DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Nimegundua kitu kimoja

1. Mkuu amepata kigugumizi kumsifia jokate
2. Amemfukuza DAS kwa ufusca

Connect minus the dots utapata unacho kitafuta.

Usichezee mbuzi ya waziwa na le boss
 
Atakuwa alikatongoza ka Jokate,ndiyo kameamua kumchoma,hatakuja kuisahau CCM,wapinzani alivyokuwa anawatukana sijui atakimbilia wapi?
kwa kuwa alitokea upinzani bado watamsitiri hivyo atapangiwa kazi nyingine[emoji2]
 
Kamkonyeza na kuomba tunda kwa JM bila kujali kuwa hilo ni pumziko la mzee baba.
Na mzee baba hataki mchezo na Mali zake. Anasema chezea kazi Ila usichezee mali ghafi zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.

Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.

JOCATE ACHA USINITCH.
Ili maandiko yatimie kuwa Usaliti malipo yake ni hapa hapa
 
Sidhani kama Jocate kamchongea, kuna watu wa usalama chungu mzima wanaofuatilia mienendo ya watumishi wa umma (hususani waandamizi Wilayani)

JPM ametaja kuwa jamaa anachukua wake za watu

Pia ametaja uwezo mdogo wa DAS (amesema apangiwe kazi nyingine ya chini inayoendana na uwezo wake)
Kwa vile kesho shule zinafunguliwa, na kwa vile yeye ni mwalimu ambaye hakuwahi kufundisha, ni vyema na haki akapelekwa kufundisha shule mojawapo katika Wilaya hiyo hiyo ya Kisarawe.
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Watu wakisema tuna kiongozi kituko wanabisha kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa tuu.
Hizi kauli huwezi kuzisikia acha kiongozi makini tuu bali hata mtu wa kawaida aliye makini
 
Back
Top Bottom