David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Ukiacha Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasmi kuhutubia mkutano huo wa M300 wengine ni Naibu Waziri Mkuu Mhe Dkt Dotto Biteko, Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa kituo cha Ubia nchini PPPC.
Waziri Mkuu wetu hakuwepo? Vipi ofisi ya Makamu wa Rais ya masuala ya mazingira?
 

Samia mitano tena
 
Alikuwa anasoma hotuba au alikuwa anatoa kichwani?
Ukitaka kujua utofauti mwambie Mwenyekiti wa ccm bi kiboko ahutubie kwa kutoa kichwani!
 
You can't be serious, seriously hicho Kiingereza kibovu kiasi hicho ndiyo mpaka umekifungulia uzi kukisifia? Unless if you're just mocking him in disguise hapo utaeleweka.
 
Mhe Kafulila amesema ni lazima sekta binafsi Africa yote zihusishwe katika mchakato huo kwa sababu ndio wadau wakubwa wa maendeleo ulimwenguni kote.
Ndo maana tunasema CHADEMA waungwe mkono,hakuna mtu aliyeandaliwa na upinzani akawa kilaza,magu alijua ukitaka kufanya kazi tafuta majembe kutokea huko. Kule hakuna cha kupewa ubunge kwa kuangalia cheo au wadhifa wa marehemu baba yako. Ni mwendo wa kuonyesha unaweza nini?
 
Alikuwa anasoma hotuba au alikuwa anatoa kichwani?
Ukitaka kujua utofauti mwambie Mwenyekiti wa ccm bi kiboko ahutubie kwa kutoa kichwani!
Hata kama alikuwa anasoma, kwani yule mama wa ''mr.chair" alikuwa anatoa kichwani au alikuwa anasoma?
 
Kafulila alikuwa anaongea kwenye hadhara ya kushawishi uwekezaji Tanzania kwenye nishati (be it ukiangalia hiyo audience iliyopo) kulikuwa na watu wachache mno (tells you they, think he is nuisance to them).

Regardless issue ya msingi sio ubobezi wake wa lugha au la (japo lugha mbovu), hoja ya msingi kama mkurugenzi wa PPP ni vipi kainadi kwa weledi proposal ya serikali ya Tanzania ambayo imepeleka World Bank.

Lazima muambie ukweli (simpletons). About his speech it wasn’t much about his eloquence in English language but more on his ability to sell the energy proposal submitted by the government.

The nonsense in this forum is beyond me, 99.9% amjasoma hiyo ‘national energy compact’ business proposal Tanzania iliyonadi ili kushawishi uwekezaji. Na kupima kama speech ya Kafulila kama ipo ‘in toe’ na government goals

Lazima muambiwe ukweli, kiwango chetu cha ujinga is something else.
 
"We need government"

"The general society in Africa achieve..."
 
Sasa kuna kingereza cha kustaajabisha hapo? Hicho si kile cha form two kabisa, na lafudhi ya kiha kabisa naisikia
 
Hilo jukumu lilifanywa na Waziri wa Nishati nenda kamsikilize pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…