Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa
Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.
Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
#Kazi iendelee
===
==