kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
Pamoja na kwamba siungi mkono hoja iliyo mbele yetu. Nakuomba uwe mstahamilivu kidogo maana hoja hujibiwa kwa hoja si matusi...nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Mkuu hata ile ya udini pia utasema propaganda,
Nina rafiki yangu wa karibu kwao wanagawanyika pande mbili??mdogo wake alitafuta field NSSF kaambia lazma avae baibui la sivyo field hapati pale upo mkuu???...theis is from people i know
Bila mshahara?Dr Ramadhan Day ni Balozi katika nchi gani mkuu? Kuwekwa benchi si lazima uambiwe mkuu! Atasugua benchi pale wizara ya mambo ya nje mpaka umri wa kustaafu ufike,
Swadaktaa tusiwe wepesi wa kuhukumuMkuu mtoa uzidi kaahidi kuleta data kamili wacha tuwe wavumilivu muda ni hakmu mzuri
Sijaelewa kwanini kila uzi, unaoelezea maovu ya Dr. Dau unapata watetezi wengi
Kwa hilo hakuna haja ya matusi. Wewe ungejibu hoja. Tueleze nani anawasaidia NSSF kupata hicho cheti. Twambie ukweli wa huyo mtu anayeishi hotelini. Baada ya hapo, sisi tutahangaika kujua ukweli wa taarifa hii...nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
Kinachongelewa ni kampuni ya uwakaka ilopewa hyo tenda yakusaidia hyo certification.....nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
..nachotaka kukujuza ni kwamba Cheti cha ISO hakitolewi kwa magumashi kama unavyodhani
Na siyo Nssf pekee ambao wana cheti cha ISO ..ni makampuni meengi private na goverment ambayo wamefanikiwa kupata hiko cheti baada ya hayo makampuni kufanyiwa ukaguz
Mfano PSPF..KCMC..Bahkhera Groups na mengine meengi
Cheti hiko ni cha kimataifa huwez kukipata kwa magumashi
Ficha upumbavu wako
It's unbelievable!!! Commanda Mlowola wa TAKUKURU afanyie kazi na kama ni uongo mtoa taarifa awekwe ndani without bail kwa kuchafua jina na Dr Dau.Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.
Hizi ni pamoja na kampuni ya ulinzi inayolinda majengo na ofisi za NSSF,pia kuna taarifa kuwa kuna kampuni ya mtoto wake aliyeko Uingereza imepewa kazi ya kuiwezesha NSSF kupata cheti cha ubora ie ISO.
Kampuni hiyo imemtuma mwakilishi wake ambaye analala hotelini ya bei ghali na kulipiwa na NSSF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Mabilion ya pesa yameshatumika kuilipa hiyo kampuni ya mwanae Dau.
Pia inasemekana NSSF waliingia mkataba na wawakilishi feki wa Real Madrid kwa ajili ya kujenga chuo cha mambo ya mchezo na gharama kubwa imeshatumika huku kukiwa na sintofahamu baada ya Real Madrid kudai hawahusiki ktk hilo suala na sasa NSSF wameshtakiwa kwa kutumia jina hilo bila idhini yao.
Nitakuja nawapakulia jinsi ntavyozidi kuzinyaka.
vijana wanamtetea Dau kuliko hata dini ya Mwenyezi Mungu !
Elewa tu kwamba hata Idd Amin na Hitler walikuwa na marafiki weeengi! Muhimu pia tufahamu kwamba wapuuzi wote pia wana marafiki wanaopuuzika nao.
Sijui kwa nini wanategemea Mteule wa rais aliyepita awe mtu mwema!
Dr.Dau sio Mteule wa Kikwete. Aliteuliwa na Rais Mkapa kwa ushauri wa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Ndg Martin Lumbanga. Rekebisha taarifa yako.
Toa taarifa za kuaminika , usiendeshwe kwa tetesi . Mmeshindwa kutoa ushahidi wa udini na sasa mnaenda kwenye tenda bila ushahidi wowoteWakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.