David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia

Ndugu zangu Watanzania,

Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.

Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.

"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.

Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.

Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).

Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.

"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.

Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.

Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153
MAFISADI YA SAMIA YANATENGENEZA PROJECT ZA UFISADI ENDELEVU WA KIMIKATABA...TANZANIA INATAKIWA IJITOE KWENYE MAHAKAMA ZA KIMATAIFA HARAKA SANA HIVYO VYOMBO VIPO KUFANIKISHA UKOLONI MAMBOLEO WA KIFISADI
 
Lukasi Mwashambwa Leo pokea maua Yako🌻🌻🌻🌻
Asante Nashukuru sana.Mimi namuunga mkono Mheshimiwa David Kafulila kwa sababu natambua kuwa ni kiongozi Mzalendo na mchapakazi sana.nilikuwepo Mbozi wakati akiwa RAS mkoa wa Songwe.kila mtu alikuwa ana mkubali sana huyu Mheshimiwa kwa uchapakazi wake. na ameacha historia na alama njema sana kwa mkoa wa Songwe. yeye ndiye aliyesimamia ujenzi wa makao makuu ya mkoa wa Songwe.na kwa uzalendo alirejesha hadi pesa za chenji zaidi ya Billion 2 katika Billion 6 alizokuwa amepatiwa.sasa kwanini nisimuunge mkono?

Nipo tayari kuitwa chawa au kunguni lakini nitaendelea kumuunga mkono na kuandika yote afanyayo kwa Taifa letu kila nikiwa na Bando kwenye Simu yangu.hakuna wa kunizuia.ni lazima tuwatie moyo wazalendo na wachapakazi aina ya Mheshimiwa David Kafulila.
 
Matapeli ya mjini hao yakishapata ten percent yanaingia mitini halafunbaadaue yakizee unakikuta kizee kikongwe kimepigwa na Mungu viboko Barabara utasikia nimeshauriwa na daktari nisile vyakula vyenye mafuta,chumvi,sukari nyama choma nk vitamu vyote Mungu anamnyima na mabioioni yote ya mapesa aliyokwimba

Kubwa yuko kwenye dose ba vikapu vya dawa pressure yake ,kisukari chake,ukimwi wake na nagonjwa kibao

Maskini wasioiba cha mtu Mungu anawaacha wanakula vitamu vyote sugar yao,chumvi yao ,vyakula vyenye mafuta vyao ,choma zao nk na hakuna pressure,kisukari wala nini..

Hiyo mipesa wengi mwisho wa siku Inawatokea puani hata wasipokamatwa kushitakiwa Mungu anashughulika nao perpendicularly
Hakuna majitu poyoyo kama haya yanatembea kwenye gari za kujaziwa mafuta na Kodi zetu,zile AC za yale magali huwa zinafuta uwezo wa asili wa kufiri na kujikuta wanakubali kila kitu.Imagine Karne ya 21 na gesi unayo kama Urusi,na madini kila Kona,bahari yenye samako zaidi ya kiasi kikubwa,Mbuga za wanyama mpaka zingine mnagawa kwa waarabu,eti.leo hii mnakodisha Tanesco na Bandari.
 
Asante Nashukuru sana.Mimi namuunga mkono Mheshimiwa David Kafulila kwa sababu natambua kuwa ni kiongozi Mzalendo na mchapakazi sana.nilikuwepo Mbozi wakati akiwa RAS mkoa wa Songwe.kila mtu alikuwa ana mkubali sana huyu Mheshimiwa kwa uchapakazi wake. na ameacha historia na alama njema sana kwa mkoa wa Songwe. yeye ndiye aliyesimamia ujenzi wa makao makuu ya mkoa wa Songwe.na kwa uzalendo alirejesha hadi pesa za chenji zaidi ya Billion 2 katika Billion 6 alizokuwa amepatiwa.sasa kwanini nisimuunge mkono?

Nipo tayari kuitwa chawa au kunguni lakini nitaendelea kumuunga mkono na kuandika yote afanyayo kwa Taifa letu kila nikiwa na Bando kwenye Simu yangu.hakuna wa kunizuia.ni lazima tuwatie moyo wazalendo na wachapakazi aina ya Mheshimiwa David Kafulila.
Askogu kasema.chawa ni dhambi mpya wewe bado unaongeza dhamvi nyingine
 
Halafu yuko India huko na anayazungumza hayo.

Hivi ndivyo serikali inavyofanya kazi??
Dunia ni kama kijiji.acha ushamba wako wewe.kwani huwa huoni Rais anafanya uteuzi na utenguzi akiwa hata nje ya Nchi? Hivi wewe utakua na kukomaa lini akili yako? Mbona kila siku unazidi kuwa mjinga mjinga tu?
 
Hakuna majitu poyoyo kama haya yanatembea kwenye gari za kujaziwa mafuta na Kodi zetu,zile AC za yale magali huwa zinafuta uwezo wa asili wa kufiri na kujikuta wanakubali kila kitu.Imagine Karne ya 21 na gesi unayo kama Urusi,na madini kila Kona,bahari yenye samako zaidi ya kiasi kikubwa,Mbuga za wanyama mpaka zingine mnagawa kwa waarabu,eti.leo hii mnakodisha Tanesco na Bandari.
Unaelewa maana ya Ubia?
 
Sio yeye Mkuu.
Huyu kaisha bebeshwa mabomu, atake asitake lazima atekeleze.
Sio yule mpinga ufisadi
Mkapa aliuza mashirika yote yaliyokuwa yanatengeneza hasara

Magufuli aliuza nyumba zote za Serikali
 
Hawakuuza,waligawa bure kimtandao.
Imagine nyumba Oysterbay iliuzwa tshs 18 million wakati bei ya soko ni 2billion
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la kuboresha miundombinu ya nishati nchini Tanzania.

Akizungumza kwa njia ya simu na Jambo TV, David Kafulila, Kamishna wa Ubia wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), amefafanua kuwa utaratibu huo unajulikana kama "expression of interests,"ambapo wawekezaji wanaweza kueleza nia yao ya kuwekeza kwenye miradi kwa kushirikiana na serikali.

"Kampuni (Wawekezaji) mbili ambazo zimeomba kufanya mradi wa kusafirisha umeme kwa utaratibu wa ubia, inaitwa expression of interests yaani kwamba inaruhusu mwekezaji kueleza nia yake ya kuwekeza kwenye mradi fulani katika utaratibu wa ubia na serikali" ameeleza Kafulila.

Kafulila ameeleza zaidi kuwa sheria za ubia nchini Tanzania zinaruhusu kampuni kuwasilisha maombi yao kwa hatua za awali, na serikali inaweza kuamua kuitangaza miradi hiyo kwa kampuni zingine kushindana ili kuhakikisha uwazi na ufanisi. Hivi sasa, Adani na Gridworks ndio kampuni mbili zilizowasilisha maombi ya kuwekeza katika mradi huo wa kusafirisha umeme.

Ameongeza kuwa zipo njia nne zinazotumika kuingia kwenye ubia wa umma na binafsi nchini Tanzania. Njia hizo ni pamoja na serikali kutangaza mradi na kuruhusu ushindani (Solicited), mwekezaji kuomba kuandaa mradi (Unsolicited), serikali kutafuta mwekezaji wa moja kwa moja wa haraka hasa baada ya kuwa tayari imeandaa mradi (Direct Negotiation), na ya utaratibu maalum (Special Arrangement). Katika kesi ya Adani na Gridworks, wameomba kuwekeza kupitia njia ya kusudio la mwekezaji (Unsolicited).

Kafulila amesisitiza kuwa maombi yaliyotolewa na Adani na Gridworks ni hatua ya awali, na michakato ya kuchunguza kama kampuni hizo zina sifa stahiki itaendelea. Serikali kupitia TANESCO itazingatia mahitaji ya mradi huo na kuamua kama kutangaza zabuni kwa kampuni zingine au kuendelea na kati ya waombaji wa sasa.

"Adani ameleta kusudio awekeze, ni hatua ya awali ya kueleza kusudio, na siyo Adani peke yake ambayo imeomba iwekeze, sasa baadaye kwa mujibu wa sheria TANESCO sasa inaweza ikaamua kutangaza na kampuni zote ambazo zinahitaji zikashindana kutegemea mahitaji yake kwa wakati huo. Sasa hiyo iliyofanyika ya Adani na Kampuni nyingine ya Uingereza ya Gridworks Development Partners LLP, ni kampuni mbili ambazo zimeomba kuwekeza, na sheria inawaruhusu kuomba. Sasa ukiomba, ndiyo michakato inaanza ya kama una sifa au hauna sifa", ameeleza Kafulila.

Adani Group, kampuni inayoongozwa na bilionea Gautam Adani, imekuwa ikiongeza uwepo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki, huku Tanzania ikiwa sehemu ya mikakati yao ya kuimarisha miundombinu ya nishati kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya takriban dola milioni 900. Tanzania pia iko kwenye mazungumzo na Gridworks Development Partners kuhusu mradi wa dola milioni 300.

Kwa upande wake, Tanzania imeweka kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya nishati ili kukidhi mahitaji ya umeme yanayoendelea kuongezeka, hatua inayosaidiwa na miradi kama hii ya ubia. Ushirikiano huu pia ni muhimu kwa kuboresha mfumo wa usafirishaji wa umeme wa juu nchini.View attachment 3116153
Huyo tumbili kipi alichofanya chenye tija,wewe lucy huwa hutumii akili kujenga hoja...ni kuandika uharo tupu humu jf
 
Hap wahindi wacha wawekeze kwenye betting tu huko ndo wametuweza sana
 
CC: JPM
 
Uvccm
FB_IMG_1697801575410~2.jpg
 
Kinachoangaliwa na kuzingatiwa na tunachopaswa kuzingatia ni mkataba wenye maslahi kwetu kama Taifa.na siyo habari za kuangalia nini kilitokea kenya.sisi ndio wenye Nchi na tunayo nafasi na uhuru wa kumwambia muwekezaji juu ya kile ambacho tungependa afanye na kutekeleza. Nafikiri umesoma namna Mheshimiwa David Kafulila alivyo toa maelezo mazuri na ya kina. Kwamba ikionekana hajakidhi vigezo basi watachukua hatua zingine.
Dah, ila we jamaa...
 
Back
Top Bottom