Tetesi: Dau alitoa tenda kwa familia yake

Imani yake na watu waliofaidi uwepo wake pale si haba

Mara hayo maovu yake yatakapowekwa hadharani wale wote waliofaidi fedha zetu za NSSF kwa kivuli cha Dau watajitokeza na kumtetea kuwa anasakamwa kwa sababu yeye ni muislam; lakini wanasahau kuwa yeye ndio aliyefaidi kutokana na hujuma hizo na wala sio dini yake!! Haya mambo ya udini yanatumika na wajanja kuficha madhambi yao.
 
Mara nyingi majina ya watu humaanisha wasifu au tabia zao. Mfano jina dau, dau katika kamusi lina maana yake.
 

Jamani mambo ya udini yamefanyika na hayana nafasi tena humu sasa ni kujadili ufisadi wa dau,
Dau kaiba sana Nssf na hili halina ubishi,kuna jamaa yangu ni mmoja wa timu iloyotumwa kumfukunyua mambo huko Nssf hasa idara ya uwekezaji anasema ni nomaa wamekuja hadi viwanja hewa,vongine viko baharini !!!!, bado wako huko watakuja na ripoti ndipo mapopo bawa natamani ardhi ipasuke muingie humo😀😀
 
 
Ambassador, Dr Dau is a daring personality who elavated NSSF status and Improve members' need. It is so unfortunate, some power hungry, good for nothing individuals who are illusioned enough to think they can fit in his shoes.
They are trying whatever they can to tarnish the image of this God fearing man. All allegations brought forward can only be legitimate only when raised by appropriate authorities, with solid evidence, showing concern that members Fund have been abused. Otherwise, this pure hatred need to stop.
 

Yawezekana ukafanyika ufisadi katika mchakato kwa kuweka facilitator ili wahalalishe matumizi ya pesa yasiyo lazima.
Wakati mwingine tukisikia tuhuma tunatakiwa kuhoji zaidi badala ya kubisha tu, tunaweza kupata picha nyingine tofauti kidogo na alivyoeleza anayetuhumu mwanzoni.
Hata hivyo, siyo vizuri na haitakiwi kukubali au kupinga tuhuma bila vielelezo vya kuthibitisha!
 
Nchi yetu na hatia ya uongozi wa ccm
 
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?

Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...
Embu tufanye hatujaona hilo aliloongelea kuhusu I SO... Je, hayo mengine nayo ni uongo pia?[emoji4]
 
Kwa hiyo shida sasa ni ubalozi?!! Mnataka akae kando kabisaaa ndio mfurahi?!! Endeleeni na hizi kelele pengine Magufuli atawasikia tena.
HA ha ha ha poleni, kumbe ndevu zile ni za kupiga hela zetu. Inawezekana huna hata Michango NSSF.
Kaa pembeni kama si beneficiary.
 
Kaf
Ewe kafiri elewa, kafiri sio tusi bali ni jina unalo stahili. Kafiri ni yoyote aliye kinyume na uislam, ingekuwa wewe ni muislam usinge sema kafiri ni tusu.

Silimu kwanza ndio ukatae kuitwa kafiri. Usipo Silimu utaendelea kuwa kafiri mpaka kufa kwako. MwenyeziMungu akuongoze utoke kwenye ukafiri.
 
Imani yake na watu waliofaidi uwepo wake pale si haba
Na hilo ndilo kitakalompatia utetezi wa nguvu sio facts. Umeona huyo Bigie wa Mtwara alivyokuja kwa kasi? Huyo yuko tayari kumtetea hata jambazi mradi awe na hakika ni wa imani yake
 
Kwa hiyo wewe kama baba yako anaenda kinyume na uislamu unaweza kumuita kafiri kwa kuwa sio tusi?
 
Yeye ina maana hajui kuwa ISO hutoa cheti hiko baada ya ukaguz na kujiridhisha?

Hajui kuwa ISO inabase ktk uhalisia wa kimataifa kisha ndipo hutoa hiko cheti?

Jinga kabisa eti anadhani cheti hicho kinatolewa kwa kujuana au kifamilia...

Huona kuwa yawezekana NSSF wametapeliwa au ni mkakati wa makusudi wa kupiga hela?Usikurupuke,kumbuka nchi hii hakuna wizi usiowezekana,hata niliposikia Twiga kapandishwa ndege bila kuonekana nilibisha mwanzoni,baadae nikanywea.Hii nchi shamba la bibi
 
Cheti iko!,
 
Huyu ni moja ya kambi pinzani ya Dr Dau, yaani hili sakata la NSSF ni burdani tupu.

Hapa bado watetezi wa Dr Dau hawajaja kwa wingi, nadhani kwa sababu ya siku yenyewe hii.
Teh teh kazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…