DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema. Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh,halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya. JOCATE ACHA USINITCH.
Labda akitaka amchukue yeye.
 
Teh teh teh 🤣🤣 🤣 huyu jamaa aliondoka Chadema na kina Shonza wakati mmoja?

Teh teh teh akagombee ubunge sasa 😂😂😂
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.
Una hakika Jokate ndo kamchongea?
 
Alitongoza au alitembea nao?Au yote makosa chini ya Utumishi?

Halafu nayeye kama alionywa kwanini hakusikia
 
Issue iliyomtoa ni kutongoza wake za watu, sasa unataka kusema Alikua anagombana na DC sababu ya kugombania hao wanawake za watu?
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
 
Back
Top Bottom