David Kafulila alitetemesha Bunge na kupokelewa kifalme

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Nadhani wanakumbuka jinsi ambavyo aliwaburuza wabunge wa CCM 2015-20 mpaka mwanasheria wa serikali wa wakati huo (Werema) akataka kurusha ngumi.
Wakati huo Kichwa cha Kafulila kilikuwa sawa na vichwa mia vya wabunge 200 wa CCM.
 
Nimechanganyikiwa kuona makofi? Toka lini nikaangalia hilo bunge la majizi ya kura? Au unadhani Kila mtu anaona kuwepo hapo bungeni ni bonge la fahari?
Basi endelea kutulia na kunywa vidonge vya maumivu
 
Ipo siku utauza uanaume wako!
 
Maandiko yako marefu huwa yanachocha kuyasoma, kwanini huwa unaandika maneno meengi yenye maana moja...unarudia rudia ili iweje?

Hukujifunza kuandika summary au shule haujaenda kabisa.
Ni kawaida kwa mnafiki yoyote kuwa na vimaneno viingi sana chukulia hata mfano wa hawa malaya wa Bar akishaona meza imenona utapambwa sana hata ukijamba atajisemesha au kukuuliza haujamia?Au atasifia ushuzi unanukia vizuri ndio huyu Mwashamba ni mmoja kati ya vijana wapuuzi na wanaotakiwa kupingwa vikali kwa kusababisha tabia za kishoga hapa Nchini
 
Usifikiri kila mtu ni mjinga kama ulivyo wewe
Wewe luka bila kumumunya maneno ni kijana wa hovyo na ni alama tosha ya upumbavu na nna uhakika huu upuuzi wako unamkera hata huyo Mama ambae kutwa upo hapa kumpamba na nnahisi una ajenda nyuma ya pazia ambayo ni kashfa kwa mama maana maandiko yako yoote huwa yamekaa kwa namna ya kuwapandisha watu Mori ili waushambulie uongozi wa juu kwa matusi na hapo ndipo panya buku wewe huwa unapata furaha wewe sio chawa wala nini una jambo lako mbuzi wewe
 
Huezi kuwa mwanaume unasifia ujinga ujinga kuwafanya watanzania wajinga wasiojielewa. Stop that stupidity!!
Basi wewe kosoa sana kama unaumia. Ungejitahidi upate vidonge vya presha kabla haujafa kwa chuki binafsi
 
Naona unaumia sana unapoona Mheshimiwa Rais Anaendelea kupongezwa na kusifiwa kwa kazi nzuri anayoifanya kwa Taifa letu. wakati wewe na li roho lako Libaya unatamani kuona Rais wetu mpendwa akishambuliwa wakati wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…