Daudi Ballali's Death

Daudi Ballali's Death

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye funeral Home..Fanyeni hivi:
Fanyeni utafiti wa funeral homes nyingine!
Mimi nakumbuka funeral home moja ikiwa na sehemu ya kuangalia mtu wenu kupata ratiba nzima ya mazishi!
Sijaangalia nyingi..Lakini experience yangu before about Funeral homes niliweza kuingiza jina la mtu wangu na kuangalia info za calling hrs etc etc!

Mkuu wangu Mushi,

Kwa nini wewe usifanye hiki na ukaleta majibu ya ulichopata?
Nani hapa anaweza kukufanyia kile wewe unaweza kufanya?
 
Mwafrika wa Kike si tulibishana sana wewe na MKJJ mlipodai kuwa State Department hawahusiki na sisi kupata taarifa za Ballali?
Kwamba Zitto kaalikwa nao si ndio ilikuwa nafasi kwa mtanzania kupata tarifa halisi mara baada ya yeye kuondolewa visa yake na wamarekani?
Kama Zitto aliliwakilisha taifa then kwanini hakuitumia nafasi hiyo?
Ama ali iwakilisha serikali na si wananchi?

Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.

Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?

BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.
 
Tumekwisha, kumbe na Ombeni sefue ndiye kinara wa ubalozi wetu. Ama kweli yale yaliyosemwa kuwa kuna kikosi cha MAFIA TZ, nakubaliana nayo. wamejidhatiti na wamejipanga kweli kweli, hapa panatakiwa mkono wa simba kuwa sambaratisha.
si vitu vyote, si vitendo vyote na si mambo yote yatakayohitaji hakimu au mahakama ili haki itendeke. (ndiyo maana enzi zile za neema tuligundua kuwa hata balozi wa nyumba kumi angeweza kufanya hiyo kazi). hapa nina maana kuwa kwa wale wasemao kuwa huyu bwana marehemu au mtarajiwa (ballali) hakuwa na kesi au mashtaka ya kujibu kwangu mimi nawaona kama wenda wazimu (psychotic). Maana ukishakuwa mtuhumiwa, tiyari una makosa mpaka utakapo-prove otherwise, mbele ya either hakimu na mahakama yake au mbele ya chombo chochote kile teule kilichopo kwa ajili hiyo. wote waliotajwa kuhusiana na ufisadi WOTE NI WATUHUMIWA NA HAWANA HAKI YA KUWA HURU MPAKA WATAKAPOPITIA KWENYE VYOMBO VYA KISHERIA (MIKONO YA SIMBA) ILI WATAKASWE.Hivyo marehemu amefariki, na alikuwa mtuhumiwa na alipaswa kupitia kwenye mikono ya simba kabla hajafariki ili apate baraka za kuingia peponi.
 
not I sir.. not I... wiki moja kabla kesi yake haijatajwa mahakamani?

na ukichukulia maandalizi ambayo JF ilikuwa imeyaandaa ili kufuatilia hii case ya Ditto kwa uwazi na ukweli wote... kuna mengi yamesemwa kwenye kifo hiki ila kwa sasa yatakuwa historia kama ambavyo imekuwa historia -kifo Cha AC.
 
kifo cha mama mbatia je ? wengi walisema zitto ndiye aliyetakiwa kuuliwa, na sidhani kama mtaweza kuja kujitokeza jinsi unafiki ulivyowajaa !
 
Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.

Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?

BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.

Daudi Kinyaga na Muthoni munyi wanafahamiana na Ballali na wamekuwa wakiwasiliana na kuachiana jumbe kwenye web!
Hivyo basi haya mambo yote ni familia nao wamejitakia!
Uamuzi wa kukaa kimya mpaka afe na huku wakiendelea kufanya siri kubwa..The hakuna wa kulaumiwa pale watu wanapo pekenyua pekenyua kivyao vyao!
 
Halafu kuna huyo Ballali Davidi ambaye rekodi zake zimeminywa sana!
 
Marehemu atalazwa katika makaburi ya Wakatoliki ya Gate of Heaven eneo la Silver Spring,

Rest in hell.
 
Ballali Davdi
Ballali Davidi
Ballali Daudi T
T S Ballali Daudi
Daudi T S Ballali

Yote hapo juu ni majina ambayo ameshawahi kutumia!
Hilo la Davdi/Davidi limeminyiwa hata umri na rekodi nyinginezo zote!
 
Daudi Kinyaga na Muthoni munyi wanafahamiana na Ballali na wamekuwa wakiwasiliana na kuachiana jumbe kwenye web!
Hivyo basi haya mambo yote ni familia nao wamejitakia!
Uamuzi wa kukaa kimya mpaka afe na huku wakiendelea kufanya siri kubwa..The hakuna wa kulaumiwa pale watu wanapo pekenyua pekenyua kivyao vyao!

Na hawa vijana kina Daudi na Muthoni ndio majina mapya ya Balali!
 
Bado nasimamia maneno yangu kuwa state department ilimwalika Zitto kwenye mambo mengine na sio issue ya Balali. Kama Zitto anataka kuja kujua mambo ya Balali, anaweza pia kuomba visa upya na kuja kufanya uchunguzi huo na akaongea na FBI na vyomba vya usalama katika hili.

Bado nakuuliza swali ambalo nilikuuliza wakati ule, kama wewe unaamini kuwa State Dept inaweza kusaidia katika hili, na kwa vile nakuamini kuwa una uchungu sana na kile kilichotokea, kwa nini wewe usiwaulize hao state Department na ukaleta hapa ulichopata?

BTW, Bado kalamu yangu inasubiria kusaini hiyo petition uliyotangaza kuifanya ili kumtafuta Balali. Nitakuwa mtu wa kwanza kwenye hayo maandamano na Kesho nitakuwa DC kwenye mazishi. I hope kukuona huko ukitafuta ukweli.

Petition nitafanya!
Nasubiri mazishi dada!
 
Mimi ndiye nilisema hivyo na bado nasimamia unafiki wangu!

Ni kweli unasimamia unafiki wako kwasababu muda uliotoa wa kamati ya madini ya kina Zitto si umeshapita?
Muda muliodai apewe Kikwete...Countdown vipi?
 
wewe ni mwanakijiji ? yeye ndiye aliyesema hivyo na zitto akakanusha !

kama wewe ni undercover wa mwanakijiji, i agree !

Hata mimi nilisema haya na bado nasimamia usemi wangu. Zitto akikataa kitu huo ni msimamo wake na haifanyi msimamo wangu kubadilika. Bado naamini kuwa wauaji wa fisadi mama Mbatia walikuwa na nia mbaya na sio Zitto au mwingine anayebadili hili.

Ukitaka kuniita mimi Mkjj unaweza kufanya hivyo anytime na hautakuwa wa kwanza kuonyesha paranoid zako hapa JF.
 
Ni kweli unasimamia unafiki wako kwasababu muda uliotoa wa kamati ya madini ya kina Zitto si umeshapita?
Muda muliodai apewe Kikwete...Countdown vipi?

Countdown inaendelea kuanzia May 7th siku thelathini zinapungua kila siku inayopita. Hayo mengine mkuu hata wewe unaweza kufanya meanwhile ili hiyo report itoke.
 
Hata mimi nilisema haya na bado nasimamia usemi wangu. Zitto akikataa kitu huo ni msimamo wake na haifanyi msimamo wangu kubadilika. Bado naamini kuwa wauaji wa fisadi mama Mbatia walikuwa na nia mbaya na sio Zitto au mwingine anayebadili hili.

Ukitaka kuniita mimi Mkjj unaweza kufanya hivyo anytime na hautakuwa wa kwanza kuonyesha paranoid zao hapa JF.

kama wewe ulisema, thats you ! i never count on you !

najua wewe ni mtambo, na haina haja ya kurukia mambo ambayo hayakuhusu !

hakuna aliyekuwa paranoid hapa, if you are then nenda camp kuleeeeeee ukakutane na mwenzako mgaya !
 
wakiishiwa hoja huanza rants!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom