Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Hizi za kijiweni ndo nzuri za kumsaidia Magu kutumbua bila kuvaa gloves
 

Unaweza, inategemea na connnection zako na uwezo wako wa kurekebisha mapungufu.
 
Ngoja tusubiri, ukweli una tabia ya kujidhihirisha.
Ni swala la muda tu.
Ila kwa issue ya ISO - International Organization for Standardization hapo embu angalia mara mbili chanzo chako cha taarifa.
Well, wakuu wa mashirika ya umma walijineemesha sana kwenye mashirika haya.
Walijineemesha vipi ndio swali la msingi Ili kuibua ufisadi uliofanyika.
 
Porojo. Ninewambia leteni ushahidi kutoka real Madrid kwamba hawana mkataba na nssf. Sitaki mambo ya kuhisia apa
 
Pole sana. Wewe ni Dau mwenyewe? Una argue with such passion!
 
Power corrupts, absolute power corrupts absolutely.
 
Pole sana. Wewe ni Dau mwenyewe? Una argue with such passion!

Vipi na wewe unaamini Mkapa alikuwa anateua watu kwa Mapendekezo ya Mzee kitwana kondo? Yaani Mkapa alikuwa kibaraka wa Mzee Kondo?
 
Vipi na wewe unaamini Mkapa alikuwa anateua watu kwa Mapendekezo ya Mzee kitwana kondo? Yaani Mkapa alikuwa kibaraka wa Mzee Kondo?
Mimi sijui hayo. Ninachojua ni kwamba kuna wakati Kitwana Kondo alikuwa influential sana, sasa hivi wengi watauliza ni nani huyu. Mimi mwenyewe nilifikiri ameshakufa. Rais anawashauri wengi official na unofficial. Ultimately uamuzi ni wake. Akiweka mtu mzuri sifa zitamwangukia, akiwa mtu bomu inabidi abebe lawama.

Hamna coin isiyokuwa na pande mbili. Inawezekana wewe umeona upande mmoja na mwenzio akaona mwingine. That's life!!

Ninachojua, unless mtu hana ndugu au rafiki, kila mmoja wetu ataguswa na utumbuaji majipu. Kila mtu kwa wakati wake na kwa namna yake. Pole sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…