DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Labda akitaka amchukue yeye.
 
Teh teh teh 🀣🀣 🀣 huyu jamaa aliondoka Chadema na kina Shonza wakati mmoja?

Teh teh teh akagombee ubunge sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una hakika Jokate ndo kamchongea?
 
Alitongoza au alitembea nao?Au yote makosa chini ya Utumishi?

Halafu nayeye kama alionywa kwanini hakusikia
 
Issue iliyomtoa ni kutongoza wake za watu, sasa unataka kusema Alikua anagombana na DC sababu ya kugombania hao wanawake za watu?
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…