Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Hapo kwenye funeral Home..Fanyeni hivi:
Fanyeni utafiti wa funeral homes nyingine!
Mimi nakumbuka funeral home moja ikiwa na sehemu ya kuangalia mtu wenu kupata ratiba nzima ya mazishi!
Sijaangalia nyingi..Lakini experience yangu before about Funeral homes niliweza kuingiza jina la mtu wangu na kuangalia info za calling hrs etc etc!
Mwafrika wa Kike si tulibishana sana wewe na MKJJ mlipodai kuwa State Department hawahusiki na sisi kupata taarifa za Ballali?
Kwamba Zitto kaalikwa nao si ndio ilikuwa nafasi kwa mtanzania kupata tarifa halisi mara baada ya yeye kuondolewa visa yake na wamarekani?
Kama Zitto aliliwakilisha taifa then kwanini hakuitumia nafasi hiyo?
Ama ali iwakilisha serikali na si wananchi?
not I sir.. not I... wiki moja kabla kesi yake haijatajwa mahakamani?
Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.
Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?
BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.
kifo cha mama mbatia je ? wengi walisema zitto ndiye aliyetakiwa kuuliwa, na sidhani kama mtaweza kuja kujitokeza jinsi unafiki ulivyowajaa !
Daudi Kinyaga na Muthoni munyi wanafahamiana na Ballali na wamekuwa wakiwasiliana na kuachiana jumbe kwenye web!
Hivyo basi haya mambo yote ni familia nao wamejitakia!
Uamuzi wa kukaa kimya mpaka afe na huku wakiendelea kufanya siri kubwa..The hakuna wa kulaumiwa pale watu wanapo pekenyua pekenyua kivyao vyao!
Mimi ndiye nilisema hivyo na bado nasimamia unafiki wangu!
Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.
Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?
BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.
Mimi ndiye nilisema hivyo na bado nasimamia unafiki wangu!
wewe ni mwanakijiji ? yeye ndiye aliyesema hivyo na zitto akakanusha !
kama wewe ni undercover wa mwanakijiji, i agree !
Petition nitafanya!
Nasubiri mazishi dada!
Ni kweli unasimamia unafiki wako kwasababu muda uliotoa wa kamati ya madini ya kina Zitto si umeshapita?
Muda muliodai apewe Kikwete...Countdown vipi?
Hata mimi nilisema haya na bado nasimamia usemi wangu. Zitto akikataa kitu huo ni msimamo wake na haifanyi msimamo wangu kubadilika. Bado naamini kuwa wauaji wa fisadi mama Mbatia walikuwa na nia mbaya na sio Zitto au mwingine anayebadili hili.
Ukitaka kuniita mimi Mkjj unaweza kufanya hivyo anytime na hautakuwa wa kwanza kuonyesha paranoid zao hapa JF.
kama wewe ulisema, thats you ! i never count on you !
najua wewe ni mtambo, na haina haja ya kurukia mambo ambayo hayakuhusu !
hakuna aliyekuwa paranoid hapa, if you are then nenda camp kuleeeeeee ukakutane na mwenzako mgaya !
Asante,
Nakuaminia kwa hili mkuu. Unasubiri mazishi yepi hayo?