Data: Bei za mafuta DRC, Burundi, Rwanda, Zambia ziko chini

Utatukana sanaaa lakini haisaidii kitu ndio hayupo sasa,
Ina maana hujui kua mafuta yanatumika hata nyumbani hata asie na gari analipia kodi ya mafuta na iliwekwa sh 100 sio hamsini kama hujui, maskini tunabebeshwa mzigo wa matajiri wenye magari tukakaa kimya wamenogewa sasa mnatokwa povu na matusi natamani hata mafuta yafike elfu 10 ili akili iwakae sawa.

Alituharibia sana nchi yetu sasa hivi ndio madhara yake yanaonekana mnabaki kumlaumu mama. MTAPATA TABU SANA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zambia Jana ilikua ni kwacha 26.3 ambayo ni karibia 3500 tsh kumbuka kwa mfano kwetu fuel imeongezewa na vitu vingi ikiwapo road license, wakati Zambia hiyo unailipa kama ilivyo.
 
Binafsi sina timu hata moja nafurahia hali halisi kwa kua kuna watu walikua wanamshabikia sana mwendazake bila kujua madahara yake ina hawakujua dawa ya yote haya ni katiba mpya, hata mama atafanya atakavyo kwa kua mnaipenda sisiem sasa namba tunaisoma wote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oya, mzee mbona umepanick sana.
 
Viongozi hawana nia ya dhati kusaidia wananchi , this is ridiculous 🙄 😒
 
Hakuna comment nzito hapo. Ni utetezi isipokuwa na maana. Ndo mana mtu mmoja amesema, kama Rwanda wanachukulia mafuta Mombasa, wanayasafirisha kwenda kwao na bado bei yao iko chini, basi na sisi tuchukulie Mombasa halafu bandari yetu tufugie kuku. Umeona hiyo sarcastical logic hapo?
 
Usikaze kichwa hiko. Sisi chanzo cha kodi zetu ni pamoja na MAFUTA.
 
Unashindwa kutofautisha kati ya Umuhimu wa Mafuta na Internet kwa mwananchi wa Kawaida...!

Kifurushi cha Internet hata Kingekua 200 itamsaidia nini Bibi yangu kule Mpwapwike...!?

Tumia akili kufikiri...!

Nchi inahitaji internet kuliko bibi yako.
 
Kwanini Shilingi [TZS] thamani yake iko chini kuliko za hawa jirani zetu?

1. ZAMBIA KWACHA: 1KW = 131 TZS..

2. BURUNDI BIF: 1BIF = 1.35TZS..

3. RWANDA FRANC: 1RF = 2.28TZS..

4. DRC CDF: 1CDF = 1.16TZS

5. KENYA SHILING: 1KSH = 20TZS..

.......
Wewe CARDLESS unaelewa sababu za bei ya mafuta dieseli & petrol zinazotolewa na viongozi wako wa serikali ya Tanzania..?

Labda hujui au hukumbi. Acha tukukumbushe. Wanatoa sababu kuu tatu;

1. Athari za COVID 19..!!

2. Russia - Ukraine war..!!

3. Hatuchimbi mafuta..!!

##Hakuna sababu ya umbali!

Maswali kwako;

##Je, unadhani hizi nchi ambazo bei za nishati hii iko chini kuliko sisi;

✓ Ziko sayari nyingine ambako hakuna vita ya Russia & Ukraine?

✓ Hawajakumbwa na athari za COVID 19?

✓ Wanachimba mafuta yao..?

##Hizo nchi zinatumia mikakati gani kudhibiti upandaji nishati huu?

## Jibu ni rahisi mno. Rais Samia na serikali yake hawana maarifa wala mkakati ku-stabilize price ili kunusuru wananchi wao..

They will soon pay huge price for their sloppy conduct, neglegency and selfish behavior...!!
 
Inatia kinyaa sana aiseee,ni land locked countries na mafuta yao mengi yanapitia kwetu lakini bei huko zipo chini

Tunahitaji mjadala wa kitaifa kwenye hili,tuombe airtime kwenye tv yoyote tujadiliane

Yaani viongozi wa nchi hii walivyofikia utupu wao kichwani wanasema eti Marekani bei ni kubwa kuliko kwetu,kumbe kuna utitiri wa matozo yanayopelekea bei kwetu kupaa mara dufu
 
Sisi si wa level hizo mkuu tumeambiwa sisi tujilinganishe na US Taifa lenye nguvu zaidi duniani.
 
Nchi gani ambayo mafuta mengi hupitia TANZANIA afu bei yake ni ndogo kuliko TZ?
 

Maelezo mengi lakini hayana sababu yoyote. Hakuna asiyejua kupanda kwa bei ya mafuta au uwepo wa kodi. Tunasema hivi tupunguze matumizi ya serikali. Mfano mtu yuko hapa Dar anatumia VX la nini? Hilo bunge la majizi ya kura linakaa likijadili nini tofauti na mapendekezo ya serikali? Misafara ya viongozi na maVXR ya nini wakati hawana lolote la maana linalowazungusha huko na hiyo misafara? Rais kila siku yuko kwenye ndege, ni nini hasa kisichomkalisha ofisini zaidi ya kuzurura?
 
Kama taifa, kuna sehemu wananchi tumekosea na tunaendelea kukosea.
 

Mkuu kama hapa kwetu mlaji (final consumer) anailipa serikal mpk compensation ya loss on evaporation ya hayo mafuta yakiwa njiani huko kwenye maji bado unatarajia bei zetu ziwe chini ya hao majirani? Siku ikitokea tukapata serikali inayowajali watanzania ndiyo itakuwa sahihi kufanya huo mlinganisho vinginevyo kwa sasa tutulie tu dawa iingie vzr.
 
Unataka ku - justify nini hapa..?

Ili ueleweke ni lazima ulinganishe thamani ya pesa ya nchi hizo na thamani ya shilingi yetu...

Mathalani Zambian Kwacha 1 ni sawa na zaidi ya TZS 130...!

Ukitumia kipimo hicho, unaweza kutambua bei ziko chini sana kuliko sisi..!!

Inashangaza mno kulinganisha bei ya vitu nchi zingine na hapa kwetu kwa hisia za kienyeji kiasi hiki bila kutumia vigezo vya kiuchumi kabla ya kutoa conclusion...

Inashangaza kuwa hata wachumi na wasomi wetu tena walio kwenye dhamana za uongozi kwa ajili ya wananchi wanatumia fallacies na ujinga huu ku - justify/halalisha shida na taabu ya wananchi wao...!!
 
Unaonaje tukipunguza mishahara mzee?? Magari ni kama fixed Assets tu mzee, ukinunua imetoka hiyo, inadepreciate kisha unayatoa barabarani. Gari ukinunua hununui lingine kwa miaka kadhaa. Hivyo sio gharama za kusema ww serikali ipunguze au iondoe.

Tupunguze wafanyakazi na mishahara ndiko huko pesa nyingi huenda katika bajeti yetu au hujui hilo??
 
Acha upumbavu, hiyo sh 100 mlioweka mwaka Jana mwezi wa 7 sio mpya?
Halafu kuna mtu alisikika akisema 'Yaani Tsh 100 tu kwa lita mnalalamika?' baada ya hiyo kauli nikajua tumepigwa mby kbs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…