DART kimara kwenda posta na gerezani ni mpango wa makusudi ili baadae wajifanye wametatua kero kampeni zikikaribia.
Mpango wa makusudi wakati magari yanawaka moto barabarani!!?..nenda gerezani ukaone mabovu yalivyojaa
 
Ina maana hakuna kabisa mwekezaji wa ndani .... mbona wapo wengi sana humu hela ingebaki tanzania yote hiyo kina shabiby ....kina azam kina mo, basi hata wao viongozi wangepeeana tu .ilimradi hels ibaki ndani ....sasa hela inaenda nje
Jiulize kwanini wawekezaj wa ndani wameshindwa ama hawawez...lazima kutakua na sababu..lazima...tena sababu ya kisiasa na kifisadi..
 
Matendo yanayofanyika nchi nyingi za Afrika yanazidi kudhibitisha huu utafiti una ukweli mkubwa
 

Attachments

  • global-iq-map-v0-w1373058zlwd1.jpeg
    106.2 KB · Views: 25
Bado SGR, isipobinafsishwa inaenda kufa muda si mrefu.

Watanzania hatuwezi kuendesha mradi wowote kwa mafanikio. Hili limejidhihirisha tangu wakati wa mwalimu Nyerere. Viwanda na miradi ya maendeleo vyote vilikufa kwa kuuawa na wasimamizi watanzania wazawa sababu ya kuiba, kuhujumu, kukwapua, kupora, kuharibu, kujilimbikizia mali, na mengine mengi.

Hata sekta binafsi ukiweka watanzania (wazawa) umekwisha, haitodumu watahujumu na kuiua muda mfupi tu
 
Ovyo kabisa hii issue, Kwanini wasipewe wazawa wa ndani Kuendesha huo mradi
Ni kweli sio salama sana Serikali kufanya Biashara ila ndio tuwape Waarabu?
 
Saa100 anauza Kila kitu.
 
Kwanini wasipewe milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…