David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania

Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.

Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikiwemo mashirika kibao ya kimataifa ku dokumenti yote kwa umakini yaliyompata tarehe 20 Mei 2026

Mashirika na taasisi za kimataifa zilimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia, kwake yeye Djumbe pia kwa wanaCHADEMA, wanaharakati hata wale wasio na vyama ila waliopishana mtazamo na utawala (regime) wa Samia

David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo

David DJumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu Dar es Salaam. DJumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini anavyoweza kukabiliana na changamoto anayopitia huyu yupo tayari kwa hatima yoyote waliompangia watawala madhalimu waovu.

Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
1786132538237.png
 
08 Agosti 2026

David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini
ila tuwe wakweli tu,
kukubali kucheza drama hadi kutolewa damu ili tu upate sababu ya kwenda kuishi uhamishoni ni kazi ngumu mno ndrugu zango, ama nasema uongo?🐒
 
TOKA MAKTABA :

Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague​

1786132585885.png
 
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania

Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.

Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikuwemo mashirika ya kimataifa ku dokumenti yaliyompata tarehe 20 Mei 2026

Mashirika hayo ya kimataifa yalimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia

David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo

David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini

Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685

Dah kumbe ndio sababu ya soka na kipanya kuuawawa. 😢😢😢
 
ila tuwe wakweli tu,
kukubali kucheza drama hadi kutolewa damu ili tu upate sababu ya kwenda kuishi uhamishoni ni kazi ngumu mno ndrugu zango, ama nasema uongo?🐒
Kama ni drama, Polisi wa CCM walipata wapi funguo za pingu zisizokuwa zao?

Kwanini walimwambia hizo pingu ni ngumu sana kuzifungua hadi wazifungue wao?
 
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania

Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.

Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikuwemo mashirika ya kimataifa ku dokumenti yaliyompata tarehe 20 Mei 2026

Mashirika hayo ya kimataifa yalimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia

David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo

David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini

Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685

Nimemaliza kuiona video. Nimelia sana.
 
Gentleman,
kwamba unakaa mahali kabisa na kuchukua muda wako unaskiza porojo za huyo kengeza right?🐒
Hizi mbio za kutetea uovu huziwezi bro...

It's a guarantee kuwa, muda si mrefu pumzi itakukatikia kwa kuwa unafanya biashara ambayo haitakuzalishia wala kukupa faida yoyote endelevu...!!

Na kikubwa zaidi, utakuja kugundua kuwa hao unaowatetea wakimaliza kukutumia kama condom, watamalizana nawe kwa kukuteka mchana kweupe, watakufira na kukulawiti na watakupeleka aliko kada mwenzio wa CCM Humphrey Polepole..❗❗

Walikuwepo chawa makonki watetezi wa CCM tangu wakati wa Jakaya Kikwete, wakaja wa wakati wa John P. Magufuli na wakatumiwa na godfathers wa CCM kama condom na walitupwa jalalani na sasa wanatembea matako nje...!

Mfano hai ni huu: Unamkumbuka Cyprian Musiba wewe? Na Ole Lengai Sabaya je?

Wako wapi? ............ Ni chawa kondomu chakavu mpaka leo....!!!

Walitumika kumtetea shetani na ushetani wake ignorantly. Shetani alipotimiza lengo lake aliwatupa motoni kama itupwavyo kondomu baada ya kutumika na leo wanajutia ujinga na upumbavu wao...!

Huwezi kumtetea shetani halafu akuache salama kama ilivyo...

Ushauri wa bure ni huu..

Shitua before it's too late. Acha kutetea uovu na maovu. Simama upande wa haki na utakuwa na amani ya moyo wako siku zote za maisha yako.
 
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania

Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.

Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikuwemo mashirika ya kimataifa ku dokumenti yaliyompata tarehe 20 Mei 2026

Mashirika hayo ya kimataifa yalimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia

David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo

David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini

Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685

Dah bodaboda hata baada ya tukio Jumbe alivyorudi nyumbani bodaboda walikuwa wakija nyumbani kwake usiku na mchana nje tu wakimlinda.
 
Back
Top Bottom