David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

Thank you… This is helpful.

Maisha yao yakoje? wanaweza kufanya kazi, wanapata wapi hela za kuendesha maisha yao wakiwa huko? kwa Case ya DJumbe amejibu kuwa ana biashara zake zina run huku… wengine je? maana wengine wamekimbia muda mrefu sana.

I’m genuinely concerned, natamani hata ningekuwa kuongozi sasa.
Wanaishi wanavyojua, na haitakiwi tujue kwa usalama wa maisha yao.

Iwe Siri hivyo hivyo. Maswali mengine yakipata majibu ndiyo chanzo cha taarifa zinazotafutwa.
 
Hata mimi huwa nakuwa na wasiwasi sana. Kama Maria Sarungi wanamwinda sana kwa sababu ana info nyingi hasa kuhusu mauaji ya 29/10. Unajua mtu anayekuwinda 7/24 ni vigumu sana umkwepe muda wote hasa inapokuwa serikali ya kidhalimu. Huyu Djumbe ana bahati mno mno. Ilikuwa ni mission ya kuua, ili Lissu apate sononeko na ku-surrender. NB: kama mtu yuko ukimbizini, hata kama ukirudi kwa kujiiba, usitumie kabisa electronic device hata kama utatumia namba isiyojulikana. Huwa wana tabia ya ku-track simu za watu walio karibu na wewe eg mke/mume 7/24. Pia wanaweza kuweka surveillance nyumbani kwako na kwa watu walio karibu na wewe.
Nimepata info Kashaondoka muda kidogo baada ya hiyo interview.
 
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema tudumishe amani.

Unadumishaje amani kwa kumvizia mtu anatoka katika shughuli zake unamvalisha na pingu bila kujua kosa lake?

Hawa vibaka wa policcm wangefanikiwa kumpoteza ungesikia wanakuja kusema wanaendelea na uchunguzi halafu ndio habari inakua imeishia hapo.

Kitendo cha Mafwele kumwambia aende wazifungue pingu kituoni maana akina Djumbe na wanaomsaidia hawatoweza kuzifungua ni jibu tosha kwamba wao ndio wahusika.

Na ushahidi unatimilika zaidi asubuhi policcm walipowahi makao makuu ya chama wakiamini Djumbe kaenda kujificha pale na Mafwele kumpigia Golugwa kusema Djumbe ametoroka na pingu je alijuaje kwanza katoroka na kawatoroka akina nani na alijuaje ametoroka akiwa kafungwa pingu ambazo raia hawawezi kuzifungua?

images - 2026-08-08T133104.113.jpeg
 
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema tudumishe amani.

Unadumishaje amani kwa kumvizia mtu anatoka katika shughuli zake unamvalisha na pingu bila kujua kosa lake?

Hawa vibaka wa policcm wangefanikiwa kumpoteza ungesikia wanakuja kusema wanaendelea na uchunguzi halafu ndio habari inakua imeishia hapo.View attachment 3646534
Mungu ni wa ajabu sana! Huyu jamaa alitoroka mithili ya Komando Kipensi
 
Wanaishi wanavyojua, na haitakiwi tujue kwa usalama wa maisha yao.

Iwe Siri hivyo hivyo. Maswali mengine yakipata majibu ndiyo chanzo cha taarifa zinazotafutwa.
I saw it too! Umbea wa kike tu unanisumbua.

But genuinely i am very much concerned, nimemsikiliza DJumbe na hivi ni wa nyumbani, i felt like my brother kabisa blood!

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi.
 
Thank you… This is helpful.

Maisha yao yakoje? wanaweza kufanya kazi, wanapata wapi hela za kuendesha maisha yao wakiwa huko? kwa Case ya DJumbe amejibu kuwa ana biashara zake zina run huku… wengine je? maana wengine wamekimbia muda mrefu sana.

I’m genuinely concerned, natamani hata ningekuwa kuongozi sasa.

Asylum seekers wanapewa monthly stipend , ni kiasi kidogo cha pesa kwa ajili ya kujikimu mahitaji madogo madogo ya kibinadamu[ sio ule upuuzi tunaoambiwa wanalipwa mabilioni na akina Madelu] , kiasi hiki hakihusishi malazi/makazi maana hutafutiwa na nchi husika au shirika husika kwa ajili ya usalama na hutegemeana na shirika hadi shirika ambalo limewapa hifadhi , hawaruhusiwi kufanya kazi sababu hawajaingia katika mfumo rasmi bali wametafuta makazi salama .

Lakini baada ya kukaa muda mrefu anaweza kuomba uraia baada ya kupitia mchakato rasmi katika mamlaka ya uhamiaji na akikubaliwa anapewa uraia hapo ndio anaweza kuanza kufanya kazi au kujiendeleza kielimu.

Kuhusu Djumbe kuwa na biashara ni mtu aliyeondoka akiwa na biashara zake tayari zinajiendesha anachofanya ni kutumia wasaidizi ambao nadhani ndio walitrack mawasiliano yake na kujua amerudi wakaanza kumfuatilia tena.
 
Asylum seekers wanapewa monthly stipend , ni kiasi kidogo cha pesa kwa ajili ya kujikimu mahitaji madogo madogo ya kibinadamu[ sio ule upuuzi tunaombiwa wanalipwa mabilioni na akina Madelu] , na hutegemeana na shirika hadi shirika ambalo limewapa hifadhi , hawaruhusiwi kufanya kazi sababu hawajaingia katika mfumo rasmi bali wametafuta makazi salama .

Lakini baada ya kukaa muda mrefu anaweza kuomba uraia baada ya kupitia mchakato rasmi katika mamlaka ya uhamiaji na akikubaliwa anapewa uraia hapo ndio anaweza kuanza kufanya kazi au kujiendeleza kielimu.
Thank you brother!
 
Ngumu sana hii ya kuacha asili na ndugu zako na kuishi kiupweke, mawazo na msongo.

Lakini ndiyo njia pekee kuponya uhai.
 
Ngumu sana hii ya kuacha asili na ndugu zako na kuishi kiupweke, mawazo na msongo.

Lakini ndiyo njia pekee kuponya uhai.

Nilibahatika kufanya mazungumzo na asylum seekers 3 nilipotembelea nchi fulani baada ya kuwa wameshaingia katika mfumo rasmi na kuwa raia ila bado ile hali ya kutoondoka nyumbani kwa hiyari unaona kuna kitu wanakikosa .

Ni maisha ya upweke wanapitia na vitisho juu huku nyuma akina Madelu wanaaminisha kwamba wanalipwa mabilioni kuchafua nchi sijui kuhamasisha maandamano , hakuna shirika litatoa malipo ya mabilioni kwa wakimbizi wa kisiasa , maana wakifanya hivyo itakua ngumu kufanya scrutiny nani amekimbia tishio la usalama na nani ametafuta shortcut kwa ajili ya passive income ya stipends tu na kulala bure.

Leo hii unaweza usiamini kuna watu bado wanamsaka yule bwana mdogo Sativa wampoteze sasa kumteka walimteka wao miaka 2 imepita sasa na hawawezi kuchunguza sababu wao ndio walifanya tukio hilo sasa wanaoana njia pekee ni kumsaka na akina Maria wawapoteze.

Kimsingi kwa wasiojua ni kwamba hadi leo kinachowashinda hao jamaa kuwarudisha Tanzania ni sababu upo ushahidi wa wazi walifanyiwa ukatili na wengine bado wanafuatiliwa hivyo hawana nguvu ya kisheria kuomba extradition ya hawa watu maana hakuna nchi au shirika linalowapa hifadhi wakimbizi wa kisiasa litakubali kuchafua taswira yake kumtoa mtu akauwawe ndio maana unaona wanawatumia vibaka kama akina Msuya na Buyobe wakawarubuni ili wawasogeze wawateke .
 
Kwa Maelezo yake David ni wazi Genge la ZCO Mafuel ndiyo waliomteka.
 
Back
Top Bottom