ila tuwe wakweli tu,08 Agosti 2026
David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini
Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha kupelekwa Mahakama ya ICC The Hague ipo njiani.
Hoja za Askofu Josephat Gwajima
View: https://m.youtube.com/watch?v=lIInNAywSIMHoja za Mh. Jesca Jonathani Msambatavangu, mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CCM.
Histori ya juzi tu, huko The Philippines viongozi na watawala wa chama...
- Bagamoyo
- ccm icc mahakama ya uhalifu
- Replies: 56
- Forum: Jukwaa la Siasa
ila tuwe wakweli tu,
kukubali kucheza drama hadi kutolewa damu ili tu upate sababu ya kwenda kuishi uhamishoni ni kazi ngumu mno ndrugu zango, ama nasema uongo?π
Gentleman,TOKA MAKTABA
Nairobi, Kenya
MWIGULU NCHEMBA AJIBIWA KUHUSU KAULI YAKE YA UTEKAJI NI DRAMA TU
View: https://m.youtube.com/watch?v=YDVHDtozd0g
Dah kumbe ndio sababu ya soka na kipanya kuuawawa. π’π’π’07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck
David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.
Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikuwemo mashirika ya kimataifa ku dokumenti yaliyompata tarehe 20 Mei 2026
Mashirika hayo ya kimataifa yalimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia
David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo
David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini
Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685
Kama ni drama, Polisi wa CCM walipata wapi funguo za pingu zisizokuwa zao?ila tuwe wakweli tu,
kukubali kucheza drama hadi kutolewa damu ili tu upate sababu ya kwenda kuishi uhamishoni ni kazi ngumu mno ndrugu zango, ama nasema uongo?π
Nimemaliza kuiona video. Nimelia sana.07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck
David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu Lissu), aliye trend / aligonga vichwa vya habari kufuatia tukio la kutekwa nyara usiku wa tarehe 20 Mei 2026. Sakata hili lilivuta hisia za wengi na kuripotiwa kwa kina na vyombo mbalimbali vya habari vya mtandaoni.
Katika mahojiano exclusive akiwa nje ya Tanzania afunguka mengi mazito, ikuwemo mashirika ya kimataifa ku dokumenti yaliyompata tarehe 20 Mei 2026
Mashirika hayo ya kimataifa yalimfuata ili kupata mambo yote baada ya kumuomba ridhaa wa- dokumenti ukatili wa vyombo vya nchi ya Tanzania chini ya utawala wa Samia
David Jumbe asema wengi wamekimbia nje wapo nje ya Tanzania kunusuru maisha yao baada ya kutekwa, kuteswa na kuepuka kifo
David Jumbe aelezea hali ya mwenyekiti Tundu Lissu aliye kizuizini Ukonga gereza kuu. Jumbe alikuwa na tabia ya kumtembelea Tundu Lissu hivyo ana share mambo kibao kuhusu maisha ya mwenyekiti aliye gerezani kwa tuhuma za kesi ya uhaini
Bofya video hii upate simulizi kamili za kina exclusive from the horse's mouth (msimuliaji mwenyewe) ambazo zitakufanya uelewe hali halisi ya ukandamizaji, utekaji, kufuatilia wapinzani, kuwaumiza, kuwapoteza ili watawala wabaki madarakani kwa damu za watu
View attachment 3645685
Cheki huyu mshenziila tuwe wakweli tu,
kukubali kucheza drama hadi kutolewa damu ili tu upate sababu ya kwenda kuishi uhamishoni ni kazi ngumu mno ndrugu zango, ama nasema uongo?π
Hizi mbio za kutetea uovu huziwezi bro...Gentleman,
kwamba unakaa mahali kabisa na kuchukua muda wako unaskiza porojo za huyo kengeza right?π
Dah bodaboda hata baada ya tukio Jumbe alivyorudi nyumbani bodaboda walikuwa wakija nyumbani kwake usiku na mchana nje tu wakimlinda.07 Agosti 2026