Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hakuna cheo hiki Tanzania labda ndani ya chamaNi kutokana na tabia ya kutongoza wake za watu.
Katibu tawala wa Tarafa ateuliwa.
2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cheo hiki Tanzania labda ndani ya chamaNi kutokana na tabia ya kutongoza wake za watu.
Katibu tawala wa Tarafa ateuliwa.
2020
Salaam zimfikie, ametumika kama dodoki.
Alikua Upinzani kwani Mpwa? Hebu nijibu faster nifurahiUsaliti ni laana
Yes mkuu.. alikuwa chademaAlikua Upinzani kwani Mpwa? Hebu nijibu faster nifurahi
Basi hakika Mungu ni mwaminifu! Naagiza "vyombo" hapa nifurahiYes mkuu.. alikuwa chadema
kwa kuwa alitokea upinzani bado watamsitiri hivyo atapangiwa kazi nyingine[emoji2]Atakuwa alikatongoza ka Jokate,ndiyo kameamua kumchoma,hatakuja kuisahau CCM,wapinzani alivyokuwa anawatukana sijui atakimbilia wapi?
Chadema ilimuokota jalalani na kumpa maisha lakini akasalitiAlikua Upinzani kwani Mpwa? Hebu nijibu faster nifurahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Kamkonyeza na kuomba tunda kwa JM bila kujali kuwa hilo ni pumziko la mzee baba.
Na mzee baba hataki mchezo na Mali zake. Anasema chezea kazi Ila usichezee mali ghafi zangu.
Ili maandiko yatimie kuwa Usaliti malipo yake ni hapa hapaNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Baada ya kuaibishwakwa kuwa alitokea upinzani bado watamsitiri hivyo atapangiwa kazi nyingine[emoji2]
Kwa vile kesho shule zinafunguliwa, na kwa vile yeye ni mwalimu ambaye hakuwahi kufundisha, ni vyema na haki akapelekwa kufundisha shule mojawapo katika Wilaya hiyo hiyo ya Kisarawe.Sidhani kama Jocate kamchongea, kuna watu wa usalama chungu mzima wanaofuatilia mienendo ya watumishi wa umma (hususani waandamizi Wilayani)
JPM ametaja kuwa jamaa anachukua wake za watu
Pia ametaja uwezo mdogo wa DAS (amesema apangiwe kazi nyingine ya chini inayoendana na uwezo wake)
Wapo wanaitwa katibu Tarafa.Kuna mtendaji wa kijiji mtendaji wa kata then huwa yupo katibu Tarafa.Japo huyu wa Tarafa sijuagi mamlaka yakeHakuna cheo hiki Tanzania labda ndani ya chama
Watu wakisema tuna kiongozi kituko wanabisha kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa tuu.Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Hahahaha nimekumbuka hahahahaha Mtela Mwampamba sasa sio Mtela tena atakua Msemi TrelaArudi tu kwao mbeya akalime mbatata
Nani? Short chassis cheupe dawa? Ha haha! Labda tumtume Wakudadavuwa apeleke salamuBado yule naibu waziri anayefakamia waume wa watu , wasaliti watapukutika wote .