DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Mambo ni moto

View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE

Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.

Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.

Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.

Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.

Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Isije kuwa alikuwa anagonga visivyogongwa
 
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.

Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?

Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.

Kuna uzi wa huo uzinduzi, huku umebug men.
 
Ila kuna watu wana roho ngumu. Kumbe jamaa mpaka beat alishapigwa lakini wapi! Yani mukulu anakupiga beat kuhusu chombo ya wenyewe na bado unaendelea tu. Any way kasema atampangia kazi nyingine ila siyo Kisarawe 😁😁😁😁😁
... hilo linaitwa pepo la uzinifu! Lina nguvu za ajabu kulishinda sio lelemama; limeangusha wateule wengi.
 
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.

Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?

Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Hiyo anzishia wewe uzi wake sio wote watapata content sawa kwenye hotuba.
 
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.

Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?

Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Bwashee kuna angle tofauti tofauti katika kuhabarisha!
 
HANDSOMEBOY KAKUTANA KW33....UMEMEEE WA HATARE.
MENGINE SISEMI SANA HAWA WAKEZETU WAKIOMBA NA KUMLILIA MUNGU VIZURI UCHOMOKI NAKWAMBIA
AIBU KWA FAMILIA KAMA RAISI AMEJUA UNAHISI HUYU MKEWE AMEVUMILIA HAYO MDAGANI...View attachment 1490963

PPOLESANA HANDSOMEBOY WA KISARAWE
... issue nyingine ni "ana uwezo mdogo" ndivyo alivyosema mwenye nchi na ameagiza apangiwe kazi "inayoendena na uwezo wake"! Hii ni fedheha kubwa sana kwa jamaa; ubongo wa kuku Mtela Mwampamba ulionywa tangu ukiwa Chadema hukutaka kubadilika.
 
Sidhani kama Jocate kamchongea, kuna watu wa usalama chungu mzima wanaofuatilia mienendo ya watumishi wa umma (hususani waandamizi Wilayani)

JPM ametaja kuwa jamaa anachukua wake za watu

Pia ametaja uwezo mdogo wa DAS (amesema apangiwe kazi nyingine ya chini inayoendana na uwezo wake)
Kuna jamaa mmoja naye alikuwa DED Butiama Magori Alphonce naye alifukuzwa kwa sababu hii
 
Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri,mtumbuliwa aliteuliwa akiwa si mtumishi wa umma.Vipi mkulu hajasema kuhusu kumpangia kazi nyingine.
 
Mambo ni moto

View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe

RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE

Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.

Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.

Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.

Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.

Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Mwanaume anaweza kutongoza mwanamke yeyote yule anayemvutia haijalishi ni mke wa mtu au mme wa mtu.

Ni jukumu la mke wa mtu kumkataa mtongozaji na kumjulisha kuwa ameolewa hivyo mtongozaji hana nafasi tena.

Sheria ya kazi haituzuii kutongozana makazini ikiwemo kupigana miti kikubwa mambo yafanyike kwa kuheshimu faragha ya kila mmoja wetu na kutoathiri ufanisi kazini.

Adhabu ya mtumishi wa umma mtongoza wake za watu siyo kufukuzwa kazi bali ni kukataliwa na watongozwaji ?

Mteuzi anapata wapi muda wa kufuatilia kuwa wateule wake wanatongozana kazini na nje ya kazini kama siyo kuingilia faragha za watu?

Any way Usaliti mwisho wake mbaya tu karibuni mtaani Mtela Mwapamba uje ujiajiri kama ulivyokuwa unawaasa vijana wenzako wakati ukiwa DAS.
 
Hahaaa hiyo aibu sijui ataweka wapi sura yake jmn! Na vile mheshimiwa kaeleza kila kitu[emoji4]
 
Lazima hiii aisee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jiwe hapanaa na anavyopenda vyeupee alafu anawatania eti Jokate mdogo lakini hawamuoni sijuiii sasa hapo jichanganyeee...
kuna jamaa yangu nilisoma nae chuo ana tabia hiyo,anakula demu kwa siri alafu anakuja kukwambia wewe umle huyo demu,kusudi la kukwambia hivi ni anapima nani anammendea demu wake
 
Kuna jamaa mmoja naye alikuwa DED Butiama Magori Alphonce naye alifukuzwa kwa sababu hii
CHADEMA INAONEKANA KUNA VITOM....SANAAA EH VIDUME KILA SEHEMU
Y MPAKA.MNAAIBISHA FAMILIA JAMANI
 
Back
Top Bottom