David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

Kwa sisi walimu tunaotoa lecture masaa 4 kila wiki tena kwa English hiyo ni kazi laini kwetu kutema ungenge
 
Na wewe naona kuna makosa umeyafanya hapo kwenye bold. Kuna wakati utatumia the na kuna wakati utatumia a
a ni indifinite article inayodescribe general nouns wakati the ina describe specific noun (kwa maana ya kwamba the ina describe kitu kinachojulikana exactly).

So hapo huyo jamaa anazungumzia serikali (ya Tanzania) ambayo inajulikana (so ni specific noun) hivyo alitakiwa atumie article "THE".
 
Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?

Tunasema , We need governments sio the governments
 
Sijawahi kumkubali tumbili aisee hakuna kitu hapo ni kula pesa za za taifa la maadui 4.
 
Halafu hata jiwe hukumsifu kiingereza chake,we mnafiki sana.
 
Very nice
 
Mbona ni kile kile cha Hi school ! My morning speech is about Government , Government is group of the people by the people for the people
When I come to English IAM fire of dreaming far don't joke me, play others not me I will show you am another creature
 
Alikuwa anazungumzia governments zote za Africa mbona hiki kidogo sana mmesomea wapi hicho kiingereza?

Tunasema , We need governments sio the governments
Sikiliza video wewe labda kama ni kiziwi. Amesema "we need government".
 
Hamna kitu, nikampa vitanza ulimi secondary.


🤣🤣🤣🤣 "Kantai Is a masai man who can tie a tie, if Kantai can tie a tie why can't you tie a tie...."


"We have to time time, before time times you"

Hamna kitu hapo ,sarufi matamshi ni shida tupu sema we kwa level yako unaona huyo "tumbili" katema YAI ngeli!!🤣🤣🤣😅🤣😅🤣

Mods não wanafurahisha eti huu não ni Uzi??🤣🤣🤣
 
Mimi bado nasubiri hiyo Proposal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…