kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Mwamba kalegeza jicho huyo nae hana siku nyingi.[emoji23]Katika hyo picha kuna jamaa huko nyuma nae anatakiwa atumbuliwe.
Anamuangalia Dc huku karegeza macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba kalegeza jicho huyo nae hana siku nyingi.[emoji23]Katika hyo picha kuna jamaa huko nyuma nae anatakiwa atumbuliwe.
Anamuangalia Dc huku karegeza macho
Ha ha ha ha haHyo DAZ naona alipita kwenye ule uzi wa "ulishawahi kula tunda kimasihara" akapata huko maujanja sasa yamemponza [emoji28] masihara gani ya kwenda kula chakula ya mzee[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Isije kuwa alikuwa anagonga visivyogongwaMambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.
Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?
Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
... hilo linaitwa pepo la uzinifu! Lina nguvu za ajabu kulishinda sio lelemama; limeangusha wateule wengi.Ila kuna watu wana roho ngumu. Kumbe jamaa mpaka beat alishapigwa lakini wapi! Yani mukulu anakupiga beat kuhusu chombo ya wenyewe na bado unaendelea tu. Any way kasema atampangia kazi nyingine ila siyo Kisarawe 😁😁😁😁😁
Shetani ndio anakuongoza uchokoze ili ukumbushwe MWENYE hizo tabiachukizi haswa? Eee Mungu tuhurumie. AMENNdio anaonekana bado anatabia za kimbowe mbowe
Hiyo anzishia wewe uzi wake sio wote watapata content sawa kwenye hotuba.Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.
Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?
Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Bwashee kuna angle tofauti tofauti katika kuhabarisha!Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.
Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?
Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Jaman atakua amekula nanii ya mkubwaKila anaetongoza wake za watu serikalini anafukuzwa?
Kwa sheria ipi?
... issue nyingine ni "ana uwezo mdogo" ndivyo alivyosema mwenye nchi na ameagiza apangiwe kazi "inayoendena na uwezo wake"! Hii ni fedheha kubwa sana kwa jamaa; ubongo wa kuku Mtela Mwampamba ulionywa tangu ukiwa Chadema hukutaka kubadilika.HANDSOMEBOY KAKUTANA KW33....UMEMEEE WA HATARE.
MENGINE SISEMI SANA HAWA WAKEZETU WAKIOMBA NA KUMLILIA MUNGU VIZURI UCHOMOKI NAKWAMBIA
AIBU KWA FAMILIA KAMA RAISI AMEJUA UNAHISI HUYU MKEWE AMEVUMILIA HAYO MDAGANI...View attachment 1490963
PPOLESANA HANDSOMEBOY WA KISARAWE
Kuna jamaa mmoja naye alikuwa DED Butiama Magori Alphonce naye alifukuzwa kwa sababu hiiSidhani kama Jocate kamchongea, kuna watu wa usalama chungu mzima wanaofuatilia mienendo ya watumishi wa umma (hususani waandamizi Wilayani)
JPM ametaja kuwa jamaa anachukua wake za watu
Pia ametaja uwezo mdogo wa DAS (amesema apangiwe kazi nyingine ya chini inayoendana na uwezo wake)
Mwanaume anaweza kutongoza mwanamke yeyote yule anayemvutia haijalishi ni mke wa mtu au mme wa mtu.Mambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Ndo huyo huyo..aliondoka na akina Juliana ShonzaHivi si ni yule alietokaga CHADEMA. Sijui ni Mtela Mwampamba.
2020
Dogo alijisahau akagusa Mali za wenyewe dadadeq...karibu kijiweni mkuu , cheo huwa ni dhamana tu.Kagusa pasipogusika kudadeki ! usicheze na vya wakubwa utaumia .
kuna jamaa yangu nilisoma nae chuo ana tabia hiyo,anakula demu kwa siri alafu anakuja kukwambia wewe umle huyo demu,kusudi la kukwambia hivi ni anapima nani anammendea demu wakeLazima hiii aisee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jiwe hapanaa na anavyopenda vyeupee alafu anawatania eti Jokate mdogo lakini hawamuoni sijuiii sasa hapo jichanganyeee...
Alikuwa anataka kula kimasikharaItakuwa alitaka kulaa cha mkubwaa...!! Msg zikadukuliwa mamaeee...
Ni yeye Mkuu usipate shida sana hiyo yote ni laana ya usaliti mwacheni aje mtaaniHivi si ni yule alietokaga CHADEMA. Sijui ni Mtela Mwampamba.
2020
CHADEMA INAONEKANA KUNA VITOM....SANAAA EH VIDUME KILA SEHEMUKuna jamaa mmoja naye alikuwa DED Butiama Magori Alphonce naye alifukuzwa kwa sababu hii