Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Kila abiria anatumia nusu Lita ya mafuta!?!!?Kwani tangu balaa lianze, mafuta yamepanda kwa kiasi gani? Mbona kama ongezeko lote anabebeshwa abiria mmoja?
Au kila abiria anatumia lita yake kwa kila kilomita anayosafiri?
Hivi hawa wanatuchukuliaje watanzania!?!?
Nimewachukia ghafla! Kisa mshahara wa kima cha chini umepanda!?!!! Nao haujapanda hata Kwa asilimia 50!
Nasubiria kuona mapendekezo yakipitishwa Kwa kishindo, ndiyo maana huwa tunaamini tukisikia story mitaani za mafungu kutoka huko kuelekea Lumumba!
Haiwezekani!? Mwendokasi kugeuka kuwa mwendokero na mwendokaraha, na nauli juu!