David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Kafulila ni bonge la kiongozi aise
 
Waheshimiwa wabunge wameguswa sana mpaka wengine wameshindwa kuficha hisia zao za upendo kwa Mheshimiwa Kafulila.nakujikuta wakipiga makofi kwa hisia kali sana huku macho yao yakiwa ni kama yanataka kutokwa na Machozi
Kwahiyo kawatoa machozi sio?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maza akiona au kusikia mtu anafagiliwa sana kwa misifa sifa mingi huwa anampotezea huyo mtu kama vile hayupo πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚

Huenda natania tu lakini inaweza kuwa kweli πŸ˜‡πŸ›«
 
Lakini ndio wanaisaidia serekali kufanya check and balance.....bila hivyo...Wabunge wa ccm ...... wakiulizwa jambo lolote ni ndiooooooo....... mpaka bunge limekosa mvuto wa kulisikiliza πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kwakweli πŸ™„
 
Maelezo meeeeeeengi mpaka inachosha kuyasoma, muda wa kupoteza kwa kuandika maandiko hayo yote ni bora ungekuja na Andiko la nini kifanyike ili watanzania wawe na maisha bora. Inashangaza sana wanasiasa wanavyosifiwa kwa hali ya juu, huku watanzania asilimia kubwa wakiishi kwenye wimbi la umaskini uliopitiliza na watawala kuendelea kuneemeka.

Maprofesa na Madaktari wamevikimbia Vyuo Vikuu na kwenda kwenye Siasa manake wanajua ni sehemu ya kupiga hela kirahisi kutokana na akili za Watanzania zilivyo.
 
Hayo unayoyataka yanaendelea kufanywa kwa kasi sana na serikali ya Rais Samia.
Your browser is not able to display this video.
 
Unalipwa kiasi gani maana watanzania kwa rushwa hatujambo. umekuwa mwijaku rapper sio kila ukiamka unamsifia Kafulila hivi anakufahamu kweli au ndio chawa uchawini bata batani
 
Maza akiona au kusikia mtu anafagiliwa sana kwa misifa sifa mingi huwa anampotezea huyo mtu kama vile hayupo πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚

Huenda natania tu lakini inaweza kuwa kweli πŸ˜‡πŸ›«
Ni uzalendo mkubwa sana na jambo jema sana kuwapongeza,kuwatia moyo na kutambua michango yao viongozi wazalendo aina ya Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mheshimiwa. Najuwa watu aina yako hampendi tuwataje kwa kuwa mioyo inawauma sana.
 
Unalipwa kiasi gani maana watanzania kwa rushwa hatujambo. umekuwa mwijaku rapper sio kila ukiamka unamsifia Kafulila hivi anakufahamu kweli au ndio chawa uchawini bata batani
Silipwi kitu maana kazi yangu ni ya kizalendo .na nimekuwa nikifanya hivi tangia muda tu nilipojiunga na jukwaa hili.
 
Nikweli Wabunge wamethibitisha hilo
Waheshimiwa wabunge wameonesha kumkubali sana Mheshimiwa David Kafulila na kuhitaji kuona akiungana nao Bungeni hapo mwakani, kwa kuwa sauti yake inahitajika sana ndani ya Bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…