DART yapendekeza nauli kuwa TZS 1,500

Kumekucha.

Wale wa kimara kivukoni express kazi tunayo.

Utoke hapo upande ya mbezi.

Mbona tutamkumbuka JPM kwa mazuri.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa Jiwe nadhani nusu ya abiria tungekuwa tumekufa, huyo mwamba alikuwa hatari sana kwa Taifa
 
Duu aisee huyu mama nae anaendeshwa sana mbona wakati wa Magu watu walikuwa hawaji na haya mambo.Na asipoangalia hadi anaondoka soda itakuwa 1000
Kipindi cha Jiwe kulikuwa na shida ya mafuta duniani? Jiwe kipindi chake ndiyo watu wasiojulikana waliibuka kuteka na kuua watu. Sasa hivi hayo mambo hayapo
 
Kwa hiyo Kimara-Kivukoni/Gerezani itakuwa shingapi? Nimeona tu 1,500..mara 800..mara 600...sijaelewa!!
 
Kichwa maji kweli wewe...eti chenji itasumbua.yaani nauli ipande kwa zaidi ya 100% wewe unaona sawa tu.
 
Kipindi cha Jiwe kulikuwa na shida ya mafuta duniani? Jiwe kipindi chake ndiyo watu wasiojulikana waliibuka kuteka na kuua watu. Sasa hivi hayo mambo hayapo
Yapo Ila kwa kiwango kidogo
 
pikipiki wanatulangua kwa sh 1500 eneo hridhid 1km hawa Dart hat kw aelf 2000 mbezi moroco au mbezi kivukon ni sawa, cha muhimu wangeweka magari emngi yakuunganisha kutokea victoria to mbezi , kivukoni tu mbezi na sehemu zingine.. shaida hawana magarifi hivyo usafir wao nao kuw aadahabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…