David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

KWA MAELEZO HAYA YA DAVID DJUMBE...
1. MTU ANAYETAJA CCM KM NDIO TATIZO LA TANZANIA, ATAKUWA NA TATIZO KICHWANI..
2. KWA USHAHIDI HUU NCHI YETU NI DHAHIRI INAONGOZWA NA MAWAKALA WA SHETANI..AKIWEMO KIONGOZI MKUU HATA TAASISI ZOTE ZA SERIKALI TISS, POLISI, JW nk ZINAONGOZWA NA MAWAKALA WA SHETANI..
3. TANZANIA ITAKOMBOLEWA, TAASISI ZA KUZIVUNJA NA KUUNDA UPYA NI TISS NA POLISI..
4. MAKAMPUNI YOTE YA SIMU KUPITIA MANAGEMENT ZAO NI WABIA/WASHIRIKI WA UHALIFU UNAOFANYWA NA DOLA, USHAHIDI HUU WA JUMBE, SATIVA, SOKA UNADHIHIRISHA DHANA HII PASI NA SHAKA..DJUMBE ALIKUWA ANAFUATILIWA KUPITIA SIMU, HIVYO ALIVYORUDI TU..TISS WALIFAHAMU KUPITIA SIMU NA KUPANGA HILO TUKIO LA KUMTEKA..
5. MUNGU YUPO NA MATUKIO KM HILI YANATOKEA ILI KUFANYA USHAHIDI WA KUCHUKUA HATUA ZINAZOSTAHILI DHIDI YA WAHALIFU WOTE KWA MATENDO YOTE WALIYOFANYA DHIDI YA RAIA..
 
Mungu amlinde, maana akirudi tu Bongo anapewa kesi ya kumiliki ndege za kivita, kuficha manowari kwenye mji wa serikali Mtumba, kufadhili Wasomali wanaoteka meli kwenye pwani ya Somalia, kutungua meli za mafuta kwenye mlango wa bahari wa Hormuz na kesi nyingine za kubambikiwa zisizo na idadi

Mfa maji haachi kutapatapa 😂 😂 😂 😂 > Kuna dalili maji yamezidi unga. Ugali hauivi
 
Watanzania hata wanamuziki wa zamani walikuwa na fikra tunduizi sana. Kwanini kizazi hiki kimekuwa kinamuachia Mungu, badala ya kuunga mkono mabadiliko kwa kila namna iwe tungu za mistrari ya ukombozi, maandamano, vipindi tunduizi ktk TV, RADIO, BLOGS n.k ?


Ukatili Ni Unyama - Dar International Super Bomboka


View: https://m.youtube.com/watch?v=axP-2H_3otw


Mistari ya wanamuziki wa Tanzania ya Nyerere ambayo yanaelemisha :

Sikitiko - Safari Trippers

View: https://m.youtube.com/watch?v=Wa4kjnuYST0



Ukombozi wa Afrika - Afro 70 Band


View: https://m.youtube.com/watch?v=CusrvwChw3g&pp=ygUSVWtvbWJvemkgd2EgQWZyaWNh

Mapinduzi ya Afrika
Ambayo Lengo lake
Ni Ukombozi kamili wa Mwafrika
Yanapingana Na Siasa,
Za Unyonyaji
Za Ukoloni Mambo Leo
Na Ubeberu

Afrika!
Shabaha Kuu Ya Mapinduzi Afrika,
Ni Kumkomboa Mwafrika Eeh,
Watalaamu Wa Ukombozi Ni Sisi Wenye,
Tunao Nyonywa, Kunyanyaswa
Na Kuonewa,

Eeh Afrika Bado Bara La Watu, Waliomo Katika Unyonge, Wa Kuoonewa Na Kunyanyaswa,

Kutakuwa Hakuna Taifa Lolote Ulimwenguni la Kutufundisha Afrika Jinsi Ya Kujiokoa ...

Wajibu Wa Kujikomboa,
Tupata Katika Mapambano Hayo Yenyewe ..
 
Dah bodaboda hata baada ya tukio Jumbe alivyorudi nyumbani bodaboda walikuwa wakija nyumbani kwake usiku na mchana nje tu wakimlinda.
Na hao waliofukuzana na gari la watekaji,'''' Boda boda...!

Hebu wape Pongezi zao stahiki.

Na siwezi kushangaa siku moja hawa hawa Boda ndio wakawa wakombozi wa taifa hili.

Ni namna tu ya kuwapa uongozi na kuwapanga vizuri kutimiza kazi kwa ufanisi.
 
Hizik story tu
hamna tena hamna mazabe km zama hizo
Kwasasa hata huyo Ndutu hana chochote ¹ huko ndo mana alirudi kagombana humo Chandema.
 
Nimemaliza kuiona video. Nimelia sana.
LOOoooh!

Mkuu 'loose Nut' umenifanya nicheke (siyo kutabasamu), kwa huko " kulia sana" taarifa hii ya kusikitisha ilikokusababishia. Hakika ni taarifa ya kusikitisha inayoweza kumsababishia mtu taharuki ya kila aina mhusika. Mimi imenihuzunisha na kunikasirisha kwa pamoja.
 
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania


Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.

Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikiwemo mashirika kibao ya kimataifa ku dokumenti yote kwa umakini yaliyompata tarehe 20 Mei 2026

Mashirika na taasisi za kimataifa zilimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia, kwake yeye Djumbe pia kwa wanaCHADEMA, wanaharakati hata wale wasio na vyama ila waliopishana mtazamo na utawala (regime) wa Samia

David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo

David DJumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu Dar es Salaam. DJumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini anavyoweza kukabiliana na changamoto anayopitia huyu yupo tayari kwa hatima yoyote waliompangia watawala madhalimu waovu.

Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685


ENGLISH (translated version)AI

07 August 2026
In exile
Secret Location
Outside Tanzania


LISSU'S AIDE, DAVID DJUMBE, WHO WAS KIDNAPPED AND ESCAPED IN HANDCUFFS REVEALS DARK SECRET TANZANIA'S STATE APPARATUS...



Mr. David Jumbe, close aide to Hon. Tundu Lissu in an exclusive interview 07 August 2026 IN EXILE OUTSIDE TANZANIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck

David Jumbe , a close aide to CHADEMA's National Vice Chairman (Tundu Lissu), who was trending / made headlines following his kidnapping on the night of May 20, 2026. This saga captured the attention of many and was reported in detail by various online media outlets all over the world.

In an exclusive interview while in exile outside Tanzania, he reveals many serious details, including how international organizations have carefully documented everything that happened to him on the fateful May 20, 2026 in Dar es Salaam, Tanzania.

International organizations and institutions asked him his consent to obtain all the information, to help them document the brutality of the Tanzanian security authorities under the regime of Samia's rule. David Djumbe, also voluntered on behalf of CHADEMA members, activists, even those without parties affiliation but were victims of Samia's brutality to tell all and shared what is going on in Tanzania closely gagged and sealed information of kidnappings, forced disapperance and tortures .

David Jumbe says many have fled and live in exile outside Tanzania to save their lives after being kidnapped, tortured and escaping death.

David DJumbe explains the situation of chairman Tundu Lissu who is detained at Ukonga Maximum Security Central Prison in Dar es Salaam. DJumbe said he used to visit Tundu Lissu and so he is shares interesting facts about the life of the chairman who is in prison on charges of treason, how he can cope with the challenges he is going through, and that he is ready for any fate that the evil oppressors have planned for him.

Click on this video (above) to get the full detailed stories exclusive from the horse's mouth that will make you understand the reality of oppression, kidnapping, stalking tailing opponents online / on ground, hurting them physically also mentally , and killings so that Samia remain in power through spilling the blood of the people
 
Kwa hali hii tumuunge mkono Yuda. Labda huu uonevu wanaofanyiwa Watanganyika wenzake unamgusa akiwa kama binadamu asiye na roho ya kishetani.
Wakati wa kurembaremba umekwisha.
kama kweli ni "Yuda" muda wa kuchukua vipande thelasini ndio huu na kumuuza mhusika ili kazi iishe.

Kama wapo waTanganyika wenzake humo ndani, muda wa kuwapanga kutimiza kazi ni huu.

Kuendelea kujiumauma na vimaneno vya hapa na pale ni kuwapa muda waovu kutumia silaha zote walizonazo kuwamaliza..
 
TOKA MAKTABA
Nairobi, Kenya

MWIGULU NCHEMBA AJIBIWA KUHUSU KAULI YAKE YA UTEKAJI NI DRAMA TU

View: https://m.youtube.com/watch?v=YDVHDtozd0g

Unaongelea huyu chawa anayejifanya daktari wakati ni kilaza wa kawaida. Halafu linaoneka jilevi la kufa. Nchi inapokuwa na waziri mkuu bweeegeee kama hili jua aliyemteua kadhalika. Maswali yake yote ya kichawa chawa. Na Polepole, Ben Saanane, na wengine waliuawa na hao maadui wako wa kubuni kumbaff mkubwa.
 
Hizi mbio za kutetea uovu huziwezi bro...

It's a guarantee kuwa, muda si mrefu pumzi itakukatikia kwa kuwa unafanya biashara ambayo haitakuzalishia wala kukupa faida yoyote endelevu...!!

Na kikubwa zaidi, utakuja kugundua kuwa hao unaowatetea wakimaliza kukutumia kama condom, watamalizana nawe kwa kukuteka mchana kweupe, watakufira na kukulawiti na watakupeleka aliko kada mwenzio wa CCM Humphrey Polepole..❗❗

Walikuwepo chawa makonki watetezi wa CCM tangu wakati wa Jakaya Kikwete, wakaja wa wakati wa John P. Magufuli na wakatumiwa na godfathers wa CCM kama condom na walitupwa jalalani na sasa wanatembea matako nje...!

Mfano hai ni huu: Unamkumbuka Cyprian Musiba wewe? Na Ole Lengai Sabaya je?

Wako wapi? ............ Ni chawa kondomu chakavu mpaka leo....!!!

Walitumika kumtetea shetani na ushetani wake ignorantly. Shetani alipotimiza lengo lake aliwatupa motoni kama itupwavyo kondomu baada ya kutumika na leo wanajutia ujinga na upumbavu wao...!

Huwezi kumtetea shetani halafu akuache salama kama ilivyo...

Ushauri wa bure ni huu..

Shitua before it's too late. Acha kutetea uovu na maovu. Simama upande wa haki na utakuwa na amani ya moyo wako siku zote za maisha yako.
sitetei wala kuunga mkono porojo nonsense za wafuata mkumbo wenye mihemko na makasiriko useless kama yako na wafuata mkumbo wengine gentleman.

our beautiful nation is on the right track, we are currently more united, more powerful and more stronger than before. Nonsense allegations like your can never shake anybody 🐒
 
Usalama wa hawa watu walioko Kenya upoje jamani, someone enlighten me, kama ni siri msinijibu.
Kenya wako strong kwenye intelligence kumbuka entire west inteligence wana vituo vyao kenya kuanzia CIA,MOSAD,MI6 na nyinginezo wapo kenya kabla ujafikiria kwenda kufanya utekaji au nia ovu tayari watakuwa na taarifa zako ..kumbukeni ya maria sarungi chap walivyomtoa kwenye mdomo wa mamba
 
sitetei wala kuunga mkono porojo nonsense za wafuata mkumbo wenye mihemko na makasiriko useless kama yako na wafuata mkumbo wengine gentleman.

our beautiful nation is on the right track, we are currently more united, more powerful and more stronger than before. Nonsense allegations like your can never shake anybody 🐒
Punga la kizimkazi
 
Back
Top Bottom