David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.

"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest" Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa

Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo ni ya Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia in kwa kazi hiyo wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi pekee ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue vizuri na kwa Kasi.

Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.

#Kazi iendelee

===

==
 
View attachment 3243868
David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.

Mkurugenzi huyo anasema Kenya inaongoza kwa uchumi mkubwa lakini Moody's na Fitch wataalamu nguli wa kufanya utafiti wa mambo Uchumi na Fedha na wanaoheshimika zaidi Dunia wanaitaja Tanzania ya Samia kama nchi ambayo Uchumi wake Unaafanya bora na hivyo kuufanya ukue kwa Kasi.

Ifahamike Moody's na FITCH sio wanaCCM eti kwamba watampendelea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na kuwaacha Marais wengine.
Samia songa mbele
 
Hali ya Uchumi bongo ni mbaya sana
 
Mama hana mpinzani eti no election no refomu mtakula tume ya Uchaguzi?
 
Back
Top Bottom