Sasa mkuu kama hudai mwili, uchunguzi utafanyika kwenye nini kama sio mwili?
ChiefMtz, thanks!!! Imetulia hiyo juu, nimeipenda....
Sasa wakuu hebu tuwe watu wazima, according to the dataz........Mkono ndiye mwanasheria wake mpaka hii leo, yaani oficially!
Sasa hebu waandishi mtafuteni Mkono, ili aseme kama client wake amekufa, maana ninajua kuwa majuzi alionekana mahali akibadilisha vitambulisho, ambavyo ndani yake ameweka jina jipya, tuache uvivu ndugu zetu wa media mtafuteni Mkono....!
Kinachonishangaza mimi ni baadhi ya ndugu wa Ballali kukaa kimya utafikiri hakujatokea kitu.
Kuna jambo kubwa sana linafichwa hapa, mtakaohudhuria mazishi, angalieni msije mkazika gogo
Kinachonishangaza mimi ni baadhi ya ndugu wa Ballali kukaa kimya utafikiri hakujatokea kitu.
Kuna jambo kubwa sana linafichwa hapa, mtakaohudhuria mazishi, angalieni msije mkazika gogo