DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Huyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
Alifikiri kwa kuwa alikuwa anakula kitu ya mabosi kule CDM (wakudadavuliwa),basi akajiaminisha na huyu atamla tu,kumbe ni tofauti.
 
Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Maadili ya kazi! Sio lazima iandikwe UKIMTONGOZA MKE WA MTU UNATUKUZWA. Pia mpaka inafikia rais anapewa taarifa kuhusu huyo DAS, ni wazi alio nao wamemchoka!
tongoza ila usikamatwe na isiathiri utendaji wako au wa wengine...
 
Amevuna alichopanda,Amebaki Juliana Shonza,wote walikuwa walamba viat
 
Mambo ni moto

View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE

Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.

Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.

Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.

Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.

Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Kashfa mbaya sana hii, bora angemsitiri tu kutokutoa sababu ya utenguzi wake. mbona viongozi wengi tu wanatenguliwa bila kutajwa sababu husika. Aint fair na itamtesa sana kisaikolojia
 
Bado yule naibu waziri anayefakamia waume wa watu , wasaliti watapukutika wote .
wakati wa Mobutu, kuna ndugu yake Mobutu alimpenda mume wa mtu, huyo jamaa alikua ni mtangazaji wa habari, basi huyo ndugu yake Mobutu akamchukua jamaa kwa nguvu licha ya kuwa jamaa kaoa, mke wa jamaa alistukia tu mumewe kaenda kazini hakurudi na alipomtafuta alipewa onyo akae mbali nae, jamaa akateuliwa kuwa balozi wa Zaire huko Africa ya kusini nk mpaka akafa baada ya miaka hakuwahi tena kuonana na mkewe akaenda kumuoa ndugu yake Mobutu
mkewe hakuwahi hata kuona kaburi lake
 
Sidhani kama Jocate kamchongea, kuna watu wa usalama chungu mzima wanaofuatilia mienendo ya watumishi wa umma (hususani waandamizi Wilayani)

JPM ametaja kuwa jamaa anachukua wake za watu

Pia ametaja uwezo mdogo wa DAS (amesema apangiwe kazi nyingine ya chini inayoendana na uwezo wake)
 
Back
Top Bottom