David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

Huku mtaani kuna mikopo kausha damu, nini maana ya mikopo kausha damu ni mikopo ambayo mzunguko wako wa maingizo,(cash flow),kwa siku ama kwa mwezi ni kidogo kuliko hela za marejesho mfano maingizo yako kwa siku ni elfu 5 halafu marejesho ni elfu 8 huo utakuwa ni mkopo kausha damu, vile vile nasisi kama maingizo yetu pamoja na matumizi ya lazima haywawezeshi kuulipa mkopo utakuwa ni kausha damu
KWELI KABISA...

Mfumo mzima wa fedha wa Dunia una mazuri na mabaya yake khasa unavyoingiliana na 'tabia' za Walimwengu..

Dhamira na Tabia mbovu, Kwa Ujumla wake hupelekea mifumo mibovu!

BASI, ubovu wa mfumo ni zao la ufahamu kumbaizi wa wanajamii wenyewe--wanajamii wanapokuwa wamejisahau ama 'wamejaa kwenye mfumo'; basi kinachowasibu ni 'Saizi yao'...

Inawezekana kuachana na mfumo huu, lakini hili si suala la kuamuliwa na mtu fulani ama kikundi fulani cha watu; ni jambo lenye kuhitaji 'kuwasanua' wanajamii wenyewe katika kule 'kujua ilivyobora'...

SASA, ikiwa kwa mfano wanajamii hawatambui maana ya 'Mapinduzi'; basi ndiyo wanabakia kuwa 'mifugo' kwenye mifumo mibovu' ya watawala na watawaliwa...

Mfumo wa mibovu ya fedha na tawala, ni zao la 'Majaribu ya Kiutu' ambayo huamua hatma za viumbe vyenye (1) Usentienti, (2) Konsayansi, na (3) Nuru ya Ufahamu...

Mifumo yote ya Mikopo na Riba, ina 'Uhuni' kwa 'ukweli wake wa ndani khasa'...

Kukopa na Madeni, yote mawili yanaasili ya kulipika ama/na kutolipika--kuna namna ya hisabati za kialama kuhusiana na ukweli wake; Hata kwa mfano, hili suala wa 'kuvutia uwekezaji wa miundo mbinu ya NIshati' -- 'Wawekezaji watarajiwa/wadau' kuja na shauri la ule wasiwasi na 'marejesho ya Kiuwekezaji', ni jambo ambalo daima linafahamika kwa 'Wadau wa Akilikubwa'... Jambo hili huwa ndiyo mwanzo wa 'mtama kwa watoto' --kimisaada ama nasibu ya 'ushirika wa maendeleo'...

Kasi ya Maendeleo, Ukuaji wa Uchumi na Kujitosheleza Kijamii/Taifa kwa taifa lenye mseto wa rasilimali 'watu mzigo' ni kizungumkuti kwa 'Mataraji ya Kibepari'. Hata kuwaalika 'Wawekezaji' kuna namna hili ni 'jambo kichekesho'--kipi bora kupata--mali ama akili?... Ama ndiyo isemwe majibu mepesi kwa maswali magumu?

Je, nani ambaye hubeba mzigo wa madeni yasiyolipika katika 'Uchumi Mpana wa Dunia'? Je, kuna 'kujisahaulisha fulani', mambo ya kutathminika uhimilifu wa kimadeni, kwa upande wa mkopeshaji--na mawakala wa utundu wa wenye 'kuuma na kupuliza'? ama/na Je, ni kujinyonga mwenyewe kwa upande wa mtu mwenye kuwa 'mtumwa wa madeni'?

Watu Binafsi waliovibopa ndiyo husemwa ni 'Wafadhili wenye Utu'--nani anayewafanya hao kuwa ni 'Matajiri' wenye kuja kuwa na moyo wa kutoa/kujitolea kifedha za misaada ya ruzuku(Philanthropists?)--Washirika wa Maendeleo wa Kujitegemea ukiondoa 'Mashirika Rasmi' ya Udau wa Maendeleo Duniani?

... Mwanzo wa 'Serikali Kimvuli' ya Dunia...

Watu Maskini 'wasio na akili' ni 'Mzigo' hapa Duniani; lakini upo utundu wa kuficha dhana za 'ubinadamu wenye ujinga' kwa 'Usahihi wa Kisiasa' kuhusiana na 'Elimu'... Hawa, wanajamii wasiojitambua, nao ni 'Mtaji' wa 'Mifumo yenye Kudumisha wenye nacho na wasionacho'.

Kwa sehemu, na wakati mmoja hata mwingine, wachache wa hawa huonekana kana 'kustahili msaada'--wengi huachwa wateseke na kuangamia kwa shida zao... Vita, Njaa na Maradhi. Wanaotoa misaada wananufaika na pande zote mbili za 'Shida ama/na raha za walimwengu'; kwa kuwa uwezeshaji wa kifedha na mikopo ni 'Panya anayeuma na Kupuliza'...

Mara nyingine hata wadau hawa wa 'kuuma na kupuliza' hutamania jamba/mambo yaliyo 'mabaya zaidi' kwa 'sukari ya sumu' -- kwa jumuiya ya kimataifa... Kwa kuwa ni unaivu kudhani kila mtu 'Tajiri basi ana akili nyingi'... Utajiri yaweza kuwa ndiyo akili nyingi lakini siyo 'Maadili'; na tena akili nyingi inaweza kuwa na maana/mapelekeo ya nasibu ya 'figisu' ama/na 'utundu wa kula na vipofu'...

Kuna namna, kuna Wanaokuwa ni 'Matajiri'-- matajiri ile chafu, kwa kuwa 'Wamenyonya Jasho na Damu' la wengine kwa unaivu wa kimifumo -- watu wenye wametoa kibali kwa 'Statusi Kwou' kutokana na 'Kutoku-JUA ilivyobora... Iwe kupitia biashara za mikondo mipana ya 'Fedha', 'Tekinolojia' ama/na 'Viwanda vya Silaha/Madawa' n.k; Hata pia 'Pesa za Kuchapishwa tu na 'kupeana chini ya meza'...

Kaka Kafulila yuko Sahihi kabisa...

Tunahitaji kuishi na mashetani kwa kufikiri kama mashetani; lakini hili lisitutolee utu wa kujiongeza ili kujua ilivyobora.

Viongozi hawawezi kwenda kinyume na mifumo inayotawala Dunia--Madhara yake ni Makubwa! Yanaweza kugharimu maisha ya viongozi, ustawi wa jamii na hata usalama wa jamii yote husika.

Namna pekee ya 'kumalizana na mifumo inayotawala Dunia', kwa kheri, ni kuongeza 'Mwangaza kwa Wanajamii' ili hatua zote za Mipango, Maendeleo ya Mikakati ya Kitaifa inashirikishiwa kwa jamii yote pana ya watu/Umma; na si jambo la viongozi/watumishi wachache/serikali na 'usanii'.

Kwa hapa Tanzania, hili linakumbusha sisi wote tudhamirie ku-JUA ilivyobora kwa kila jambo na utendaji wetu; Tujisahihishe na Tuisahihishe mifumo yetu kwa Kudhamira (1) Utaasisi Bora na (2) Maarifa Sahihi.

Mpaka hapo tutakapojiongeza, tujifanye 'vipofu' kimustakabali na mikakati--mikakati ya Uisho...

Tusiwe na nongwa sana na 'Viongozi'; ila tuwe na 'Maelewano nao' kadiri ilivyobora...

Hmmm

View: https://www.youtube.com/watch?v=N87PRcYuqkM
 
Unaongea vizuri sana kwenye hii,
 
Jamaa ni mweupe.
Ukopaji wa US na China unaendana na ukubwa wa uchumi wao, maendeleo ya kiviwanda na wingi wa wananchi walionao.
Tanzania ni nchi masikini na inazidiwa wingi wa wananchi kulinganisha na US au China, hata kipato cha mtu mmoja mmoja tunazidiwa mbali sana.

Hivyo kimahesabu Tanzania inakopa pesa nyingi zaidi kuliko US na China....

Ni sawa na mfanya biashara A mwenye biashara yenye mzunguko wa milioni 100 kwa mwezi akope milioni 200.
Halafu mfanya biashara mwingine B mwenye biashara yenye mzunguko wa milioni 1 kwa mwezi akope milioni 50.

Kati ya hao wawili, mmoja ana mkopo mkubwa lakini upo ndani ya uwezo wake, mwingine ana mkopo mdogo lakini kwa uchumi wake atahangaika sana kurejesha.

Hivyo kimahesabu Tanzania inakopa pesa nyingi sana sana. Wasitake kutuona sisi hatuna akili.
Hata Wewe ni mweupe sana tu kama hizi ndizo akili zako
 
KWELI KABISA...

Mfumo mzima wa fedha wa Dunia una mazuri na mabaya yake khasa unavyoingiliana na 'tabia' za Walimwengu..

Dhamira na Tabia mbovu, Kwa Ujumla wake hupelekea mifumo mibovu!

BASI, ubovu wa mfumo ni zao la ufahamu kumbaizi wa wanajamii wenyewe--wanajamii wanapokuwa wamejisahau ama 'wamejaa kwenye mfumo'; basi kinachowasibu ni 'Saizi yao'...

Inawezekana kuachana na mfumo huu, lakini hili si suala la kuamuliwa na mtu fulani ama kikundi fulani cha watu; ni jambo lenye kuhitaji 'kuwasanua' wanajamii wenyewe katika kule 'kujua ilivyobora'...

SASA, ikiwa kwa mfano wanajamii hawatambui maana ya 'Mapinduzi'; basi ndiyo wanabakia kuwa 'mifugo' kwenye mifumo mibovu' ya watawala na watawaliwa...

Mfumo wa mibovu ya fedha na tawala, ni zao la 'Majaribu ya Kiutu' ambayo huamua hatma za viumbe vyenye (1) Usentienti, (2) Konsayansi, na (3) Nuru ya Ufahamu...

Mifumo yote ya Mikopo na Riba, ina 'Uhuni' kwa 'ukweli wake wa ndani khasa'...

Kukopa na Madeni, yote mawili yanaasili ya kulipika ama/na kutolipika--kuna namna ya hisabati za kialama kuhusiana na ukweli wake; Hata kwa mfano, hili suala wa 'kuvutia uwekezaji wa miundo mbinu ya NIshati' -- 'Wawekezaji watarajiwa/wadau' kuja na shauri la ule wasiwasi na 'marejesho ya Kiuwekezaji', ni jambo ambalo daima linafahamika kwa 'Wadau wa Akilikubwa'... Jambo hili huwa ndiyo mwanzo wa 'mtama kwa watoto' --kimisaada ama nasibu ya 'ushirika wa maendeleo'...

Kasi ya Maendeleo, Ukuaji wa Uchumi na Kujitosheleza Kijamii/Taifa kwa taifa lenye mseto wa rasilimali 'watu mzigo' ni kizungumkuti kwa 'Mataraji ya Kibepari'. Hata kuwaalika 'Wawekezaji' kuna namna hili ni 'jambo kichekesho'--kipi bora kupata--mali ama akili?... Ama ndiyo isemwe majibu mepesi kwa maswali magumu?

Je, nani ambaye hubeba mzigo wa madeni yasiyolipika katika 'Uchumi Mpana wa Dunia'? Je, kuna 'kujisahaulisha fulani', mambo ya kutathminika uhimilifu wa kimadeni, kwa upande wa mkopeshaji--na mawakala wa utundu wa wenye 'kuuma na kupuliza'? ama/na Je, ni kujinyonga mwenyewe kwa upande wa mtu mwenye kuwa 'mtumwa wa madeni'?

Watu Binafsi waliovibopa ndiyo husemwa ni 'Wafadhili wenye Utu'--nani anayewafanya hao kuwa ni 'Matajiri' wenye kuja kuwa na moyo wa kutoa/kujitolea kifedha za misaada ya ruzuku(Philanthropists?)--Washirika wa Maendeleo wa Kujitegemea ukiondoa 'Mashirika Rasmi' ya Udau wa Maendeleo Duniani?

... Mwanzo wa 'Serikali Kimvuli' ya Dunia...

Watu Maskini 'wasio na akili' ni 'Mzigo' hapa Duniani; lakini upo utundu wa kuficha dhana za 'ubinadamu wenye ujinga' kwa 'Usahihi wa Kisiasa' kuhusiana na 'Elimu'... Hawa, wanajamii wasiojitambua, nao ni 'Mtaji' wa 'Mifumo yenye Kudumisha wenye nacho na wasionacho'.

Kwa sehemu, na wakati mmoja hata mwingine, wachache wa hawa huonekana kana 'kustahili msaada'--wengi huachwa wateseke na kuangamia kwa shida zao... Vita, Njaa na Maradhi. Wanaotoa misaada wananufaika na pande zote mbili za 'Shida ama/na raha za walimwengu'; kwa kuwa uwezeshaji wa kifedha na mikopo ni 'Panya anayeuma na Kupuliza'...

Mara nyingine hata wadau hawa wa 'kuuma na kupuliza' hutamania jamba/mambo yaliyo 'mabaya zaidi' kwa 'sukari ya sumu' -- kwa jumuiya ya kimataifa... Kwa kuwa ni unaivu kudhani kila mtu 'Tajiri basi ana akili nyingi'... Utajiri yaweza kuwa ndiyo akili nyingi lakini siyo 'Maadili'; na tena akili nyingi inaweza kuwa na maana/mapelekeo ya nasibu ya 'figisu' ama/na 'utundu wa kula na vipofu'...

Kuna namna, kuna Wanaokuwa ni 'Matajiri'-- matajiri ile chafu, kwa kuwa 'Wamenyonya Jasho na Damu' la wengine kwa unaivu wa kimifumo -- watu wenye wametoa kibali kwa 'Statusi Kwou' kutokana na 'Kutoku-JUA ilivyobora... Iwe kupitia biashara za mikondo mipana ya 'Fedha', 'Tekinolojia' ama/na 'Viwanda vya Silaha/Madawa' n.k; Hata pia 'Pesa za Kuchapishwa tu na 'kupeana chini ya meza'...

Kaka Kafulila yuko Sahihi kabisa...

Tunahitaji kuishi na mashetani kwa kufikiri kama mashetani; lakini hili lisitutolee utu wa kujiongeza ili kujua ilivyobora.

Viongozi hawawezi kwenda kinyume na mifumo inayotawala Dunia--Madhara yake ni Makubwa! Yanaweza kugharimu maisha ya viongozi, ustawi wa jamii na hata usalama wa jamii yote husika.

Namna pekee ya 'kumalizana na mifumo inayotawala Dunia', kwa kheri, ni kuongeza 'Mwangaza kwa Wanajamii' ili hatua zote za Mipango, Maendeleo ya Mikakati ya Kitaifa inashirikishiwa kwa jamii yote pana ya watu/Umma; na si jambo la viongozi/watumishi wachache/serikali na 'usanii'.

Kwa hapa Tanzania, hili linakumbusha sisi wote tudhamirie ku-JUA ilivyobora kwa kila jambo na utendaji wetu; Tujisahihishe na Tuisahihishe mifumo yetu kwa Kudhamira (1) Utaasisi Bora na (2) Maarifa Sahihi.

Mpaka hapo tutakapojiongeza, tujifanye 'vipofu' kimustakabali na mikakati--mikakati ya Uisho...

Tusiwe na nongwa sana na 'Viongozi'; ila tuwe na 'Maelewano nao' kadiri ilivyobora...

Hmmm

View: https://www.youtube.com/watch?v=N87PRcYuqkM

Aisee wewe mbona unajua vitu namna hii?
 
===
Akiongea katika Kipindi cha DAKIKA 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi PPPC David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,

Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo alisema "Kiuchumi na Kibiashara huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kukopesheka ili mtu au taasisi akopesheke kwa masharti mazuri Lazima awe vizuri Kiuchumi hili ni Sayansi ipo kuanzia ngazi ya familia mpaka Ile ya Taifa" alisema Bwana David Kafulila.

Tanzania imepimwa kwa vigezo vyote ukianzia na na vile vya World Bank, IMF na hata taasisi za credit rating kama Moody's na Fitch wote wanasema Tanzania deni lake ni himilivu na stahimilivu ndio maana hakuna siku Serikali itaacha kukopa hata Marekani, China, Urusi wote hawa wanakopa alisisitiza Kafulila.

China Taifa lenye dhahabu nyingi kuliko Taifa lolote Dunia inakopa, Urusu yenye gesi nyingi duniani nayo inakopa tatizo sio kukopa labda tatizo liwe unakopa kwaajili ya kufanya nini ila kukopa ili kujenga miradi ya Maendeleo ndio haswa tunapashwa kuendelea kukopa- alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC-Tanzania.

Sasa msikilize mpaka mwisho.

View attachment 3224599

===
Hii habari imfikie Prof Mpina
 
3rd part at work
 
Chawa pumbavu. Kwani tunatawaliwa na sera za China na Marekani? Mbona Marekani inatetea ushoga na ujambazi, je kesho mtaanza kuutetea kwa sababu hiyo?
 
Kafulila ana tatizo la afya ya akili, Marekani wanaomba misaada kama sisi?
Hoja ya msingi sana hiyo, Kafulila ni stadi wa kujibu haraka hoja bila majibu yenye mashiko, kumbuka tunaishi kwenye jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe wataendelea kumuona ni shujaa

Swali je matumizi ya hiyo misaada ni sahihi?

Kwa jicho la 3 je ni kweli kwamba akili zetu zimejiwasha kupokea misaada na mikopo kuliko kujitegemea
 
Lakini Mkopo sio msaada
 
Kafulila ni mla rushwa hilo lipo wazi
 
Kafulila mwongo mwongo sana
Huyu ni chawa tu, Marekani na China wakikopa maendeleo nchini mwao wananchi wanayaona...sie viongozi wefu wanakopa pesa zinapelekwa kwenye mambo ya kipuuzi.
Mfano, pesa zinazotumika kununulia ma v8 kwa mwaka ni nyingi zaidi kuliko bajet ya baadhi ya wizara...sasa hiyo ni akili au matope??.
 
Ni akili mgando tu kufikiri wadau wa nje Ndiyo wanaweza kufanya miradi ya ppp badala ya wazawa
 
KWELI KABISA...

Mfumo mzima wa fedha wa Dunia una mazuri na mabaya yake khasa unavyoingiliana na 'tabia' za Walimwengu..

Dhamira na Tabia mbovu, Kwa Ujumla wake hupelekea mifumo mibovu!

BASI, ubovu wa mfumo ni zao la ufahamu kumbaizi wa wanajamii wenyewe--wanajamii wanapokuwa wamejisahau ama 'wamejaa kwenye mfumo'; basi kinachowasibu ni 'Saizi yao'...

Inawezekana kuachana na mfumo huu, lakini hili si suala la kuamuliwa na mtu fulani ama kikundi fulani cha watu; ni jambo lenye kuhitaji 'kuwasanua' wanajamii wenyewe katika kule 'kujua ilivyobora'...

SASA, ikiwa kwa mfano wanajamii hawatambui maana ya 'Mapinduzi'; basi ndiyo wanabakia kuwa 'mifugo' kwenye mifumo mibovu' ya watawala na watawaliwa...

Mfumo wa mibovu ya fedha na tawala, ni zao la 'Majaribu ya Kiutu' ambayo huamua hatma za viumbe vyenye (1) Usentienti, (2) Konsayansi, na (3) Nuru ya Ufahamu...

Mifumo yote ya Mikopo na Riba, ina 'Uhuni' kwa 'ukweli wake wa ndani khasa'...

Kukopa na Madeni, yote mawili yanaasili ya kulipika ama/na kutolipika--kuna namna ya hisabati za kialama kuhusiana na ukweli wake; Hata kwa mfano, hili suala wa 'kuvutia uwekezaji wa miundo mbinu ya NIshati' -- 'Wawekezaji watarajiwa/wadau' kuja na shauri la ule wasiwasi na 'marejesho ya Kiuwekezaji', ni jambo ambalo daima linafahamika kwa 'Wadau wa Akilikubwa'... Jambo hili huwa ndiyo mwanzo wa 'mtama kwa watoto' --kimisaada ama nasibu ya 'ushirika wa maendeleo'...

Kasi ya Maendeleo, Ukuaji wa Uchumi na Kujitosheleza Kijamii/Taifa kwa taifa lenye mseto wa rasilimali 'watu mzigo' ni kizungumkuti kwa 'Mataraji ya Kibepari'. Hata kuwaalika 'Wawekezaji' kuna namna hili ni 'jambo kichekesho'--kipi bora kupata--mali ama akili?... Ama ndiyo isemwe majibu mepesi kwa maswali magumu?

Je, nani ambaye hubeba mzigo wa madeni yasiyolipika katika 'Uchumi Mpana wa Dunia'? Je, kuna 'kujisahaulisha fulani', mambo ya kutathminika uhimilifu wa kimadeni, kwa upande wa mkopeshaji--na mawakala wa utundu wa wenye 'kuuma na kupuliza'? ama/na Je, ni kujinyonga mwenyewe kwa upande wa mtu mwenye kuwa 'mtumwa wa madeni'?

Watu Binafsi waliovibopa ndiyo husemwa ni 'Wafadhili wenye Utu'--nani anayewafanya hao kuwa ni 'Matajiri' wenye kuja kuwa na moyo wa kutoa/kujitolea kifedha za misaada ya ruzuku(Philanthropists?)--Washirika wa Maendeleo wa Kujitegemea ukiondoa 'Mashirika Rasmi' ya Udau wa Maendeleo Duniani?

... Mwanzo wa 'Serikali Kimvuli' ya Dunia...

Watu Maskini 'wasio na akili' ni 'Mzigo' hapa Duniani; lakini upo utundu wa kuficha dhana za 'ubinadamu wenye ujinga' kwa 'Usahihi wa Kisiasa' kuhusiana na 'Elimu'... Hawa, wanajamii wasiojitambua, nao ni 'Mtaji' wa 'Mifumo yenye Kudumisha wenye nacho na wasionacho'.

Kwa sehemu, na wakati mmoja hata mwingine, wachache wa hawa huonekana kana 'kustahili msaada'--wengi huachwa wateseke na kuangamia kwa shida zao... Vita, Njaa na Maradhi. Wanaotoa misaada wananufaika na pande zote mbili za 'Shida ama/na raha za walimwengu'; kwa kuwa uwezeshaji wa kifedha na mikopo ni 'Panya anayeuma na Kupuliza'...

Mara nyingine hata wadau hawa wa 'kuuma na kupuliza' hutamania jamba/mambo yaliyo 'mabaya zaidi' kwa 'sukari ya sumu' -- kwa jumuiya ya kimataifa... Kwa kuwa ni unaivu kudhani kila mtu 'Tajiri basi ana akili nyingi'... Utajiri yaweza kuwa ndiyo akili nyingi lakini siyo 'Maadili'; na tena akili nyingi inaweza kuwa na maana/mapelekeo ya nasibu ya 'figisu' ama/na 'utundu wa kula na vipofu'...

Kuna namna, kuna Wanaokuwa ni 'Matajiri'-- matajiri ile chafu, kwa kuwa 'Wamenyonya Jasho na Damu' la wengine kwa unaivu wa kimifumo -- watu wenye wametoa kibali kwa 'Statusi Kwou' kutokana na 'Kutoku-JUA ilivyobora... Iwe kupitia biashara za mikondo mipana ya 'Fedha', 'Tekinolojia' ama/na 'Viwanda vya Silaha/Madawa' n.k; Hata pia 'Pesa za Kuchapishwa tu na 'kupeana chini ya meza'...

Kaka Kafulila yuko Sahihi kabisa...

Tunahitaji kuishi na mashetani kwa kufikiri kama mashetani; lakini hili lisitutolee utu wa kujiongeza ili kujua ilivyobora.

Viongozi hawawezi kwenda kinyume na mifumo inayotawala Dunia--Madhara yake ni Makubwa! Yanaweza kugharimu maisha ya viongozi, ustawi wa jamii na hata usalama wa jamii yote husika.

Namna pekee ya 'kumalizana na mifumo inayotawala Dunia', kwa kheri, ni kuongeza 'Mwangaza kwa Wanajamii' ili hatua zote za Mipango, Maendeleo ya Mikakati ya Kitaifa inashirikishiwa kwa jamii yote pana ya watu/Umma; na si jambo la viongozi/watumishi wachache/serikali na 'usanii'.

Kwa hapa Tanzania, hili linakumbusha sisi wote tudhamirie ku-JUA ilivyobora kwa kila jambo na utendaji wetu; Tujisahihishe na Tuisahihishe mifumo yetu kwa Kudhamira (1) Utaasisi Bora na (2) Maarifa Sahihi.

Mpaka hapo tutakapojiongeza, tujifanye 'vipofu' kimustakabali na mikakati--mikakati ya Uisho...

Tusiwe na nongwa sana na 'Viongozi'; ila tuwe na 'Maelewano nao' kadiri ilivyobora...

Hmmm

View: https://www.youtube.com/watch?v=N87PRcYuqkM

Ndefu sana ila unahoja za msingi
 
Hivi watu wanajua the mechanics of How the likes USA operates ?!! Au wanajisemea tu kama Mapunguani ?

Back
Top Bottom