David Djumbe, msaidizi wa Tundu Lissu aongea mazito akiwa uhamishoni nje ya nchi 07 Agosti 2026

Huyo mburukenge anajisumbua bure Rais wetu hakuna kima atamfanya chochote
 
Hakuna Mungu wa kulinda wapumbavu km huyo, na harudi ataendelea kubeba maboksi ya wazungu
 
Hivi hawa watawala mabaradhuli, huwa kuna nini kwao wakifa bila kuonja joto la jiwe ili kulipia maumivu waliyoyafanya kwa wengine, ni kusubiri siku ya kiama ya hukumu ya Mungu kwa raha mustarehe kaburini?

Kwa nini isipitishwe sheria ya kuchapa viboko makaburi yao wanapokwepa mikono ya sheria na ghadhabu ya umma kwa njia ya kifo cha kawaida, angalau kuwadhalilisha huko waliko na kuleta afueni kwa waathiriwa?

Ukisikiliza clip hii hata kama ulikuwa hukijui kilicho nyuma ya Serikali ya Ccm, sasa utakijua.

Pongezi nyingi sana kwako mleta uzi uliyeipandisha clip hii mtandaoni kwetu Jf.
 
Dah kumbe ndio sababu ya soka na kipanya kuuawawa. 😒😒😒
Kipanya ameuawa kwa kupiga picha na video msafara wa bibi msumi uliokuwa na gari zaidi ya 130+

Soka ameuawa kwa kutaka kuanda mkutano wa vijana siku ya vijana duniani.

Chaula ameuawa kwa kuchoma picha aliyeichora yeye mwenyewe yenye image ya Bibi Msumi.

Polepole ameuawa kwa kuwaumbua mtandao wa WAHUNI.

Ben Saananane ameuawa kwa kuumbua PHD feki ya Mtu wa Legasi.
 
Acha bangi dogo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Usalama wa hawa watu walioko Kenya upoje jamani, someone enlighten me, kama ni siri msinijibu.
Hata mimi huwa nakuwa na wasiwasi sana. Kama Maria Sarungi wanamwinda sana kwa sababu ana info nyingi hasa kuhusu mauaji ya 29/10. Unajua mtu anayekuwinda 7/24 ni vigumu sana umkwepe muda wote hasa inapokuwa serikali ya kidhalimu. Huyu Djumbe ana bahati mno mno. Ilikuwa ni mission ya kuua, ili Lissu apate sononeko na ku-surrender. NB: kama mtu yuko ukimbizini, hata kama ukirudi kwa kujiiba, usitumie kabisa electronic device hata kama utatumia namba isiyojulikana. Huwa wana tabia ya ku-track simu za watu walio karibu na wewe eg mke/mume 7/24. Pia wanaweza kuweka surveillance nyumbani kwako na kwa watu walio karibu na wewe.
 
serikali inajua nguvu yao wanaishi nao vizuri kwa kutumia mbinu zote.
 
Kenya Wana military surveillance rader za international community nyingi..na base za Security za nje wakishirikiana na Serikali ya Kenya...
Sasa ukitaka kumteka mtu Kenya hata kama wewe ni Polisi unajiweka hatarini ..Kuna uwezekano mkubwa sana wa kujulikana mapema..

Na huu ujinga unaofanyika Bongo sio kwamba balozi kubwa kama US na EU hawajui kinachoendelea ..
Wanajua na Wana ushahidi..sisi anga letu lipo wazi...Wana Satellite huko juu..wameamua kunyamaza

Kilichomuokoa Maria Sarungi ni ubalozi wa Ujerumani ulioko Nairobi...kwa kutoa alarm na usaidizi wa haraka kwa kushirikiana na Kenya... Mume wake Maria alipiga simu ubalozi wa Ujerumani...
Wao walitaka kujua aina ya gari.. rangi ya gari na uelekeo tuu...mengine ni mambo ya ki intelligence tuu...wale jamaa wakawa tayari wanafuatiliwa kwa haraka sana..kwa njia ya Mombasa road na Athi river ya kuja Namanga boader... Rader zilikuwa on upande huo... Askari na Kenya na Usaidizi kutoka nje wakiwa na vifaa maalumu waliweka mtego..

Inasemekana Kuna askari mmoja wa Kenya aliyejua mchongo huu..akawatext wasiojulikana kwamba mwachieni huyo mtu..na Hilo gari achaneni nalo mtadakwa muda si mrefu...basi ndio ikawa pona ya Maria
 
Mkuu GT king asante sana. Je humbled gentlemen Ally Kibao aliwakosea nini hadi kuuwawa kikatili?
 
Thank you… This is helpful.

Maisha yao yakoje? wanaweza kufanya kazi, wanapata wapi hela za kuendesha maisha yao wakiwa huko? kwa Case ya DJumbe amejibu kuwa ana biashara zake zina run huku… wengine je? maana wengine wamekimbia muda mrefu sana.

I’m genuinely concerned, natamani hata ningekuwa kuongozi sasa.
 
Sahihi kabisa.

Siku moja tupate kiongozi mwenye ubinadamu hawa watu warudi kuungana na familia zao aisee, nje mtu uende kwa kutaka sio kukimbia.

Hii ni tourture ya highest order, anyways as long as wanajisikia salama hata kwa 70% ni aheri.
 
Jamaa ameelezea vitu vingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…