Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Jamani nina ushahid wa toleo maalum la M/daima imeandikwa na Absalom Kibanda. Naona atachment yangu inatoa link ambayo siipendi kuiweka wazi. Ni kweli kafa na mazishi ijumaa huku Washington DC
 
hamani someni hapa ili mjue ni kiasi gani serikali ilikuwa inatuandaa kwa ukatili huu au uomngo huu kwa wananchi wake

SERIKALI DAMU YA BALALI IMEBAKI MIKONONI MWENU mmezoea sana nyinyi kuua, kolimba, mtoto wa malechela, amina chifupa na wengine weeeeeeeeeeeeeeeeeengi sana kwaharaka siwezi kuwakumbuka sasa this has to be put to an END, hata mtuhumiwa nahaki ya kuishi

KIKWETE nakuona sana jinsi unavyotafuta sifa za kinataifa na kujisafisha kwaajili ya 2010. kwa hili la BALALI UMEJIHARIBIA,KABISA, TRUST ME.............amasivyo ongea

ni kwanini MKULO alisema alienda kumtafuta nani alimtuma, na alienda kumtafuta yeey kama nani

Salva alikuwa anamaana gani kusema serikali hainahaja ya kumtafuta BALALI na kwamba wakimuhitaji watampata

na kama milivotutangazia kwamba hamumtafuti kwanini makachero walienda kumtafuta kimya kimya bila huyo Salva kutangaza

Na mwisho kabisa mara gafla wakati kisunguzungu huchi cha Mkulo na Salva hakijaeleweka BALALI awe amekufa??????????
 
He! hii habari ni kweli au! Na kwa hakika tumekosa kumsikia akielezea upande wake.

Lakini wasi wasi ni kuwa kuna watu hapa hapa walikwishafanya uhalifu, baadaye wakatangazwa wamekufa na kuzikwa kumbe fix, jamaa momoja anafahamika kabisa, kwa tuhuma za kumwagia mtu tindikali akatangazwa amekufa, lakini ka kuwa alifanya kazi ya wakubwa, sasa hivi yupo nje ya nchi kaula. watu hawashindwi kununua maiti.
 
Inatakiwa Serikali iache kutuzuga, inatakiwa ifanye kazi sasa hivi kuna waheshimiwa kibao wana tuhuma hawataki wajieleze. Je wanataka na wao wapoteze ushahidi kama kilichofanyika hapa?

Tunaomba kila aliye na tuhuma achunguzwe na kuandika tuhuma zake, otherwise itabidi tuamini kwamba serikali inajua na ni part and percel ya tuhuma zenyewe.
 
Sasa wakuu hebu tuwe watu wazima, according to the dataz........Mkono ndiye mwanasheria wake mpaka hii leo, yaani oficially!

Sasa hebu waandishi mtafuteni Mkono, ili aseme kama client wake amekufa, maana ninajua kuwa majuzi alionekana mahali akibadilisha vitambulisho, ambavyo ndani yake ameweka jina jipya, tuache uvivu ndugu zetu wa media mtafuteni Mkono....!
 
Kinachonishangaza mimi ni baadhi ya ndugu wa Ballali kukaa kimya utafikiri hakujatokea kitu.

Kuna jambo kubwa sana linafichwa hapa, mtakaohudhuria mazishi, angalieni msije mkazika gogo
 
mkuu ES labda alikuwa akiua one form of personality (possibly ndio huu msiba) na kufufuka na another form of personality, siku akionekana ibakie tu, ooh yule anafanana na marehemu?
 
Duh!
nimesikitika sana maana jamaa atakuwa ameondoka na siri kubwa sana moyoni na kikubwa zaidi ni fundisho kwa mafisadi kuwa hata wakichuma vipi wataondoka waziache hapa duniani
Angetoa hata hints tu za siri za hawa watlobaki walivyochota hela hapo BOT,maana kuna watu najua wamefurahi mno na sasa wanakunywa mvinyo kwa kwenda mbele!!!maana mwenye kujua mambo yote ndo kesha kufa
DIE BALALI DIE,COZ IN EVERY ACTION THERS EQUAL AND OPPOSITE DIRECTIONS!!!!!
 
serikali jibu itakalotowa kwa madai ya kuwa tunataka mwili urejeshwe nyumbani ni " huyu alikuwa si mwajiriwa wetu, na familia yake imetaka azikwe marekani kwa hiyo tungependa kuwafariji katika wakati huu mgumu kwa kuwakubalia matakwa yao"
 
Kwanza siamini kama kweli Balali amefariki dunia.

Pili nimekasirika kwa jinsi ambavyo watanzania tumekuwa tukidharauliwa na viongozi wetu pasipo kuogopa, kuona vibaya au kuona haya.

Hivi kweli inaingia akilini mtu ambaye aliondoka hapa nchini kama Gavana wa Benki kwenda matibabu, halafu ghafla serikali haijui yuko wapi? Hatujakaa vizuri amefariki. Kila nikifikiria hainiingii kabisa. Na kila ninavyofikiri ndivyo ninavyozidi kukasirika na kuichukia hii serikali iliyoko madarakani. Yaani hata ubalozi hauna habari. Ni lipi linaendelea kufichwa na kwa nia ipi?

Najiuliza utendaji wa serikali na balozi zake. Hivi kweli mpaka sasa hawajapata maelekezo kutoka serikalini nini waseme. Kufa kwa Balali ni mtihani mkubwa kiasi hicho? Basi mambo aliyoyajua ni makubwa zaidi. Na kweli kazi ya kulinda usalama wa mafisadi ni kubwa kuliko inavyotegemewa.

Sijui na balozi wa marekani alijua kinachoendelea alipotoa kauli yake hivi karibuni kuhusu Balali au alikuwa anasema tu. Yaani nimechanganyikiwa jinsi hivi vitu vinavyoenda. Sijui nimuamini yupi.

Pamoja na hicho kifo kama ni kweli, bado ni vizuri tukapewa taarifa kamili. Huyu alikuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania, hivyo ni haki kujua lililomfika kama ambavyo tunaambiwa ya wengine. Sidhani tutakuwa tunaomba mengi au mambo yasiyowezekanika.
 
Sasa wakuu hebu tuwe watu wazima, according to the dataz........Mkono ndiye mwanasheria wake mpaka hii leo, yaani oficially!

Sasa hebu waandishi mtafuteni Mkono, ili aseme kama client wake amekufa, maana ninajua kuwa majuzi alionekana mahali akibadilisha vitambulisho, ambavyo ndani yake ameweka jina jipya, tuache uvivu ndugu zetu wa media mtafuteni Mkono....!

Jamani mafisadi wanaweza kuchezea vichwa vyetu. Inawezekana huyu Balali sasa anaelekea kwenye VISIWA vingine. Hili tusilipuuze wabaneni hao wakuu wetu. Balali anadaiwa na taifa la tanzania. Kama amekufa hakuna cha Kumzika huko.

Leteni mwili wake bongo halafu inatakiwa watu wahakikishe kama ni wenyewe. Huyu ni mtuhumiwa hivyo, tusiache likapita hivi hivi.

Bao hilo linaelekea kuingia.
 
Kinachonishangaza mimi ni baadhi ya ndugu wa Ballali kukaa kimya utafikiri hakujatokea kitu.

Kuna jambo kubwa sana linafichwa hapa, mtakaohudhuria mazishi, angalieni msije mkazika gogo

Au hao ndugu pia wametishiwa????????
 
serikali imeshatangaza rasmi msiba huu, au wanataka kututangazia kuwa alikufa ijumaa ilopita na mwili tayari umeshazikwa?
 
Juzi juzi tuu amkacero waende kumtafuta, mara ameonekana mahali anabadili jina kwenye vitambulisha, GHAFALA KAFA aaa wapi serikali imefanya mazingaombwe hapa, ndo mana nasisitiza hajafa, kama kafa wamemuua!!!!!!!!!
 
Acheni kudanganyana nyie jamani
Mbona sisi watanzania ni wepesi kuamini namna hii jamani, vielelezo vya kifo viko wafi, wapi mwili wake, maana hiyo ndio proof tu.

Hivi mbona sisi wepesi namna hii jamani, na tutakuwa tunadanganywa kila siku tu, na kuibiwa
 
Kinachonishangaza mimi ni baadhi ya ndugu wa Ballali kukaa kimya utafikiri hakujatokea kitu.

Kuna jambo kubwa sana linafichwa hapa, mtakaohudhuria mazishi, angalieni msije mkazika gogo

sawasawa Mkuu Mtanzania, iweje wana ndugu wawe kimya hivyo? au wanafumbwa mdomo? kuna kitu, Ndugu na Serikali wanakijua zaidi... what is that?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom