Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
ndio japo umri umeenda sana, wanatembelea fimboKumbe bado wako hai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio japo umri umeenda sana, wanatembelea fimboKumbe bado wako hai?
Ila jamaa kakosea sana. Na mademu wote hawa mtaaani anaenda kupumulia kwa Mzee😂😂😂. Mzee alimuonya na bado ameendelea. Sasa anakula jeuri yake.
Funzo la Kwanza: Kaa mbali na anapokula Boss wako;
Funzo la pili: Mapenzi hayajawai kumuacha mtu salama. Hata uwe baunsa feelings zako za mapenzi huwezi kuzificha. Mzee leo kauanika ukweli hadharani kumbe maneno ya mtaani ni kweli😂😂😂😂
eti unapigiwq simu na rais “waloo hahujambo ? sasa bana ninakuwonya achana na wake za watu msema kweli ni kipenzi cha mungu” 🤣🤣🤣 alafu bado unakataa, ni papuchi tamu kiasi gani hiyoHakuna ndo infikie rais....amegusa kitumbua ya mkubwa wangapi wanatembea na wake za watu....alaf hyo ni faragha km alitumia cheo chake angepelekwa takukuru rushwa ya ngono.Pole classmate
Unaweza ukawa unamsingizia Jokate nachofahamu Serikali inavyombo vyake vya kuwamonitor watumishi wake haswa seniors, principals, na Wateule, na kupeleka taarifa kwa Utumishi. Kwahiyo hapo DC anaweza kuwa hausikiNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Hizi nafasi za uongozi, mtumishi anapaswa kuwa na nidhamu zaidi ya wafanyakazi wa kawaida. By the way, ni nafasi ya kuteuliwa. Unapewa bila sababu ya msingi, na unaweza kuondolewa bila sababu ya msingi.Kila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
Duh .!, Mkuu yeye alijuaje?
Hapo kashaleta tafrani kwenye familia ya huyo DAS
Sioni Kama ni wake za watu aseme kaingilia makoloni ya vigogo
Anajua wakiwepo viongozi wanawake 2 maranyingi huwa hawapikiki chungu kimojaUmemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Dogo alitaka ku share vyandani ma mabosi wake..!! Vya wakubwa haviliwi ni vya kuangalia kwa macho tu.Si mwanamke jamani.....ikute alikuwa anasema yeye ndo anaenifuata fuata ila mimi simtaki.
Anapelekwa sehemu nzuri kwa kudhibitiwa asijekumwaga ugali.Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri,mtumbuliwa aliteuliwa akiwa si mtumishi wa umma.Vipi mkulu hajasema kuhusu kumpangia kazi nyingine.
Sio kweli.. huyo ndo imetokaAnapelekwa sehemu nzuri kwa kudhibitiwa asijekumwaga ugali.
Isije ikawa alikua anamsumbua mkuu wa wilaya, ndo akaamua kumshtaki kwa babyNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Kwa hiyo mtela si riziki, au??Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cdhaniKwa hiyo mtela si riziki, au??
Hili pepo kulishinda si kazi rahisi.... hilo linaitwa pepo la uzinifu! Lina nguvu za ajabu kulishinda sio lelemama; limeangusha wateule wengi.