David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Hii nchi inawatu wengi ambayo wanaangukia kwenye kundi la akili za Mental Retarded people!! yaani IQ ni below 70.
Hawa uwezo wao mkubwa ni katika kusifu watu,kiherehere na kujipendekeza...
And this is according to research
 
Kafulila ni man of the people. Kule simiyu kaacha alama tofauti na kwingine ktk kanda ya ziwa ni yeye pekee alikomaa na kampuni za pamba mpk bei ikapanda kutoka tzs 890 - 2200.

Tunamwombeaa sana!
 
Lucas una majibuuu😂
Saizi nimewawekea hadi video ili kila mtu achague cha kuangalia kulingana na uwezo wake.kati ya video au kusoma kuishia aya za mwanzo au afike mwisho kupata utamu wote.
Your browser is not able to display this video.
 
Kafulila ni man of the people. Kule simiyu kaacha alama tofauti na kwingine ktk kanda ya ziwa ni yeye pekee alikomaa na kampuni za pamba mpk bei ikapanda kutoka tzs 890 - 2200.

Tunamwombeaa sana!
Kwa hakika tuendelee kumuombea na kumuunga mkono sana.maana ni jembe kwelikweli
 
Hii nchi inawatu wengi ambayo wanaangukia kwenye kundi la akili za Mental Retarded people!! yaani IQ ni below 70.
Hawa uwezo wao mkubwa ni katika kusifu watu,kiherehere na kujipendekeza...
And this is according to research
Mwenye uwezo acha asifiwe tu na kupongezwa.wewe kama uwezo wako mdogo utaendelea kuumia tu unapoona wenzako wanapata sifa bure kabisa bila kuwalipa watu.
 
Hapana, Mimi huwa siumii kwa vitu kama hivyo ,
Pia huwa namkubali mhe Kafulila 🤠
 
Kafulila ni man of the people. Kule simiyu kaacha alama tofauti na kwingine ktk kanda ya ziwa ni yeye pekee alikomaa na kampuni za pamba mpk bei ikapanda kutoka tzs 890 - 2200.

Tunamwombeaa sana!
Sasa kwa nini aliondolewa kule Simiyu ????
Labda kwa kuwa mabepari ya kununua Pamba yalikuwa hayamtaki kwa sababu ya kuhere here chake cha kuwatetea wakulima wa Pamba ????!!!
Au ??😳🙄🙄

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni !
 
Mkuu kule ni Kosovo, huoni kilichompata RC Nawanda? Zengwe zipo balaa. Unakuta mbunge ndo mwenye kampuni ya ununuzi wa Pamba. Hapo utakaa masaa ukiwa tofauti nae
 
Mkuu kule ni Kosovo, huoni kilichompata RC Nawanda? Zengwe zipo balaa. Unakuta mbunge ndo mwenye kampuni ya ununuzi wa Pamba. Hapo utakaa masaa ukiwa tofauti nae
Ndicho nilichokuwa nataka kukijua ili nijue kumbe watu wengi wanajua hilo, kwamba influence ina nguvu kuliko uchapa kazi wa mtu 😳🙄
 
Wewe ni mtanzania mjinga kuliko wote. Tambua hivyo na Watanzania watambue hivyo. Huwezi kutwa nzima unasifia matapeli . Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
Jamaa halina akili kabisa inaonekana kinyeo chake kimeshazoea kushughulikiwa na kina dr nawanda
 
Jamaa halina akili kabisa inaonekana kinyeo chake kimeshazoea kushughulikiwa na kina dr nawanda
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kuzidiwa maumivu makali ya 🔨 .naona umeumia sana ulipoona Mheshimiwa Kafulila akishangiliwa kwa nguvu kubwa na waheshimiwa wabunge.
 
Naona majengo ya bunge yanatetemeka
 
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kuzidiwa maumivu makali ya 🔨 .naona umeumia sana ulipoona Mheshimiwa Kafulila akishangiliwa kwa nguvu kubwa na waheshimiwa wabunge.

Kwa hiyo wewe jamaa kazi yako ni kusifiasifia tu wanasisiemu mbalimbali.
Angalau na siku moja msifie baba au mama yako kwa kukuzaa.
Unaonekana una mtindio wa ubongo wewe shoga
 
Amelitetemesha bunge kiboyo la majizi ya kura!
 
Hivi Kafulila kesharudiana na Mkewe?? Kama bado, nakutahadharisha Mr Lucas, punguza papala!! Ohoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…